Serikali ya Japan yaanza kugawa bure nyumba

Serikali ya Japan yaanza kugawa bure nyumba

Kurzweil

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2011
Posts
6,622
Reaction score
8,427
images.jpg


Serikali ya Japan imeanza utaratibu wa kuzigawa bure nyumba zilizoachwa na Wazee walioenda kuishi kwenye kambi za uangalizi na walifariki

Kwasasa kuna takribani nyumba Milioni 8 zilizokwenye orodha ya kugawiwa kwa wanaohitaji

Mtu anayehitaji atapaswa kumlipa kiasi kidogo wakala atakayempeleka kuchagua nyumba hizo

tmg-facebook_social.jpg


Inakadiriwa kuwa ifikapo mwaka 2020 kutakuwa na nyumba Milioni 20 zitakazokuwa zimeachwa na Wazee

Wazee wengi baada ya kwenda kwenye nyumba za uangalizi hufariki wakiwa huko na kuziacha nyumba zao bila ya wamiliki

The-Rise-of-Vacant-Houses-2-Japan-is-Giving-Away-8-Millions-Abandoned-Homes-for-Free-1024x597.jpg
 
View attachment 980264

Serikali ya Japan imeanza utaratibu wa kuzigawa bure nyumba zilizoachwa na Wazee walioenda kuishi kwenye kambi za uangalizi na walifariki

Kwasasa kuna takribani nyumba Milioni 8 zilizokwenye orodha ya kugawiwa kwa wanaohitaji

Mtu anayehitaji atapaswa kumlipa kiasi kidogo wakala atakayempeleka kuchagua nyumba hizo

View attachment 980265

Inakadiriwa kuwa ifikapo mwaka 2020 kutakuwa na nyumba Milioni 20 zitakazokuwa zimeachwa na Wazee

Wazee wengi baada ya kwenda kwenye nyumba za uangalizi hufariki wakiwa huko na kuziacha nyumba zao bila ya wamiliki

View attachment 980266
Kwani hao wazee hawana familia wazirithi...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inamaanisha hao wazee wote hawakuzaa na hata walipo zaliwa hawakuwa na ndg. Zao? Au hata hao ndg. Zao pia hawakuwa na watoto? Kwa idadi hiyo hilo taifa si lina uhaba wa vijana

Sent using Jamii Forums mobile app
Japan kutokua na mtoto ni Jambo la kawaida sana maana watu wapo bize muda wote mpaka Serikali inaingilia Kati kuanzisha kampeni za kuwahamasisha watu wazae maana idadi ya watu inapungua mwaka had mwaka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nyumba milioni 20 sio mchezo,hii banabana pap...... miaka 100 ijayo wataomba poo aisee.Wachina watachukua nchi kilaini kabisa
 
Wajapan muda wao mwingi wanautumia kwenye kufanya kazi na wanasahau suala la ndoa kwani ubize umewazidi sana. Ikafika pahala kwenye baadhi ya migahawa waliyo wapenzi wanakatazwa kuingia. Sababu kuu ni kwamba inawafanya wasiyo na wapenzi wakiwaona wanakuwa wapweke na husababisha wateja kupungua kwenye migahawa.
 
Sio kibongo bongo kabla haujafa watu washaanza kuzipigia hesabu mali zako,hiyo ndio maana ya developed economies.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahha au sio watu wanaanza mahesabu mapema. Alafu nawashangaa sana wazazi wakibongo eti utalisikia libaba lizima namwambia mwanae kuwa nenda katafute mali zako hizi za kwangu...pumbafu kama hutaki kunirithisha mali sii zipige bei tuu nijue moja lakini naziona alafu unalefa somjo za kishamba hapa...hatuchelewi kukudedisha
 
Huo mgao ni kwa wazawa tu ama na wahamiaji, ili tuanze kufukuzia viza.
 
Nakumbuka mheshimiwa sana kipindi waziri amewahi kugawa nyumba na yeye.
 
Back
Top Bottom