Serikali ya Kikwete hoi! Yaelemewa...

Serikali ya Kikwete hoi! Yaelemewa...

Haya ndiyo masuala ambayo nimekuwa nikimuomba Mh. Rais JK anipe nafasi niwe mshauri siyo kwamba hana washauri hapana nadhani hawayaoni haya. Wamejifungia ndani ya magari yenye giza pande zote mbili. Kwa taarifa hii namshauri Mh. JK afanye moja katika mawili haya AIDHA:-
1. Alifungie Gazeti hili la Nyakati kwa kueneza UHOCHEZI kwa jambo lisilo la kweli.
AU:-
2. Mhusika huyo Sheikh achukuliwe hatua tena haraka iwezekanavyo, tumechoka na mambo haya, pia tunaimani kwa kauli za Mh. Rais kuwa atahakikisha analinda amani ya nchi. Mimi namuunga mkono hawa watu wadhibitiwe kwa gharama yoyote.

Mh. Rais huenda TABASAMU LAKO WATU WANALICHUKULIA NI SIMPLE. Nakumbuka kama ni vita dhidi ya MAFISADI wewe ulianza tangu ukiwa WAZIRI WA FEDHA enzi hizo. You have good record that we people of the United Republic of Tanzania do Trust you.

Unatumia masaburi. Sema ww ndo una mtrust your President. Cc watanzania kwa ujumla yetu na wingi. NO BODY IS TRUSTING THIS MAN.
 
Back
Top Bottom