Serikali wekezeni katika best brain

chuse tbr

JF-Expert Member
Aug 11, 2013
489
574
Habari,

Wadau naomba tujadiliane kuhusu best brain za tanzania kuishia kwenye mashirika binafsi. Serikali inabidi iweke mkakati thabiti wa kuhakikisha best brain zinabaki serikalini ilikufainkisha maendeleo ya nchi yetu. Kwa hali nionavyo sasa wale vichwa wetu wote wakimaliza chuo wanaishia taasisi binafsi na wachache wanabaki vyuoni kufundisha.

Ili inchi yetu iendelee tunahitaji watunga sera na wanamipango wabunifu na wenye uwezo mkubwa wa kufikiri na kubuni mambo ambao bahati mbaya kwasasa wengi wao wanaajiriwa na taasisi binafsi kwasababu ya malipo na benefits bora. Ila hawa watu wamesomeshwa kwa pesa za walipa kodi inabidi wawajibike kwa taifa lao sisemi wakiwa taasisi binafsi hawawajibi kwa taifa ila wangetoa mchango mkubwa zaidi kama wangekuwa serikalini kwasababu wangegusa sekta zote ikiwemo binafsi pia.

Serikali haina budi kuboresha mazingra ya kazi na malipo ili tuweze kuwa maintain hawa vipanga wa nchi, leo hii mtu akimaliza Bachelor yake ya Telecom na akawa anahitajika na makapuni ya simu bila shaka hawezi kuchagua TTCL akaacha TIGO au VODA vivyo hivyo kwa kada zingine.

Karibuni tujadili wadau
 
best brain waliopo nchi hii ni wafata mkumbo na awana msaada wowote,kwahiyo amna aja ya kuwekeza uko.Acha tuwekeze kwa manyumbu wa sisiem
 
best brain waliopo nchi hii ni wafata mkumbo na awana msaada wowote,kwahiyo amna aja ya kuwekeza uko.Acha tuwekeze kwa manyumbu wa sisiem

Dr mashiji ni best brain ila nae kaangukia kwa matapeli naona nyumbu wanajitoa akili.....
Cc profesa abda..... safar
Cc prof mbowe
 
Best brain kwa tz ni ndoto kuthaminiwa utashushuliwa hadharan na wanasiasa tena mbele ya waandish wa habar form four tu au mc,utapunguziwa salary hadharan kinyume cha sheria utachambuliwa kama karanga na mijitu isiyojua best brain,ni bora kuwa sekta binafs,serikalin ni miyeyusho mpaka pale watz watakapoamua kubadilika.
 
best brain za tanzania wengi wao ni watu ambao hawajabahatika kupita pita darasani wengi..

tusidanganyane hakuna best brain hapa tanzania kama stik za kuchokonelea meno tunanua nje..

elimu ni uwezo sio vyeti... tez dume tu mtu anatibiwa usa... halafu unasema kuna best brain..

acheni siasa... acheni mambo ya vyeti vya kukariri.. wafanye mabadiliko ya kweli....

kila kitu tuna import sababu hakuna vichwa vya kuvizalisha....

watukanwe tu....maama ujinga tu kupenda vyeti tu utendaji ziro

Best brain kwa tz ni ndoto kuthaminiwa utashushuliwa hadharan na wanasiasa tena mbele ya waandish wa habar form four tu au mc,utapunguziwa salary hadharan kinyume cha sheria utachambuliwa kama karanga na mijitu isiyojua best brain,ni bora kuwa sekta binafs,serikalin ni miyeyusho mpaka pale watz watakapoamua kubadilika.
 
bongo wengi vilaza tu na A zao za kwenye vyeti.. wanapenda mishahara tu..

darasa la saba wanafanya makubwa kuliko wasomi..

mtu anipe mfano hai tu mmoja anapata vocha ya 5000 bure... wote mashahidi humu..

anitajie msomi yeyote ambaye ni kichwa kuliko huyu jamaa ambaye ni la saba tu.

aliyefanya makubwa kuliko huyu ambae ni former best student... nani amemfikia huyu at 37

Inspirational story: Raphael Logistics, largest heavy lift company in Tanzania
 
[/QUOTE
Best brains wapi private sector wachache waliokuja serikalini leo wanajuta mishahara inashushwa! Best brains as the name suggests wanataka kulipwa vizuri Sana kwa kutambuabua ubora wao na waliowengi wanapiga msuli kuwa the best. Hivyo usitegemee kwa ubora wao kuwepo serikalini waliokuja wanakimbia...
 
Tatizo sio uwepo wa best brain.Tatizo ni UHABA MKUBWA wa best brain WAFIA NCHI.Kuna nakisi kubwa nchi hii ya wasomi wafia nchi.Wengi ni washiriki wakubwa wa kufilisi nchi.
Msomi yeyote yule duniani mwenye nakisi ya uadilifu,uzalendo na uchamungu,anakua janga kwa jamii.
Jiulize kwa mfano;waliokua wenyeviti wa bodi wa TCRA,TBC,TPA wana hadhi gani?
 
Wawekeze kwa wezii. Endru nzee wa Harvard gwiji wa sheria za mikataba mzee wa dili.
 
Best brain kwa tz ni ndoto kuthaminiwa utashushuliwa hadharan na wanasiasa tena mbele ya waandish wa habar form four tu au mc,utapunguziwa salary hadharan kinyume cha sheria utachambuliwa kama karanga na mijitu isiyojua best brain,ni bora kuwa sekta binafs,serikalin ni miyeyusho mpaka pale watz watakapoamua kubadilika.
Siasa kwa kwenda mbele.
 
Katika taifa la watu wenye nakisi ya uzalendo na kuendesha siasa za uhasama kama tanzania ni ngumu sana kuendelea,watu wenye akili kubwa ama hawapewi fursa ama wakipata hawana uzalendo wa kutumikia nchi na uzalendo na kuipenda nchi over personal interests unajengwa kutoka utotoni
 
bongo wengi vilaza tu na A zao za kwenye vyeti.. wanapenda mishahara tu..

darasa la saba wanafanya makubwa kuliko wasomi..

mtu anipe mfano hai tu mmoja anapata vocha ya 5000 bure... wote mashahidi humu..

anitajie msomi yeyote ambaye ni kichwa kuliko huyu jamaa ambaye ni la saba tu.

aliyefanya makubwa kuliko huyu ambae ni former best student... nani amemfikia huyu at 37

Inspirational story: Raphael Logistics, largest heavy lift company in Tanzania
....teh teh teh...poooovu kumbe lengo mwisho wa siku uje umsifie hawara?....tulia mchepuko.,usigeneralise tu kindezi ukamix madesa....mada ikikushinda akili,kaa pembeni!sio dhambi!
 
Hakuna best brain bila political will. Madaktari ni wasomi pia lakin huwezi kusikia watu wa kawaida wakiwadharau madokta, sababu siasa hazijajipenyeza sana kule, halaf pia kazi zao zinagusa maisha ya mtu mmoja mmoja.
Serikal iliyopita imeharibu sana hii nchi basi tu, mtu unamuweka ili baadae umchafue upate cha kusema, wamewaaminisha watu kuwa elimu haina maana, na watu wamechukua kama ambavyo hata michango ya watu inaonekana humu.
Kwa kuhitimisha, hakuna nchi iliyofanikiwa kwa mdomo mtupu, lazima wasomi waliopo watambuliwe na mamlaka husika ziwekeze zaid kwenye best brain kama mtoa mada ulivyoshauri.
 
toa mfano wewe best brain umeajiri wangapi? unalipa kodi kiasi gani, umefanya kitu gani outstanding maishani mpaka sasa....

acha maneno mengi toa fact

....teh teh teh...poooovu kumbe lengo mwisho wa siku uje umsifie hawara?....tulia mchepuko.,usigeneralise tu kindezi ukamix madesa....mada ikikushinda akili,kaa pembeni!sio dhambi!
 
Back
Top Bottom