Kama magari yana dhamani iyo sasa bajeti ya mafuta na service itakuwaje?
kwani wao hawana haki, kila mkubwa anapewa V8, polisi pia anataka starehe/anasa.RPC wote wana mav8 landcruiser wakati hawa ni wazee wa defender tuu as huwezi enda kwa tukio la fujo na v8.
So kwa hao ilo gari ni anasa kabsaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Dadeki!!...
Nchi hiii mbona inanitoa machozi?
Wakurugenzi wa halamashauri zote eti wananunuliwa kila mmoja ananunuliwa gari ya milioni 150 - 200!!
mkuu kumbuka kuwa unavyoongea sasa Mh. Mkullo yupo Washington DC kutengeneza budget hicho kikiwa kielelezo tosha kuwa wahisani wanafadhili >+50% ya budget yote!!Kuhusu magari ya Serikali, Cheyo(Mwenyekiti PAC) alisema kumekuwa na matumizi yasiyo ya lazima katika uendeshaji na ukarabati wa magari hayo. Hadi Juni 30, 2010 Serikali ilikuwa inamiliki magari yenye thamani ya Sh5 trilioni.
Source:http://www.mwananchi.co.tz/componen...ory/22166-ufisadi-wa-mabilioni-kila-kona.html
MY TAKE
Yaani wanamiliki magari ambayo ni almost nusu ya bajeti ya nchi,no wonder wataendelea kununua meanwhile dawa,madawati kwetu bado ni issue!
Unaitaji kuwa na kichwa cha mwendawazimu kumiliki such a fleet in a poor nation like Tz
Naomba niulize swali kidogo hivi ipi ni core b'ness au mission ya serikali yetu? Je,ni utoaji wa usafiri kwa viongozi wa serikali na watendaji mbalimbali au kusimamia rasilimali za taifa ili kumletea maendeleo mtanzania wa kawaida?
5 trillion Tshs. worth of automobiles!!! Is this a government or Yellow Cabs?
Wana JF. Nakumbuka zamani kwenye miaka ya 80 kuna mbunge mmoja alisema kwamba; Nanukuu , Wajukuu zetu watakuja kutufukua kwenye makaburi yetu na kupima vichwa vyetu kwamba kulikuwa na tatizo gani mpaka tunaruhusi upuzi huu kwa sababu mambo tunayofanya ni ya kiwendawazimu. mwisho wa kunukuu. Hii ndiyo serikali yetu inabidi ikapimwe akili mara moja otherwiise inatuangamiza.