Serikali ya DRC yasema kundi la waasi wa FDLR-FOCA, limetekeleza mauaji ya Balozi wa Italia

Ni kitu ambacho hakiwezekani kufanyika.
Je serikali ya Congo inachukia jitihada gani kuhakikisha nchi yake inakuwa na amani kama nchi zingine?

Basi wacha iwe zone isiyokalika mpaka madini yatakapoisha ukanda ule na nchi zinazofadhili machafuko hayo kuacha.
 
Kweli kabisa, inaonekana Kuna maslahi mapana ya uwepo wa hiyo hali eneo la Goma na Kivu. Mi naona ni muda muafaka wa rais wa Congo now kuongea na majirani zake kama Tanzania, Angola na Zambia, ikiwezekana na Congo Brazzaville kushirikiana ili kuviondoa hivyo vikundi vyote vya waasi au kuingia nao nakubaliana ya amani ili waondoke au kuwajumuisha kaitka jeshi la nchi.
Rwanda ni kinchi tu chenye ukubwa wa mikoa miwili ya Tanzania, ukiona wanajeuri ya kufanya ivo jua ni agent tu wa wakubwa. na hao wakubwa ndo wanaofanya "majirani" tuogope kuingilia ugomvi.
 
Je serikali ya Congo inachukia jitihada gani kuhakikisha nchi yake inakuwa na amani kama nchi zingine?

Basi wacha iwe zone isiyokalika mpaka madini yatakapoisha ukanda ule na nchi zinazofadhili machafuko hayo kuacha.
Vijana wa Congo wako bize kusuka wakina dada huko saluni,wakijitahidi sana wanaimba ndomboro ya soro kazi ngumu ngumu za kijeshi hawazitaki,sijui wanataka nani awakombolee nchi yao.

Acha mali zao zitafunwe mpk watakapotia adabu.
 
Wao Congo ni wajinga wasiotambua wamewekewa rais kibaraka?
hata wakitambua watafanya nini?

Mataifa mengi hasa ya Africa yana maraisi ambao hawakuchaguliwa na wananchi na hakuna kitu "wananchi" wanafanya. Uganda kwa mfano!

"urais ni taasisi inayoteuliwa na mfumo sisi ni wawakilishi tu na kwenye maamuzi hatumo" Roma mkatoriki.
 
Tu

Tuna actiwa kama tumo vile kumbe hola 😆
 
hata wakitambua watafanya nini?

Mataifa mengi hasa ya Africa yana maraisi ambao hawakuchaguliwa na wananchi na hakuna kitu "wananchi" wanafanya. Uganda kwa mfano!

"urais ni taasisi inayoteuliwa na mfumo sisi ni wawakilishi tu na kwenye maamuzi hatumo" Roma mkatoriki.
Basi waendelee kutulia hivyo hivyo huku keki ikitafunwa na wataalam.
 
Vikundi hivyo vinatumika tu na kufadhiliwa na nchi jirani - hakuna haja ya kuangahika na vijidagaa wakati mapapa wanao fadhili vurugu huko jimbo la KIVU wanajulikana - cha muhimu hapa nchi za NATO zikae chini na kutoa fundisho kama walivyo mpatia Gaddafi - wakitekeleza hatua hiyo fasta watakuwa wamefanya jambo la maana sana katika kuleta amani ya kudumu ndani ya nchi zinazo unda maziwa makuu.

Western Nation wasifumbie macho suala la kuuwawa Balozi wa Italy nchini Congo DRC, huwezi juwa who will be next victim wauuwaji wakiwa carried away na uuaji huu.

Narudia kukumbusha kwa mara nyingine tena, kwamba Western Nations wasilifumbie macho suala hili la mauuaji ya Balozi wa Italy,kama hawata chukuwa hatua kali dhidi ya wafadhili wa vurugu hizi za kuchonga, basi, Taifa la Congo DRC hasa jimbo la Kivu halitakuwa na amani ya kudumu hata siku moja - my opinion.
Samahani mkuu,mbona umemuongelea balozi wa Italy tu na sio wale wakongo wanaokatwakatwa mapanga kwa kuvamiwa na wanamgambo mara kwa mara.
 
Asante mkuu, nilimuuliza jamaa kimtego ili ajue kuwa hata hawa FDLR ni watutsi pia walioingiaga Congo kitambo kama wafugaji na mpaka sasa wanang'ang'ania yale maeneo kama yao. Uwepo wao Goma unaipa Rwanda faida kubwa kwa kuiba madini ya almasi nchini Congo.
Fdrl ni wahutu hao,hata kipindi jk anamshauri kagame amalize tofauti na waasi wa rwanda walioko congo ndio walikua hao fdrl,hao jamaa wapo against paka
 
Fdrl ni wahutu hao,hata kipindi jk anamshauri kagame amalize tofauti na waasi wa rwanda walioko congo ndio walikua hao fdrl,hao jamaa wapo against paka
Asante sana kwa kunielekeza hili. Mwanzo nilijua ni watutsi kumbe ni wale hutu's remnants kipindi PK anachukua nchi
 
Samahani mkuu,mbona umemuongelea balozi wa Italy tu na sio wale wakongo wanaokatwakatwa mapanga kwa kuvamiwa na wanamgambo mara kwa mara.

Mkuu nayakumbuka sana hayo, ila kwa ushauri wangu naona alliance moja ambayo inaweza kufanya kweli fasta na resource nyingi za kutekeleza operation hiyo wanayo ni mataifa yanayo unda NATO - si unakumbuka walivyo deal na Gaddafi - ni kiasi cha kuhamua tu.
 
Kuna jamaa humu alitutaka tuangalie documentary inayokwenda kwa jina la the Blood in mobile . Ukiitaza
Kweli hii inshu kuisha siyo leo.
 
Back
Top Bottom