KaziIendelee
JF-Expert Member
- Oct 30, 2013
- 327
- 231
Kuna vyuo hawapati mkopo, ht aslimia moja. Hao unawafikiriaje? 7500 ukiwa na akili timamu ni kubwa sana mkuuWakuu hili la 7,500 msilitetee coz wanafunzi wanateseka mno vyuo vikuu,kwa mfano kwasasa....,Hapa MUCE hali ni mbaya hasa kwa dada zetu,kujiuza kwa wadada nilikuwa nasikia tu lkn sahv nashudia..NAUMIA SANA,TENA SANA..
Tatizo lenu vijana mataka ukifika chuo uoe, umiliki music system na anasa kibao, sisi tulisoma na 2500 na wala sio mda mrefu sana imeongezwa ikawa hiyo mnayopewa leo, lakini hamridhikiWakuu hili la 7,500 msilitetee coz wanafunzi wanateseka mno vyuo vikuu,kwa mfano kwasasa....,Hapa MUCE hali ni mbaya hasa kwa dada zetu,kujiuza kwa wadada nilikuwa nasikia tu lkn sahv nashudia..NAUMIA SANA,TENA SANA..
Hakika,ccm 2015 kuna utata,takwimu zinaonesha asilimia kubwa ya wanafunzi wa vyuo vikuu ni wanachama wa CDM,HILI LIMESABABISHWA NA SERIKALI YA YENYE UCHU WA KUTAWALA HATA KWA UTEKAJI NYARA....LAKINI HAIWAJALI WASOMI WA VYUO VIKUU.Tsh 7,500 per day ni hela ndogo sana.
Sent via Huawei Y300.
Tatizo lenu vijana mataka ukifika chuo uoe, umiliki music system na anasa kibao, sisi tulisoma na 2500 na wala sio mda mrefu sana imeongezwa ikawa hiyo mnayopewa leo, lakini hamridhiki
Kuna vyuo hawapati mkopo, ht aslimia moja. Hao unawafikiriaje? 7500 ukiwa na akili timamu ni kubwa sana mkuu
Mkuu Mnyiramba kwa mwezi ukipiga hesabu ni shs ngap hiyo? 225000 (hakuna makato yoyote). Ni kiasi cha wastani tunaweza kudemand zaid, na pia tunweza kujibana.
Ningekuona unawaza mbali ungesema serikali iangalie upya swala la ulipaji wa ada through means testing kw sababu imegundulika kuna udanganyifu, na njia hii haijaweza kuwatambua wanafunzi wasio na uwezo au wenye uwezo.
Nadhani kama mnataka mahitaji yenu yawe na msingi, semeni serikali iboreshe maabara, library pawe na enough books. Haya madai ya allowance hayana tofauti na wabunge wetu