Serikali ya CCM yazidi kuchafuka UDOM

Si kweli wanafunzi wote wa udom walimchangia kikwete eleweni wanachukuliwa wachache halafu wanafanya generalization na matangazo kibao kule udom kuna wanaharakat kushinda vyuo vyote tz
 

Ninyi mlifungua tar 19/9. Na SAUT walifungua tar 12 ya mwez huohuo...namaanisha chuo chenu hakikuwa chakwanza kufungua!
 
Hivi hawa si ndiyo walimchangia Kikwete hela ya kuchukulia form? Mbuzi kabisa nyie, I wish msipewe hilo bumu mwaka mzima.

Wewe hauna kitu kichwani hivi unafikiri watuwalio jiunga udom 2010 na 2011 walikuwepo mda wa kumchangia kikwete pia hata waliokuwepo walikuwa wote wana ccm ficha upumbavu wako.
ACHA VIJANA WAPUNGUZE HASIRA KWA KUONGEA
 
Mmejuwa leo kuwa sirikale ya magamba haifai kwa vile hamjapata boom? na je utaratibu mpya wa kuwanyima mkopo wanafunzi wote wasioenda kusomea udaktari, ualimu katika sayansi mnauonaje? hamuoni kama magamba yamefikia ukomo wa kufikiri? hamuoni magamba yanatuharibia nchi eti kwa vile yenyewe yameshapoteza matumaini ya kuendelea kutunyonya damu zetu? zamani wanafuzi vyuo vikuu waliheshimika mbele ya jamii kwani walikuwa na uwezo wa kupinga dhuluma kwa kuweka wazi mambo wasiyoyataka. wanavyuo wa siku hizi uwezo huo mmepeleka wapi? au kwa vile wengi mmeingia kwa pass za ajabu mnaona mkiongea tu mkatimuliwa ndo utakuwa mwisho wenu?

hebu amkeni, acheni woga, teteeni haki zenu bila uoga. ebooo!
 

anaepaswa kulaum kucheleweshewa mkopo ni chuo.....wewe umecheleweshewa pesa ya kujikimu.....
Kama unaichukia ccm kwa kukucheleweshea pesa ya kujikimu basi una matatizo ya fikra,,,watanzania wanaichukia ccm kwa kushindwa kukemea na kuuondoa ufisad,umaskin,....kwa hiyo na wewe ungana na watanzania woooote si kisehem cha wasomi
 
ninyi ndio kipenzi cha ccm na kikwete iweje awatende hivyo ? poleni sana naimani kwa mtini mmejifunza next time mtawasikiliza wanaharakati na hamta mchangia tena kikwete mamilioni

teh teh teh,,,,walimnunulia form etiiii,,,,yaan hiyo dhambi haitawaisha wala kuwatoka hata waje wanafunzi wa miaka miaka,,,,,,mingapi?????
 
Wewe unayechukulia mambo ya kuchakiwa form mawazo yako ni mganda sidhani kama hata ukipa uongozi utakuwa mwepesi wa kubadilisha mawazo kulingana na mabadiliko yaliopo. Kwanza ninyi mnaweza kuwa miongoni mwa wanafunzi mliondamana kuisindikiza serikali kufanya mabadiliko ya mawaziri mkiwa kama umoja wa vijana wa ccm tanzania. Mimi kama great thinker nimeisha waelewa ninyi ni magamba ambao mnapenda kutoa maneno ya uchonganishi ili tuhame cdm na kwenda ccm ila kwa kuwa naangalia mbali, ukombozi wa nchi unakalibia kwa kupitia muungano mzuri wa wanafunzi ktk kuipenda cdm i believe once day will respect us.
 
Wewe ni mgumu wa fikra mwalimu asipoingia darasani kufundisha mwasilika ni mwalimu au ni mwanafunzi kuwa mwepezi wa kufanya upembuzi yakinifu ktk mawazo yako.
 
mnajirudi? mwaka 2015 nendeni tena mkamchukulie mgombea urais fomu ya kugombea sio ndio zenuu?

huu ni ushuzi mtupu, na miji2 yenye akili rigid km nyie mnanikeraga! Unataka kuniambia ccm tawi la udom ndo wamekuwa udom nzima? Mnakera mbaya nyie watu mnaoshadidia udom walinunua fomu! Huu ni us....e mtupu! Je udom kununua fomu ndo imeletea gvt kuwa iresponsible? Ndo imefanya huduma za kijamii na uchumi kuwa ovyo? Na nani alisema wanafunzi wote wa udom walitoa fedha zao na ni wanachama wa ccm? Km angechangiwa CHADEMA na hali ikawa km ilivyo mngelaumu? Acheni kuwa u-bias tena wa kijinga! Once i thought watu wanaoingia jf ni great thinkers bt kuna wengne hapa ni mapimbi na magreat stinkers. I thnk critical thnker angewalaumu wanafunzi walionunua hyo form instead of blaming udom. By the way hzo milioni 1 tangu cjui 2010 zingekuwepo mfukoni tu? Na je kuna ubaya mtu kuonesha mapenzi kwa kiongozi wake? Why hamuwatukani waliomtangaza kuwa masiha? Hz kauli za "udom mtajiju, mlichangia fomu, blah blah blah!" hunikera na wanaozitoaga nawaona watu wenye akili ndogo kama ya kondoo! PYAA!
 
teh teh teh,,,,walimnunulia form etiiii,,,,yaan hiyo dhambi haitawaisha wala kuwatoka hata waje wanafunzi wa miaka miaka,,,,,,mingapi?????

Huu ni us....e mtupu! Je udom kununua fomu ndo imeletea gvt kuwa iresponsible? Ndo imefanya huduma za kijamii na uchumi kuwa ovyo? Na nani alisema wanafunzi wote wa udom walitoa fedha zao na ni wanachama wa ccm? Km angechangiwa CHADEMA na hali ikawa km ilivyo mngelaumu? Acheni kuwa u-bias tena wa kijinga! Once i thought watu wanaoingia jf ni great thinkers bt kuna wengne hapa ni mapimbi na magreat stinkers. I thnk critical thnker angewalaumu wanafunzi walionunua hyo form instead of blaming udom. By the way hzo milioni 1 tangu cjui 2010 zingekuwepo mfukoni tu? Na je kuna ubaya mtu kuonesha mapenzi kwa kiongozi wake? Why hamuwatukani waliomtangaza kuwa masiha? Hz kauli za "udom mtajiju, mlichangia fomu, blah blah blah!" hunikera na wanaozitoaga nawaona watu wenye akili ndogo kama ya kondoo! PYAA!
 
Natamani ningekuwa na uwezo! UDOM wote mngechapwa bakora 6 mnapoamka na 6 mnapoenda kulala na 12 to and from your likizo. Mnatia hasira sana! Hv hamkutaadharishwa kuhusu CCM! Mnastahili haya!
 
Akaufanya moya wa Farao kuwa mgumu, hadi mapigo yote yatimie. Kila mtu atawachukia.
 
wakati mwingine great thinkers tuzungumzie reality na sio kuwa biased km tunavyoonekana now,vyuo vyote Tanzania vina matawi ya vyama husika,so km tawi fulani limeamua kumsapoti kiongoz wake no problem,tusiwe watu wa kucommit fallacy of hust generalization kila mara
 

Hamna lolote nyie, nyie wenyewe ndio mnao haribu chuo chenu kwa kuingiza siasa za CDM vyuoni , na usidhani na wao wamelala,na wao ccm wanajipanga pia. Mmejidharaulisha wenyewe na hayo ndio malipo yake, mtaisoma namba safari hii na u-cdm wenu
 
Ni kweli kuwa kuna baadhi ya wanaUDOM ni makada wa CCM na CCM imekuwa ikiwatumia kama msimamo wa wanachuo wote na itaendelea kufanya hivyo siku zote,njia pekee ni kuja kinyume nao kwa kufanya haya: 1/Kila mwanaUDOM asiye ipenda CCM anakuwa na kadi ya Chadema na gwanda 2/Kujibu kinyume kila tamko au tukio linalotolewa na CCM kutumia UDOM.
 
Kweli kaka hata wewe ulipo unaisha kwa uwepo wa cdm viva CHADEMA
 
Nyinyi wanafunzi cha Muhimu mngeanza kusema CCM hapana tangu mwanzo juzi mlibebwa na magari kwa ajili ya kupigwa picha na kupewa wali mkakubali hicho ni kitendo kilicho wafanya mdharaulike kwa upande wa jamii inayopenda mabadiriko pia hata CCM waliwadharau pia kwani thamani yenu ni soda na wali kwa hiyo msilalamike mliyataka wenyewe. Mkitaka muaminiwe na wapenda mabadiliko ya nchi hii badirikeni kuanzia sasa
 
Mbna povu linakutoka mkuu?fomu udom mlichangia ama lah,mvua ikinyesha uwanyeshea wote wenye dhambi na wasio kua na dhambi,laana itawatafuna kizazi na kizazi hapo udom,poleni kwa kua sehem ya ku generate matatizo ya nchi hii..
 
wan vyuo ndo tutaikomboa hii nchi. kwa hiyo naomba kila mmoja akawe nabii mwema,
hasa maeneo tunayotoka, this is for all university students in tanzania.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…