Jabali la Siasa
JF-Expert Member
- Jul 10, 2020
- 3,619
- 2,993
Ila huu ukweli mchungu aisee😂😂CHADEMA NJOONI MBISHE KAMA HAMJAPEWA PESA ZA NO REFORMS NO ELECTION NA SERIKALI YA CCM.
Rais Samia ameliwezesha Baraza la Vyama vya Siasa kufanya mikutano sita (6) na baraza hilo kutoa mawazo na ushauri uliowasilishwa Serikalini na kufanyiwa kazi. Kufuatia mashauriano yaliyowahusisha wadau wote wa kisiasa, Bunge lilitunga Sheria ya Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi Na. 1 ya Mwaka 2024, Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani Na. 2 ya Mwaka 2024, Sheria ya Vyama vya Siasa Sura ya 258, na Sheria ya Gharama za Uchaguzi. Kwa mara ya kwanza, katika historia ya nchi yetu, Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi iliundwa kwa sheria yake yenyewe. Tulifanya ili kujibu rai ya muda mrefu ya wadau wa kisiasa nchini. Miongoni mwa maboresho kwenye Sheria ya Uchaguzi yalikuwa ni kuongeza takwa la kila mgombea kupigiwa kura hata akiwa mgombea pekee, hatua ambayo inafuta kilichojulikana kama mgombea kupita bila kupingwa. Vilevile, utungaji wa Kanuni za uendeshaji wa uchaguzi ulifanyika, na Serikali imeendelea kuimarisha uendeshaji wa shughuli za vyama vya siasa nchini, ambapo hadi Juni, 2025, Serikali imetoa ruzuku ya Shilingi bilioni 87.81 kwa vyama vinavyostahili kupata ruzuku kama CCM, CHADEMA, ACT et el.
Ukweli mchungu upi? Hela za Serikali ni hela za CCM umerogwa?Ila huu ukweli mchungu aisee😂😂
Sasa ni Serikali ipi?Ukweli mchungu upi? Hela za Serikali ni hela za CCM umerogwa?
Ndio maana nimekuuliza umerogwa?Sasa ni Serikali ipi?
OCTOBA NI TIKIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIINdio maana nimekuuliza umerogwa?
We Mjinga sana 🤔🤔 Rais hana hela, hizo ni kodi kama ilivyo pesa za ruzuku kwa vyama ni kodi yetu watanzania 🤔🤔🤣🤣🤣🤣🤣 rudi shule kasome elimu ya Uraia, unaongozwa na ujinga,tumia akiliCHADEMA NJOONI MBISHE KAMA HAMJAPEWA PESA ZA NO REFORMS NO ELECTION NA SERIKALI YA CCM.
Rais Samia ameliwezesha Baraza la Vyama vya Siasa kufanya mikutano sita (6) na baraza hilo kutoa mawazo na ushauri uliowasilishwa Serikalini na kufanyiwa kazi. Kufuatia mashauriano yaliyowahusisha wadau wote wa kisiasa, Bunge lilitunga Sheria ya Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi Na. 1 ya Mwaka 2024, Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani Na. 2 ya Mwaka 2024, Sheria ya Vyama vya Siasa Sura ya 258, na Sheria ya Gharama za Uchaguzi. Kwa mara ya kwanza, katika historia ya nchi yetu, Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi iliundwa kwa sheria yake yenyewe. Tulifanya ili kujibu rai ya muda mrefu ya wadau wa kisiasa nchini. Miongoni mwa maboresho kwenye Sheria ya Uchaguzi yalikuwa ni kuongeza takwa la kila mgombea kupigiwa kura hata akiwa mgombea pekee, hatua ambayo inafuta kilichojulikana kama mgombea kupita bila kupingwa. Vilevile, utungaji wa Kanuni za uendeshaji wa uchaguzi ulifanyika, na Serikali imeendelea kuimarisha uendeshaji wa shughuli za vyama vya siasa nchini, ambapo hadi Juni, 2025, Serikali imetoa ruzuku ya Shilingi bilioni 87.81 kwa vyama vinavyostahili kupata ruzuku kama CCM, CHADEMA, ACT et el.
Jaribu kujitenga na aibu ndogondogoCHADEMA NJOONI MBISHE KAMA HAMJAPEWA PESA ZA NO REFORMS NO ELECTION NA SERIKALI YA CCM.
Rais Samia ameliwezesha Baraza la Vyama vya Siasa kufanya mikutano sita (6) na baraza hilo kutoa mawazo na ushauri uliowasilishwa Serikalini na kufanyiwa kazi. Kufuatia mashauriano yaliyowahusisha wadau wote wa kisiasa, Bunge lilitunga Sheria ya Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi Na. 1 ya Mwaka 2024, Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani Na. 2 ya Mwaka 2024, Sheria ya Vyama vya Siasa Sura ya 258, na Sheria ya Gharama za Uchaguzi. Kwa mara ya kwanza, katika historia ya nchi yetu, Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi iliundwa kwa sheria yake yenyewe. Tulifanya ili kujibu rai ya muda mrefu ya wadau wa kisiasa nchini. Miongoni mwa maboresho kwenye Sheria ya Uchaguzi yalikuwa ni kuongeza takwa la kila mgombea kupigiwa kura hata akiwa mgombea pekee, hatua ambayo inafuta kilichojulikana kama mgombea kupita bila kupingwa. Vilevile, utungaji wa Kanuni za uendeshaji wa uchaguzi ulifanyika, na Serikali imeendelea kuimarisha uendeshaji wa shughuli za vyama vya siasa nchini, ambapo hadi Juni, 2025, Serikali imetoa ruzuku ya Shilingi bilioni 87.81 kwa vyama vinavyostahili kupata ruzuku kama CCM, CHADEMA, ACT et el.
Umerogwa?OCTOBA NI TIKIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIII
Zingatia paragraph next time unatuchosha expert wanguCHADEMA NJOONI MBISHE KAMA HAMJAPEWA PESA ZA NO REFORMS NO ELECTION NA SERIKALI YA CCM.
Rais Samia ameliwezesha Baraza la Vyama vya Siasa kufanya mikutano sita (6) na baraza hilo kutoa mawazo na ushauri uliowasilishwa Serikalini na kufanyiwa kazi. Kufuatia mashauriano yaliyowahusisha wadau wote wa kisiasa, Bunge lilitunga Sheria ya Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi Na. 1 ya Mwaka 2024, Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani Na. 2 ya Mwaka 2024, Sheria ya Vyama vya Siasa Sura ya 258, na Sheria ya Gharama za Uchaguzi. Kwa mara ya kwanza, katika historia ya nchi yetu, Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi iliundwa kwa sheria yake yenyewe. Tulifanya ili kujibu rai ya muda mrefu ya wadau wa kisiasa nchini. Miongoni mwa maboresho kwenye Sheria ya Uchaguzi yalikuwa ni kuongeza takwa la kila mgombea kupigiwa kura hata akiwa mgombea pekee, hatua ambayo inafuta kilichojulikana kama mgombea kupita bila kupingwa. Vilevile, utungaji wa Kanuni za uendeshaji wa uchaguzi ulifanyika, na Serikali imeendelea kuimarisha uendeshaji wa shughuli za vyama vya siasa nchini, ambapo hadi Juni, 2025, Serikali imetoa ruzuku ya Shilingi bilioni 87.81 kwa vyama vinavyostahili kupata ruzuku kama CCM, CHADEMA, ACT et el.
Hata kama ikiwa taarifa yako ni ya kweli,vipi unafikiri watageuka kuwa chawa?CHADEMA NJOONI MBISHE KAMA HAMJAPEWA PESA ZA NO REFORMS NO ELECTION NA SERIKALI YA CCM.
Rais Samia ameliwezesha Baraza la Vyama vya Siasa kufanya mikutano sita (6) na baraza hilo kutoa mawazo na ushauri uliowasilishwa Serikalini na kufanyiwa kazi. Kufuatia mashauriano yaliyowahusisha wadau wote wa kisiasa, Bunge lilitunga Sheria ya Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi Na. 1 ya Mwaka 2024, Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani Na. 2 ya Mwaka 2024, Sheria ya Vyama vya Siasa Sura ya 258, na Sheria ya Gharama za Uchaguzi. Kwa mara ya kwanza, katika historia ya nchi yetu, Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi iliundwa kwa sheria yake yenyewe. Tulifanya ili kujibu rai ya muda mrefu ya wadau wa kisiasa nchini. Miongoni mwa maboresho kwenye Sheria ya Uchaguzi yalikuwa ni kuongeza takwa la kila mgombea kupigiwa kura hata akiwa mgombea pekee, hatua ambayo inafuta kilichojulikana kama mgombea kupita bila kupingwa. Vilevile, utungaji wa Kanuni za uendeshaji wa uchaguzi ulifanyika, na Serikali imeendelea kuimarisha uendeshaji wa shughuli za vyama vya siasa nchini, ambapo hadi Juni, 2025, Serikali imetoa ruzuku ya Shilingi bilioni 87.81 kwa vyama vinavyostahili kupata ruzuku kama CCM, CHADEMA, ACT et el.
NRNEOCTOBA NI TIKIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIII
Hizo ruzuku ndizo zinafanya wanasiasa kuuana. Vyama vitafute vyanzo vya fedha vyenyewe sio kutumia kodi za wananchi.CHADEMA NJOONI MBISHE KAMA HAMJAPEWA PESA ZA NO REFORMS NO ELECTION NA SERIKALI YA CCM.
Rais Samia ameliwezesha Baraza la Vyama vya Siasa kufanya mikutano sita (6) na baraza hilo kutoa mawazo na ushauri uliowasilishwa Serikalini na kufanyiwa kazi. Kufuatia mashauriano yaliyowahusisha wadau wote wa kisiasa, Bunge lilitunga Sheria ya Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi Na. 1 ya Mwaka 2024, Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani Na. 2 ya Mwaka 2024, Sheria ya Vyama vya Siasa Sura ya 258, na Sheria ya Gharama za Uchaguzi. Kwa mara ya kwanza, katika historia ya nchi yetu, Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi iliundwa kwa sheria yake yenyewe. Tulifanya ili kujibu rai ya muda mrefu ya wadau wa kisiasa nchini. Miongoni mwa maboresho kwenye Sheria ya Uchaguzi yalikuwa ni kuongeza takwa la kila mgombea kupigiwa kura hata akiwa mgombea pekee, hatua ambayo inafuta kilichojulikana kama mgombea kupita bila kupingwa. Vilevile, utungaji wa Kanuni za uendeshaji wa uchaguzi ulifanyika, na Serikali imeendelea kuimarisha uendeshaji wa shughuli za vyama vya siasa nchini, ambapo hadi Juni, 2025, Serikali imetoa ruzuku ya Shilingi bilioni 87.81 kwa vyama vinavyostahili kupata ruzuku kama CCM, CHADEMA, ACT et el.
chadema ni balaa hawaachi kituCHADEMA NJOONI MBISHE KAMA HAMJAPEWA PESA ZA NO REFORMS NO ELECTION NA SERIKALI YA CCM.
Rais Samia ameliwezesha Baraza la Vyama vya Siasa kufanya mikutano sita (6) na baraza hilo kutoa mawazo na ushauri uliowasilishwa Serikalini na kufanyiwa kazi. Kufuatia mashauriano yaliyowahusisha wadau wote wa kisiasa, Bunge lilitunga Sheria ya Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi Na. 1 ya Mwaka 2024, Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani Na. 2 ya Mwaka 2024, Sheria ya Vyama vya Siasa Sura ya 258, na Sheria ya Gharama za Uchaguzi. Kwa mara ya kwanza, katika historia ya nchi yetu, Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi iliundwa kwa sheria yake yenyewe. Tulifanya ili kujibu rai ya muda mrefu ya wadau wa kisiasa nchini. Miongoni mwa maboresho kwenye Sheria ya Uchaguzi yalikuwa ni kuongeza takwa la kila mgombea kupigiwa kura hata akiwa mgombea pekee, hatua ambayo inafuta kilichojulikana kama mgombea kupita bila kupingwa. Vilevile, utungaji wa Kanuni za uendeshaji wa uchaguzi ulifanyika, na Serikali imeendelea kuimarisha uendeshaji wa shughuli za vyama vya siasa nchini, ambapo hadi Juni, 2025, Serikali imetoa ruzuku ya Shilingi bilioni 87.81 kwa vyama vinavyostahili kupata ruzuku kama CCM, CHADEMA, ACT et el.
Rubbish.,CHADEMA NJOONI MBISHE KAMA HAMJAPEWA PESA ZA NO REFORMS NO ELECTION NA SERIKALI YA CCM.

Punguza utoto dogo.CHADEMA NJOONI MBISHE KAMA HAMJAPEWA PESA ZA NO REFORMS NO ELECTION NA SERIKALI YA CCM.

Safi sanaCHADEMA NJOONI MBISHE KAMA HAMJAPEWA PESA ZA NO REFORMS NO ELECTION NA SERIKALI YA CCM.