Serikali ya CCM inalipiza kisasi indirectly...!

Leornado

JF-Expert Member
Nov 12, 2010
1,529
196
Kutokana na watz wengi kutoipia CCM kura kwenye uchaguzi wa 2010, wamebuni mbinu ya kuwakomoa watz kwa kutolipa mishahara ya watumishi wa umma, umeme na bidhaa muhimu kupanda bei mara dufu, kulipua mabomu kwa makusudi na kuendesha nchi kienyeji kwa kukandamiza vyama pinzani.

Mbinu hii hutumiwa sana na wanasiasa walioshindwa kwenye uchaguzi, Savimbi wa Angola yeye aliwakata mikono wanachi ambao hawakumpigia kura.

Tafakari chukua hatua mapema, na wanafurahi sana jinsi tunavyoumia na makali ya kisasi hiki. Hadi 2015 kazi tunayo.
 
si kwamba wameshindwa tu kuboresha hali ya maisha ya watz? Wanajua kuwa wakiachia madaraka tutawauliza maswali yale yale ya akina kagoda, dowans, meremeta. nadhani hawkomoi, bali maji yako shingoni!!
 
sidhani kama umefikiria sawa sawa.....serikali hii haina sababu ya kuumiza raia wake.sipendi siasa na sipendi watu wanaojaribu kutumia siasa kupindisha ukweli.cant we talk of something else?
ni mtazamo tu
 
Mkuu. Siasa ndo inaendesha mfumo wa maisha. It is inevitable. Kuzungumzia siasa ni kama kufa vile(yaani ni lazima).

Au pengine mkuu hufahamu maana ya siasa? Sema tusaidiane.
 
mara nying dhamira ya serikali si kuwaumiza raia,hata wanapoomba ridhaa huwa hawasemi kuwa watawaumiza raia,lakini yanayotokea sasa yanatia simanz,wakat wa kampeni sijamsikia mgombea wa chama chochote akisema eti umeme,bidhaa,nauli za magari vitapanda,lakini tazama leo,weng wanaomiliki mabasi,biashara za mafuta na viwanda ndio wabunge na mawaziri,sasa kama viongoz wameamua ku2sulubu.
 
serikali ipi? ya Tanzania?? stop joking please.
Mwaziri wanapokea kiasi gani?
wabunge wanapokea kiasi gani?
halafu unasema serikali haina pesa..keli haina pesa??
serikali inasaidia nini wakati asilimia 95 ya mapato yake inakwenda kwenye mishahara badala ya maendeleo ya wananchi?/
Utawajalije wananchi kwa kutegemea misaada ya wahisani??
sidhani kama umefikiria sawa sawa.....serikali hii haina sababu ya kuumiza raia wake.sipendi siasa na sipendi watu wanaojaribu kutumia siasa kupindisha ukweli.cant we talk of something else?
ni mtazamo tu
 
Kutokana na watz wengi kutoipia CCM kura kwenye uchaguzi wa 2010, wamebuni mbinu ya kuwakomoa watz kwa kutolipa mishahara ya watumishi wa umma, umeme na bidhaa muhimu kupanda bei mara dufu, kulipua mabomu kwa makusudi na kuendesha nchi kienyeji kwa kukandamiza vyama pinzani.

Mbinu hii hutumiwa sana na wanasiasa walioshindwa kwenye uchaguzi, Savimbi wa Angola yeye aliwakata mikono wanachi ambao hawakumpigia kura.

Tafakari chukua hatua mapema, na wanafurahi sana jinsi tunavyoumia na makali ya kisasi hiki. Hadi 2015 kazi tunayo.

siamini kama nduli ccm atakuwepu mpaka 2015 pia sidhan kama atamliza mwaka huu
 
Mkuu. Siasa ndo inaendesha mfumo wa maisha. It is inevitable. Kuzungumzia siasa ni kama kufa vile(yaani ni lazima).

Au pengine mkuu hufahamu maana ya siasa? Sema tusaidiane.

ni kweli siasa ni kila kitu ila inatakiwa kutumika kama means ya kuwakomboa kiuchumi wanannchi wake......kupanda kwa gharama za maisha its a global issue.how can we hold our gov responsible for this?
 
Sangara hapo umenena, ni kweli kupanda kwa gharama ni global issue, sasa Tanzania itaepuka vipi wakati nayo iko katika dunia hii hii, hapa tatizo ni "MAFUTA". Hakuna Serikali inayowatakia mabaya kama ya kupanda kwa gharama za maisha, Serikali ingependa nchi yenye neema ya mito na asli ili wananchi wake watulie, lakini inashindwa kwa sababu chanzo cha kupanda kwa gharama za maisha kiko nje ya uwezo wake. TUCHAPE KAZI TU, IPO SIKU, HAYA NI MAPITO.
 
Back
Top Bottom