Serikali ya Magufuli inatia shaka

Magufuli hajawahi kuwa mtendaji na hata kaa awe ni mtu wa kukurupukuka
 
Wewe wacha kutishia watu humu jukwaani lazima ujue kuwa hili ni jukwaa huru hivyo kila member ana uhuru wa kutoa mawazo yake na siyo lazima yakufurahishe ukitaka changia hutaki potezea
 
Hivi kumbe CDM ilianzishwa na Slaa? Asante kwa kunifumbua macho.
 
Kweli kabisa hii serikali kila kiongozi ni mbabe naona wanataka kututawala kibabekibabe
 
Magufuli hajawahi kuwa mtendaji na hata kaa awe ni mtu wa kukurupukuka



Na nyumbu wa lumumba ni nyumbu tu sawa na wagombe,kama mbowe ametorosha pesa kwenda nje mnashindwa nini kumkamata na kufikisha kwenye vyombo vya sheria?
 
huyu jamaa eti nae katoa hoja, kweli mbumbu ni wengi. aisee kakojoe ulale.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…