Serikali ya Rais Jakaya Kikwete imeelemewa. Imelea matatizo, imeshindwa kuchukua maamuzi stahiki kwa wakati, sasa imeshikwa kila Upande. Ukiachilia suala la Mtwara linalofukuta, sasa suala la Udini linaisumbua, waliruhusu watu wa madhehebu kutukanana, Sheikh aliyepo kwenye hii picha na Mkanda aliotoa hakuchukuliwa hatua, na sasa gazeti hili limeandika habari ya uchochezi, pengine serikali inaogopa kulichukulia hatua kwa kuwa ni la kidini. Inaogopa haikumchukulia hatua huyo anayetajwa kuwa muuaji, lakini pia hata gazeti lenyewe naona limeandika kwa kuwa linajua lipo katika mrengo fulani ili lichukuliwe hatua ni lazima ianzie kwa sheikh. Tulishauri kwa busara, ikaonekana ni mambo ya kupita. Sasa maji ya shingo. Rais aache kufanya utani nchi yetu inaelekea pabaya. Na Kwa mfano gazeti hili na habari iliyopo haina tofuti na ile iliyosababisha MwanaHalisi kufungiwa, lakini serikali imekaa kimya...... Haina msimamo.. .........Nini hatima ya nchi yetu? Mbona mambo haya yanakuja kama utani lakini yanafumbiwa macho?
tuache uoga kwa kulalamika lalamika tu huku jf , tuchukue hatua
Kwanza nyie watu wa Tabora na Morogoro ndio mnaotuangushaTutaendelea kupiga kelele hapa hapa no action
Unajua maana ya propaganda? Wale jamaa ma radio imani achana nao hakuna mkristo anaweza kujibu hoja zao, wanaongea na wanakupa references, ndiyo maana mnabaki kulalamika eti ni wachochezi jibuni hoja zao basi.
Serikali ya Rais Jakaya Kikwete imeelemewa. Imelea matatizo, imeshindwa kuchukua maamuzi stahiki kwa wakati, sasa imeshikwa kila Upande. Ukiachilia suala la Mtwara linalofukuta, sasa suala la Udini linaisumbua, waliruhusu watu wa madhehebu kutukanana, Sheikh aliyepo kwenye hii picha na Mkanda aliotoa hakuchukuliwa hatua, na sasa gazeti hili limeandika habari ya uchochezi, pengine serikali inaogopa kulichukulia hatua kwa kuwa ni la kidini. Inaogopa haikumchukulia hatua huyo anayetajwa kuwa muuaji, lakini pia hata gazeti lenyewe naona limeandika kwa kuwa linajua lipo katika mrengo fulani ili lichukuliwe hatua ni lazima ianzie kwa sheikh. Tulishauri kwa busara, ikaonekana ni mambo ya kupita. Sasa maji ya shingo. Rais aache kufanya utani nchi yetu inaelekea pabaya. Na Kwa mfano gazeti hili na habari iliyopo haina tofuti na ile iliyosababisha MwanaHalisi kufungiwa, lakini serikali imekaa kimya...... Haina msimamo.. .........Nini hatima ya nchi yetu? Mbona mambo haya yanakuja kama utani lakini yanafumbiwa macho?
Kweli kabisa!Hamna haja ya kugombana ndugu zangu, kwanza dini zote mnazo bishania zimetoka nje mngejua kwa nini zililetwa kwetu msingeweza hata kuzijadili humu ndani, proud to be tanzanian and not muslim or christian