Serikali ya DRC yasema kundi la waasi wa FDLR-FOCA, limetekeleza mauaji ya Balozi wa Italia

Ikitokea mim ndo nmekuwa raisi wa Congo sasa hivi

Ndani ya saa 48 za mwanzo nitakuwa nishaichapa Rwanda.

Congo hakutatulia as long as watutsi wako hai.
Wazo kama langu mkuu, naongea na Kim au Muajemi au Mpaki, ananipa mzinga mmoja wa nyuki-lia, nabutua hiyo mbuga kuelekea Ki-ugali..

Najua nitaenda ICC lakini nitakuwa nimetengeneza amani ya kudumu eneo la maziwa makuu kwa miaka 100.

Everyday is Saturday............................... :cool:
 
Unaongea kimasihara mkuu. Hizo nuke warhead utazisafirishaje mpaka nchini mwako? Garama ya kutengeneza kombora moja linalosafirisha nuke warhead unazijua? Utakuwa tayari kununua na kufifisha uchumi wako? Huyo aliyekuzia naye lazima afanye assessment ya ataonekanaje na jamii ya kimataifa. It's ain't simple as you think mpaka upewe nuclear bomb
 
M23 walikuwa watutsi

Vikundi hivyo vinatumika tu na kufadhiliwa na nchi jirani - hakuna haja ya kuangahika na vijidagaa wakati mapapa wanao fadhili vurugu huko jimbo la KIVU wanajulikana - cha muhimu hapa nchi za NATO zikae chini na kutoa fundisho kama walivyo mpatia Gaddafi - wakitekeleza hatua hiyo fasta watakuwa wamefanya jambo la maana sana katika kuleta amani ya kudumu ndani ya nchi zinazo unda maziwa makuu.

Western Nation wasifumbie macho suala la kuuwawa Balozi wa Italy nchini Congo DRC, huwezi juwa who will be next victim wauuwaji wakiwa carried away na uuaji huu.

Narudia kukumbusha kwa mara nyingine tena, kwamba Western Nations wasilifumbie macho suala hili la mauuaji ya Balozi wa Italy,kama hawata chukuwa hatua kali dhidi ya wafadhili wa vurugu hizi za kuchonga, basi, Taifa la Congo DRC hasa jimbo la Kivu halitakuwa na amani ya kudumu hata siku moja - my opinion.
 
Vikundi hivyo vinatumika tu na kufadhiliwa na nchi jirani - hakuna haja ya kuangahika na vijidagaa wakati mapapa wanao fadhili vurugu huko jimbo la KIVU wanajulikana - kama nchi za NATO hazitakaa chini na kutoa fundisho kama walivyo mpatia Gaddafi - kuuwa Balozi sio kitu kidogo Western Nations walifumbie macho suala hiliTaifa la Congo DRC hasa jimbo la Kivu halitakuwa na amani ya kudumu hata siku moja - my opinion.
Balozi kuuwawa ni kawaida tu hata US ambassador hapo Libya mwaka 2012 aliuwawa fresh kabisa na bila tatizo.

Tena inatakiwa mabalozi wote wazungu walioko hapo Congo wafe,mbona Wa-Congo wanauwawa daily tu na hakuna mtu ana habari.
 
Vikundi hivyo vinatumika tu na kufadhiliwa na nchi jirani - hakuna haja ya kuangahika na vijidagaa wakati mapapa wanao fadhili vurugu huko jimbo la KIVU wanajulikana - kama nchi za NATO hazitakaa chini na kutoa fundisho kama walivyo mpatia Gaddafi - kuuwa Balozi sio kitu kidogo Western Nations walifumbie macho suala hiliTaifa la Congo DRC hasa jimbo la Kivu halitakuwa na amani ya kudumu hata siku moja - my opinion.
Sasa Gaddafi wa hapo Congo DRC ni nani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hao waasi wa FDRL ndio Jakaya Kikwete alitoa rai kwa serikali ya Rwanda kukaa nao mezani na kuangalia namna ya kutatua changamoto zao kwa njia ya mazungumzo/amani. Ushauri huo ulizua hasira na maneno ya kashfa dhidi ya JK kutoka kwa PAKA

Jambo jingine ni kwamba waasi wanapotekeleza operations zao ikiwa ni pamoja na hizo za mauwaji kwa targets zao hutangaza hadharani kuhusika kwao lakini kwenye hili FDRL wamekanusha kuhusika. Kwenye mauwaji ya Balozi huyu wa Italia nchini DRC inawezekana yametekelezwa na watu wengine na kisha kuwasingizia FDRL ili nchi za Magharibi ziingie uwanjani kupambana na kundi hili.

Sote tunamjua mtu mwenye akili za kijasusi, hila, njama, mauwaji kwenye ukanda huu ni mmoja tu. Na unapokorofishana naye na kuingia kwenye 18 zake, watu wake wanaweza kukufuata hata nje ya nchi yake na wakamalizana na wewe once and for all
 
That one iz paka , 'slim' kagame mywa damu wa karne
 
Fdlr ni masalia ya askari wa rais Havyarimana aliyedunguliwa kwenye ndege hivyo ni wahutu siyo watusi
Asante kwa kunielekeza mkuu, Kuna post nilisema si waache kung'ang'ania mapori ya Congo Goma, wapambane na adui yao mkuu PK Kuna mtu akanicrash vibaya.
 
Asante kwa kunielekeza mkuu, Kuna post nilisema si waache kung'ang'ania mapori ya Congo Goma, wapambane na adui yao mkuu PK Kuna mtu akanicrash vibaya.
ni mimi!

acha kudanganyika na porojo za kitoto.

waasi wadumu zaidi ya miaka 25 bila kumshambulia adui yao ni waasi gani hao. Hujiulizi?

Congo mbona wanamjua na huwa wanamtaja mhusika.
 
Serikali nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo imewashtumu waasi wa FDLR wenye asili ya Rwanda, kwa kumshambulia na kumuua balozi wa Italia nchini humo Luca Attanasio hapo jana karibu na mji wa Goma, mashariki mwa nchi hiyo.

Balozi Attanasio alikuwa katika msafara wa Shirika la mpango wa chakula duniani WFP wakati gari lao liliposhambuliwa.
Hata hivyo, kundi la FDLR limekanusha kuhusika na shambulizi hilo, kwa kile inachosema vikosi vyake viko mbali na eneo la shambulizi hilo.

Maafisa katika mbuga ya wanyamapori ya Virunga wanasema shambulio hilo lilikuwa jaribio la utekaji nyara lililoshindikana, pale walipoingilia kati mara moja.

Makundi mengi ya wapiganaji wenye silaha yameendelea kujiimarisha ndani na pembezoni mwa mbuga hiyo inayopakana na nchi jirani za Rwanda na Uganda.

Waziri wa mambo ya nje wa jamhuri wa DRC Marie Ntumba Nzeza amefahamisha kuwa serikali yake imeanzisha uchunguzi kubaini wahusika wa mauaji hayo na kwamba mpaka sasa hawajakamatwa.

Mbali na balozi huyo wa Italia kuuawa, dereva wa gari raia wa Congo pia aliuawa katika tukio hilo.

Pia soma
- Balozi wa Italia nchini Congo DRC auawa katika shambulizi
Usikute anatafutwa Kabila hapo, unaweza kuta watasema waasi walikuwa sponsored na Kabila
 
ni mimi!

acha kudanganyika na porojo za kitoto.

waasi wadumu zaidi ya miaka 25 bila kumshambulia adui yao ni waasi gani hao. Hujiulizi?

Congo mbona wanamjua na huwa wanamtaja mhusika.
Kweli kabisa, inaonekana Kuna maslahi mapana ya uwepo wa hiyo hali eneo la Goma na Kivu. Mi naona ni muda muafaka wa rais wa Congo now kuongea na majirani zake kama Tanzania, Angola na Zambia, ikiwezekana na Congo Brazzaville kushirikiana ili kuviondoa hivyo vikundi vyote vya waasi au kuingia nao nakubaliana ya amani ili waondoke au kuwajumuisha kaitka jeshi la nchi.
 
Ni kitu ambacho hakiwezekani kufanyika.
 
Back
Top Bottom