Serikali ya kidikitea. Haiko madarakani kwa lidhaa ya wananchi huwa haina sababu ya kujali mahitaji ya wananchi.
Hii serikali ya haramu iliifungia Jamiiforums kwa siku 90. Siku 90 zilishaisha lakini bado imeendelea kuifungia JF. Kwa hiyo unaweza kuona udikiteta wake. Yenyewe ndio ilisema inaipa adhabu ya siku 90 lakini kwa sababu ni serikali ambayo ni ya kidikiteta na haikuhitaji kura za wananchi kuingia madarakani haioni sababu ya kuifungulia JF licha ya kuwa siku 90 zilishaisha.
Watanzania hakuna mjomba wa kuja kutuokoa kama tusipojiokoa wenyewe.