Serikali ya CCM ni janga la taifa

Bila watanzania kuamka usingizini tutazidi kulaumu hasi Yesu arudi.

Mkuu

Nadhani watu wameanza kuamka, vugu vugu hili la mabadiliko, walio madarakani pressure wanaipata. Ni muhimu kuhamsishana hasa watu wa mijini, kasi ya vijijini I tell you ni kubwa mno.
 
Mimi unafiki staki msema hovyo. Nitasema kilicho moyoni, Nape aache kutupotezea muda na propaganda za ati Lowassa, Chenge na Rostam ndiyo magamba ya CCM. Leo naweka wazi kabisa kwamba hawa si magamba na wala si hao waliosababisha CCM ipoteze umaarufu. Gamba kuu la CCM ni Kikwete. Story zaidi ya sababu ya yeye kuwa gamba kuu nitawaletea baadaye. Endeleeni kudadavua kwanza.
 
Mimi unafiki staki msema hovyo. Nitasema kilicho moyoni, Nape aache kutupotezea muda na propaganda za ati Lowassa, Chenge na Rostam ndiyo magamba ya CCM. Leo naweka wazi kabisa kwamba hawa si magamba na wala si hao waliosababisha CCM ipoteze umaarufu. Gamba kuu la CCM ni Kikwete. Story zaidi ya sababu ya yeye kuwa gamba kuu nitawaletea baadaye. Endeleeni kudadavua kwanza.
JK ni Gamba la KICHWANI ................ Hao wengine ni magamba ya tumboni, mgongoni, mkiani. TATIZO NI KUWA KUNA MAGAMBA YA JICHO....... UKIYAVUA JICHO LITAKOSA UWEZO WA KUONI........Na ndiyo hofu yao............. ILI HILIM LA KICHWANI UKILITOA TU.........JOKA LITAKUFA
 
Tulikua wote kwenye stori za sridi ya USALAMA WA TAIFA........na hapa umekuja na Hoja,any way kikwete ana sehemu ya tatizo
Mimi unafiki staki msema hovyo. Nitasema kilicho moyoni, Nape aache kutupotezea muda na propaganda za ati Lowassa, Chenge na Rostam ndiyo magamba ya CCM. Leo naweka wazi kabisa kwamba hawa si magamba na wala si hao waliosababisha CCM ipoteze umaarufu. Gamba kuu la CCM ni Kikwete. Story zaidi ya sababu ya yeye kuwa gamba kuu nitawaletea baadaye. Endeleeni kudadavua kwanza.
 
Mimi unafiki staki msema hovyo. Nitasema kilicho moyoni, Nape aache kutupotezea muda na propaganda za ati Lowassa, Chenge na Rostam ndiyo magamba ya CCM. Leo naweka wazi kabisa kwamba hawa si magamba na wala si hao waliosababisha CCM ipoteze umaarufu. Gamba kuu la CCM ni Kikwete. Story zaidi ya sababu ya yeye kuwa gamba kuu nitawaletea baadaye. Endeleeni kudadavua kwanza.

hayo unayoyasema ni ya Kweli Kikwete ndiye Gamba Kubwa kuliko Lowassa au Chenge, Kikwete ndio Gamba linalolinda Ufisadi, Rushwa na matatizo mengine ya nchi yetu.

Dawa yake ni Kulivua pamoja na ccm
 
hayo unayoyasema ni ya Kweli Kikwete ndiye Gamba Kubwa kuliko Lowassa au Chenge, Kikwete ndio Gamba linalolinda Ufisadi, Rushwa na matatizo mengine ya nchi yetu.

Dawa yake ni Kulivua pamoja na ccm
Naona CCM wame-overlook tatizo. Hawa jamaa akina Lowassa na Chenge, kujiuzulu kwao uongozi ilitosha kabisa. Wala sisi wananchi hatukuwa na tatizo nao tena. Lakini maisha yamekuwa yakitupiga nyundo usiku na mchana hadi tukamkumbuka hata huyo Lowassa kwamba alikuwa angalau ana udhubutu kuliko hao waliobaki baada ya yeye kuondoka.
Sasa watasemaje umaarufu wa CCM umeshuka kwa sababau ya akina Lowassa ambao walishajiuzuru tangu 2008? Tatizo ni Kikwete, hana uwezo wa kuwa mwenyekiti wa CCM na zaidi sana kuwa Rais. Jamaa ni kama celebrity flani hivi, anakufanya ikulu ni mahali kwa kumpa exposure. Gamba hili. Kama Nape ana nia ya dhati ya kukisafisha chama, aanze kumwondoa Kikwete. Wamfukuze kwenye chama wenzao ANC waliweza wao wanashindwa nini?
Nawambieni CCM, huyo Lowassa mnayesema ni gamba, akiondoka CCM akaenda upinzani, atachukua urais!!
 
Mkuu wa PLO

Suala ni si kuwa CHADEMA tu! Ninachokilalamika hapa ni hili la CCM kutufanya sisi Watanzania ujinga wetu uwe mtaji wao wa kuendesha mambo hovyo hovyo. Wabunge aina ya Shibuda wanastahili kubakia CCM ifike wakati tuvuke kutoka kwenye utani twende kwenye mambo ya msingi. Nimesomea Tanzania kwa ngazi zote, migomo ya chuo kikuu wale walikuwa na uwezo mdogo I mean wachechemeaji mara nyingi ndiyo walikuwa traitors, wakitishiwa watafukuzwa mara nyingi walikuwa wakiasi migomo. Vitisho vya kufukuzwa ilikuwa ni ngao kwa uongozi wa chuo. Lakini wale walikuwa wanajiamini walijua hata nikifukuzwa hapa nitaenda SUA ama MZumbe option zinakuwa nyingi. Watu hao hao kuja kwenye maisha ya kawaida ni waoga wanakuwa oppressed na wanaogopa poteza kazi zao na wananufaika na mfumo huu mbovu. Angalia hata wanaCCM wengi hapa JF hawawezi jenga hoja ni wababaishaji kwenye ufahamu wao.

Elimu ya uraia ni suluhisho kubwa, wengi sasa wanajiunga na mageuzi wakiwa na moyo wa kubadilisha na kuiondoa nchi mikononi mwa walafi wa CCM na vibaraka wao

Masa K

Mchungaji sijui kwanini umeona kama nafanya utani?!

Ingawa umesema ni utani lakini nimependa maneno mawili katika majibu yako:
  1. CCM wanatumia ujinga wetu kama mtaji wao...
  2. Elimu ya Uraia ni moja ya suluhisho la kudumu ....
Mchungaji nashukuru; hakika sikuwa nafanya utani nilikuweka jiwe kichwani, hoja yangu ipo kwenye maeneo hayo hayo mawili uliyogusia na ufafanuzi uliutoa ni mzuri sana.

Naamini kuwa kama ambavyo CCM wanavyotumia ujinga wetu kama mtaji wao ndivyo ambavyo Chama chochote kikiingia madarakani kinaweza kutumia ujinga huo inavyotaka! Hivyo nilidhani pia pamoja na mambo mengine tueleke nguvu kwenye mzizi wa tatizo ambalo wewe umeuiita ujinga, ndio nakubali unafaa kuitwa ujinga lakini tusiegemeze matumaini yetu 100% kwa wanasiasa maana hao wanasiasa wanaotuumiza leo ndio yamkini wanaweza kutu umiza tena kesho kwa jina lingine la chama lakini aina ya watu ni walewale.Tress pass kutoka chama A kwenda B imekuwa kubwa na pia asilimia zaidi ya 50% wameonyesha wanatabia sawa waliopo CCM na waliopo Vyama vyote vya Upinzani;wapo wapinzani ambao tuliwapa matumaini lakini wameonyesha uchu mkubwa sana wa madaraka na hata kujichafuwa kwa kashfa kama za watendaji wa CCM pale waliposhika vyeo vidogo tu! sasa wakishika vikubwa itakuwaje?

Ujue tuna kazi kubwa sana kuilinda Chadema maana sasa ndio imekuwa target pekee ya Mafisadi kama ulivyosema wao wanajuwa kuwa sisi ni wajinga na hatuna neno ila wabaya wao ni hao wanaotusemea wakati sisi hatuna neno tupo powa tu!

Ndio maana utaona hata CCM mashambulizi yao kwa zaidi ya 95% wanaelekeza kwa Dr. Slaa kama mtu binafsi na si kwa CDM kama chama, unadhani kwanini?! husije ukadhani kuwa wanakosea wanajuwa wanachofanya, umesikia habari ya Kikwete na hadhiti ya aina mtu anayetaka kumrithi? Salamu za mtu anayetaka amrithi kawapa vijana wa CDM na NCCR wala siyo vijana wa CCM, angalia waliotaka kuishika BAVICHA pamoja na vijana wa CDM walivyojadili hiyo hoja kuliko hata vijana wa CCM! suguwa kichwa husilale, safari badi ndefu hii.

Kuhusu hawa baadhi ya vijana wa CCM unaosema hamna kitu ni kweli hamna kitu; lakini ndio challenge kwangu mimi na wewe na wate wanaoipenda Tanzania, maana wapo katika hilo kundi ulilosema ujinga wetu, hao ndio wajinga wetu nambari moja! Maana mtu anaingia hadi kwenye mtandao kujadili hatima ya nchni yake lakini anasahau anafikiria zaidi hatima ya kujaza choo chake?! hao ndio tuliona wengi na bahati mbaya wapo kwenye vyama vyote siyo CCM peke yake, nilazima tunapofikiria kuiondowa CCM tufikirie na jinsi ya kudhibiti hili tatizo.

Heri ya Shibuda, actully mimi nampenda sana shibuda na anafaa kuendelea kuwepo Chadema, Lissu kakosea sana kumpa barua, huyu hana shida ni mtu anaongea wazi na adharani hana madhara wapo wenye madhara kuliko unavyofikia na hatuoni hatua yoyote hikichuliwa. Kupiga kelele na jina la Shibuda ni upuuzi mwingine na ujinga mwingine tulionao maana inaonekana hata hatujui nani anaweza kutudhuru! Juzi juzi Chadema imeponea chupuchupu kwenye Uchaguzi wa Vijana Shibuda alikuwa na times zake na mambo yake mbona hatujasikia hatua yoyote ikichukuliwa juu ya mambo makubwa tuliyosikia wakati wa Uchaguzi ule!

Juwa kuwa kama amabavyo unafikiria kuwa CCM wanatumia ujinga wetu kama mtaji wao, pia hata CDM wapo wanavizia kutumia ujinga wetu kuwa mtaji wao.
 
Katika thread, Umeme, Kikwete, CCM na Ngeleja, nani janga la taifa? Wengi sana walimtaja Kikwete kama janga la taifa. Naona wewe umeongeza CCM kuwa na yenyewe ni janga la taifa. Kifuatacho nini mchungaji? Maana janga lolote shart mliondoe, ili lisimalize wasio na hatia. Sasa tunaanzaje kuliondoa janga hili? Nafikiri huo ndo unaweza kuwa mjadala mhimu kwa sasa.
 
Mchungaji sijui kwanini umeona kama nafanya utani?!

Ingawa umesema ni utani lakini nimependa maneno mawili katika majibu yako:

  1. CCM wanatumia ujinga wetu kama mtaji wao...
  2. Elimu ya Uraia ni moja ya suluhisho la kudumu ....
Mchungaji nashukuru; hakika sikuwa nafanya utani nilikuweka jiwe kichwani, hoja yangu ipo kwenye maeneo hayo hayo mawili uliyogusia na ufafanuzi uliutoa ni mzuri sana.

Naamini kuwa kama ambavyo CCM wanavyotumia ujinga wetu kama mtaji wao ndivyo ambavyo Chama chochote kikiingia madarakani kinaweza kutumia ujinga huo inavyotaka! Hivyo nilidhani pia pamoja na mambo mengine tueleke nguvu kwenye mzizi wa tatizo ambalo wewe umeuhita ujinga, ndio nakubali unafaa kuitwa ujinga lakini tusiegemeze matumaini yetu 100% kwa wanasiasa maana hao wanasiasa wanaotuumiza leo ndio yamkini wana wezakutuhumiiza tena kesho kwa jina lingine la chama watu walewale.Tress pass kutoka chama A kwenda B imekuwa kubwa na asilimia zaidi ya 50% wameonyesha wanatabia sawa waliopo CCM na waliopo Vyama vyote vya Upinzani;wapo wapinzani ambao tuliwapa matumaini lakini wameonyesha uchu mkubwa sana wa madaraka na hata kujichafuwa kwa kashfa kama za watendaji wa CCM pale waliposhika vyeo vidogo tu! sasa wakishika vikubwa itakuwaje?

Ujue tunakazi kubwa sana kuilinda Chadema maana sasa ndio imekuwa target pekee ya Mafisadi maana kama ulivyosema wao wanajuwa kuwa sisi ni wajinga na hatuna neno ila wabaya wao ni hao wanaotusemea wakati sisi hatuna neno tupo powa tu!


Ndio maana utaona hata CCM mashambulizi yao kwa zaidi ya 95% wanaelekeza kwa Dr. Slaa kama mtu binafsi na si kwa CDM kama chama, unadhani kwanini?! husije ukadhani kuwa wanakosea wanajuwa wanachofanya, umesikia habari ya Kikwete na hadhiti ya aina mtu anayetaka kumrithi? Salamu ya mtu anayetaka amrithi kawapa vijana wa CDM na NCCR wala siyo vijana wa CCM, angalia waliotakakushika BAVICHA pamoja na vijana wa CDM walivyojadili hiyo hoja kuliko hata vijana wa CCM! suguwa kichwa husilale.


Hawa baadhi ya vijana wa CCM unaosema hamna kitu ni kweli hamna kitu; lakini ni challenge kwangu mimi na wewe na wate wanaoipenda Tanzania, haswa hao ndio niliowalenga na ninadhani ndio wanaoingia kwenye kundi ulilosema ujinga wetu! Maana mtu anaingia hadi kwenye mtandao kujadili hatima ya nchni yake lakini hanasahau anafikiria hatima ya kujaza choo chake?! hao ndio tuliona wengi na bahati mbaya wapo kwenye vyama vyote siyo CCM peke yake, nilazima tunapofikiria kuiondowa CCM tufikirie na jinsi ya kudhibiti hili tatizo.

Heri ya Shibuda, actully mimi nampenda sana shibuda na anafaa kuendelea kuwepo Chadema, Lissu kakosea sana kumpa barua, huyu hana shida ni mtu anaongea wazi na adharani hana madhara wapo wenye madhara kuliko unavyofikia na hatuoni hatua yoyote hikichuliwa. Kupiga kelelena jina la Shibuda ni upuuzi mwingine na ujinga mwingine maana inaonekana hata hatujui nani anaweza kutudhuru! Juzi juzi Chadema imeponea chupuchupu kwenye Uchaguzi wa Vijana Shibuda alikuwa na times zake na mambo yake mbona hatujasikia hatua yoyote ikichukuliwa juu ya mambo makubwa tuliyosikia wakati wa Uchaguzi ule!

Juwa kuwa kama amabavyo unafikiria kuwa CCM wanatumia ujinga wetu kama mtaji wao, pia hata CDM wapo wanavizia kutumia ujinga wetu kuwa mtaji wao.

Nimekusoma kwa taabu sababu kubwa ni Font uliyotumia, Mimi umri umekwenda na miwani leo sina.

Obama aliisha sema kuwa Afrika haihitaji strongmen BUT needs strong institutions. Kama tukiweza fuata utawala wa sheria hata kama CCM / CUF/CDM watakuwa madarakani lazima watacheza kwa step maana watajua kuna mahakama. Michezo ya kijinga ya akina Riz-One, Chenge, Lowassa wangeogopa. Hosea angefanya Kazi ya TAKUKURU. Nirudi kwa hoja kama watanzania bila itiakdi tuwe makini na aina ya viongozi tunawaweka madarakani, kuna rafiki yangu yeye yuko UN, 2005 aliniambi mbona huyo Kikwete manashabikia sana ? amekuwa madarakani miaka mingi amefanya nini? Nakumbuka gazeti la Uhuru lilikuwa lina mnadi Nuru MPYA imeonekana Chagua Kikwete. Kama kawaida tukaangalia meno na tabasamu bila hata kufatilia track record ya huyu bwana. Leo tunalalamika ooohh Msanii huyu tulikuwa wapi kujua alifanya sana usanii akiwa Lindi na Mtwara, Ubunge Chalinze, Unaibu waziri, Waziri wa fedha, waziri wa Nishati na Madini, waziri wa mambo ya nje?

Wito elimu ya Uraia ni muhimu sana tuweze kuchangua watakaotuvusha kwenda caanan, Unayo nafasi itumie uwongo na utapeli wa CCM ufike mwisho, Kumbuka hata CCM wapo wachache wenye mtizamo chanya ila walio wengi ndo hao wanaiba mataulo hotelini.

"Change will not come if we wait for some other person, or if we wait for some other time. We are the ones we've been waiting for. We are the change that we seek. "
- Barack Obama
 
Nimekusoma kwa taabu sababu kubwa ni Font uliyotumia, Mimi umri umekwenda na miwani leo sina.

Obama aliisha sema kuwa Afrika haihitaji strong leaders BUT needs strong institutions. Kama tukiweza fuata utawala wa sheria hata kama CCM / CUF/CDM watakuwa madarakani lazima watacheza kwa step maana watajua kuna mahakama. Michezo ya kijinga ya akina Riz-One, Chenge, Lowassa wangeogopa. Hosea angefanya Kazi ya TAKUKURU. Nirudi kwa hoja kama watanzania bila itiakdi tuwe makini na aina ya viongozi tunawaweka madarakani, kuna rafiki yangu yeye yuko UN, 2005 aliniambi mbona huyo Kikwete manashabikia sana ? amekuwa madarakani miaka mingi amefanya nini? Nakumbuka gazeti la Uhuru lilikuwa lina mnadi Nuru MPYA imeonekana Chagua Kikwete. Kama kawaida tukaangalia meno na tabasamu bila hata kufatilia track record ya huyu bwana. Leo tunalalamika ooohh Msanii huyu tulikuwa wapi kujua alifanya sana usanii akiwa Lindi na Mtwara, Ubunge Chalinze, Unaibu waziri, Waziri wa fedha, waziri wa Nishati na Madini, waziri wa mambo ya nje?

Wito elimu ya Uraia ni muhimu sana tuweze kuchangua watakaotuvusha kwenda caanan, Unayo nafasi itumie uwongo na utapeli wa CCM ufike mwisho, Kumbuka hata CCM wapo wachache wenye mtizamo chanya ila walio wengi ndo hao wanaiba mataulo hotelini.

"Change will not come if we wait for some other person, or if we wait for some other time. We are the ones we've been waiting for. We are the change that we seek. "
- Barack Obama

Nimekupata kaka, Pole kwa font size nimeongeza tena, ila there you are! upo sahihi kabisa kazi bado tunayokubwa na ni jukumu letu sote.
 
Napenda kuuliza kwanini Kikwete na serikali yake wanayumba mpaka inafika wakati wakuu wa usalama kama KITINE na SARAKIKYA wanatoa kauli za kuonya mwenendo wa serikali hii.

je nini kinachomyumbisha mkuu wetu wa nchi?
 
Yaaani huoni au huyasikiii,wewe haupo TANZANIA????

tupo lakini nilipenda kusikia uchambuzi wa kina zaidi kwani sijawahi kusikia serikali inayolaumiwa na wakuu wa usalama katika ngazi ya juu na wakati mwingine mawaziri wakuu wastahafu nao wanaishambulia sijui mwisho wake utakuwaje?
 
Ndugu zangu, tutafakari kidogo.

Kwa miaka mitano ya utawala wa JK, nchi yetu imekumbwa na balaa la hali ngumu sana ya maisha. Leo Watanzania tunakabiliwa na balaa kubwa la mfumuko wa bei katika kila bidhaa tuinunuayo. Takwimu zinaonyesha kila bidhaa imepanda bei mara mbili ya ilivyokua miaka mitano iliyopita. Hii inamaana gani? Uwezo wa mtanzania kununua bidhaa unapungua, hivyo biashara zinadorora, serikali inakosa mapato, ajira zinapungua, vipato vya watanzania vinapungua, uwezo wa watanzania kujikimu unapungua hivyo njaa, maradhi, umaskini vinaongezeka.

Watu wanaripotiwa kula mlo mmoja, familia kushindia uji, kusaga ubuyu na unga wake kuwa mlo, Matukio ya watu kuuana, kujeruiana, kukatana mapanga, kuchomana viganja nk., kwasababu tu ya kuiba mboga, kupoteza pesa za kuhemea dukani, kuunguza mboga nk yanaongezeka kila siku. Watu wanakata tamaa.

Haya yanatokea JK wetu yuko busy kuendeleza mzaha IKULU. Kila kitu kwake Ucheshi na burudani. Hajui nini afanye kukomboa Taifa ili. Akipewa nafasi na vyombo vya habari kuelezea mikakati yake ya kukomboa Taifa ili, yeye hupata kigugumizi wkt wa kujibu maswali, (tuna tuna tuna tuna jipanga, nina nina nina nina mpingao... mare mare mare mare marekani wameahidi....) Lkn akiwa kwenye mizaha yake huwezi kusikia hicho kigugumizi. Anaongea kama watu wa mipasho.

Karudi madarakani kwa ila, na marafiki zake ambao Taifa limewanyooshea vidole kwa kuliangamiza na ufisadi, sasa wameshika kasi kurudi kwenye hatamu za uongozi na wala JK hashtuki. Keshokutwa ataondoka na atawaachia madaraka wao. Tena kwa mabavu haya haya ya kuchakachua maamuzi ya wananchi.

Kuondoka na aondoke, lkn, kwanza atawaacha wananchi katika hali mbaya sana ya maisha baada ya utawala wake mbovu, na pia ataiacha nchi mikononi mwa majangili ambao ndio watapingilia misumari ya mwisho mwisho kwenye majeneza mengi ya watanzania watakaokua wanakufa kwa umaskini wa kutupa, njaa, ujinga, maradhi, magomvi, chuki, nk. Nchi iko katika janga. Janga ili ni RAIS wetu mwizi wa KURA. Tunakwisha. Tusipotafakari na kufanya maamuzi ya haraka kama waTZ, jua lazama

Naunga hoja asimia mia mbili.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom