Serikali ya CCM, ushuhuda kama kanisani.

Morrison

Senior Member
Jun 6, 2012
102
17
Ni dalili ya kuishiwa, ni dalili ya kuzidiwa, ni kusaga meno na kutapatapa! Ama kweli, kumbe hata mbinu za makasisi katika madhabahu za kipentekoste mara nyingine zaweza kutumika katika siasa eeh! Sijawahi kufikiria hivyo lakini leo Serikali ya CCM inajaribu kuona kama itakuwa turufu yenye tija. Eti mjane aliyekuwa akisumbuka na kodi ya pango, chini ya mkukuta kupitia TASAF sasa anamiliki nyumba! Eti mzee wa miaka 70 anashuhudia kupata matibabu kupitia mradi wa maendeleo kupitia TASAF, another comedy session! Hatudanganyiki mpaka muwaanike mafisadi wafichaji fedha katika akaunti za Uswiss.:spy:

Source: Star TV, Taarifa ya Habari ya Saa 08:00 Usiku, 15/08/2012
 
Back
Top Bottom