Serikali ya JK inataka Kumchafua Nyerere?

Serikali ya JK inataka Kumchafua Nyerere?

kuna haja gani ya kumtukuza dictactor nyerere hana moja alilolifanya katika uongozi wake instead of his stupid ideology ujamaa.mimi namuweka nyerere kundi moja na akina mugabe,gadafi,sadam hussein, hitler .wadanganyika amkeni .
 
Hivi nyinyi lini mtakuwa na shukurani kwa huyu Jk ?amekufanyieni mengi katika kipindi chake cha miaka mitano ya mwanzo leo nchi inatambulika lika pembe wawekezaji wanapiga hodi kila siku maisha ya Binadamu wa nchi hii hajawahi kuwa maisha ya kuvutia kama yalivyo katika kipindi chake amekupeni fursa za kwenda mahali popote pale ikiwa unauwezo amejenga miji leo hii ndio mnayojivunia kuwa Tz tambarare wacheni Kumsakama Kiongozi kiasi hicho kuweni na shukurani ,hivi leo kila mtu amekuwa mrembo wakati wa amu hiyo mnaitaja ya Kambarage tulikuwa tunakogea masabuni ya kuosheya punda tuklivaa sare kama watioto wa shule, hakukuwepo na ruhusa ya kufanya lolote lile ,mpeni sifa nzuri kwa mazuri aliyoyafanya Jk na sio katika hali hii manyo muongelea ( nakumbuka mwali aliwahi kusema kumwambia marehemu karume kuwa hataki watu wake wawe na Tv kwani watafuta mambo ya nje )leo angalie watu wake wnayafanya yale ambayo hakutaka wayafanye kuiga maiha ya west.,lakini hamlitaki kuliongea hilo ni chungu kiasi kama shubiri.

Underlined: JK hatendei haki watanzania hapa alipo kapoteza muelekeo
 
kuna haja gani ya kumtukuza dictactor nyerere hana moja alilolifanya katika uongozi wake instead of his stupid ideology ujamaa.mimi namuweka nyerere kundi moja na akina mugabe,gadafi,sadam hussein, hitler .wadanganyika amkeni .

Mkuu heshima yako nyerere kakufanyia nini mpaka awe sawa na Hitler??
 
Lipo tatizo la UONGOZI ndani ya Taasisi ya Mwalimu. Kwangu mimi Butiko angepumzika tu. Kafanya mengi.
 
kuna haja gani ya kumtukuza dictactor nyerere hana moja alilolifanya katika uongozi wake instead of his stupid ideology ujamaa.mimi namuweka nyerere kundi moja na akina mugabe,gadafi,sadam hussein, hitler .wadanganyika amkeni .
Mkuu unaonyesha kuwa unahasira tuu ila hoja huna.
 
Kelele na ushabiki wa kipuuzi haviwezi kubadili kitu.kama mtu anachangia awe serious atoe hoja ambazo kila mtu atamuelewa na suggestion otherwise kama kawa kelele nyingi kama mnaimba watu wanaendelea na mambo yao.

Sanasana tutapata wagonjwa wengi wa moyo na kisukari kwa tension na tempa .
 
Kwani anachafuliwa au anajadiliwa kama wanasiasa wengine duniani ambao ni marehemu? Who is Nyerere after all?

Kosa kubwa alilolifanya - kwa maoni yangu -- ni kutuharibia dhana nzima ya demokrasia ya vyama vingi - pale aliposapoti CCM na kuifanyia kampeni badala ya kukaa neutral na kuitikia kilio cha kuwa Baba wa Taifa halisi.

Angekaa neutral sasa hivi tungekuwa na uwiano wa vyama -- yaani upande wa serikali na upinzani unaoleta maana -- kama vile ilivyo huko Kenya na Zambia, kwa mfano.
kwani kenya Moi alikuwa neutral? Tanzania bado idadi kubwa hawajaelemika, Kikwete amesema ni 70% ndo tatizo. Siyo nyerere kutokuwa neutral.Hatuhusishi umasikini wetu na uongozi mbovu, tunadhani ni vitu viwili tofauti. sasa sijui nini maana ya kuongoza.
 
kuna haja gani ya kumtukuza dictactor nyerere hana moja alilolifanya katika uongozi wake instead of his stupid ideology ujamaa.mimi namuweka nyerere kundi moja na akina mugabe,gadafi,sadam hussein, hitler .wadanganyika amkeni .

Nadhani wewe ni muongo ama ni mdogo umri kwahiyo hufahamu. maisha ya wananchi na uwezo wao wa kujihudumia umepungua ukilinganisha miaka ya 70s to 80s na leo. Serikali nayo uwezo wake wa kuhudumia wananchi, wafanyakazi,kutoa elimu bora umepungua, pamoja na kuwa kwa sasa wanauza rasilimali.
 
Asante sana mkuu hila serikali yetu imekuwa kinyume inawauzia rasilimali wageni pesa wanaweka mfukoni mwao bila ya kuyoa huduma kwa wananchi wake
 
Ndugu wanaJF
.........................................
JK baba wa Taifa kafanya mengi muache apumzike otherwise Mizimu yake itakuibukia siku za mbeleni

Ni hayo tu

WanaJF mnasemaje??

Mnasemaje,
Mimi nasema kwanza si haki kumulaumu JK au yeyote kwa kuiandama Taasisi ya Mwalimu, hao akina Butiku unaowasema. Kwa nini isilaumiwe kama kuna sababu? yaani kuitwa ya Mwalimu tu ndo iwe sababu ya kinga! No! NO!

Hata hivyo hawa jamaa, akina JK na Lowasa, nasikia waliwahi kuapa kwamba hawatamsamehe Nyerere kwa kuwakosesha Urais mwaka '95. Wanaamini ilikuwa zamu yao na 2005 wangpeokezana. By the way, ni mara ngapi umewasikia waki quote nasaha za mwalimu?

Si unaona sasa hivi mmoja wao hana hakika ya kupata nafasi hiyo ktk maisha yake?
 
underlined mkuu kama sikosei ni mara chache kusikia hawa watu wanatoa nasaha za mwalimu kweli wamezamilia kufuta nasaha za mwalimu
 
basi kama kila aliemaliza uharibifu wake aachwe apumzike kwa amani ya nini kupiga makelele ya kutaka akina Mkapa, Lowassa n.k washitakiwe kwa makosa waliyofanya si kila siku wanasemw JF humu wakati wameshajipumzikia, wacha watu wamjadili Nyerere on his other side ambayo inafichwa makusudi, calling people names can't stop them express their views...never!

Mkuu sasa ukisema hivyo unataka kumfufua nyerere???
 
Back
Top Bottom