#COVID19 Serikali: Watanzania zaidi ya 325,000 wamepata chanjo hadi sasa

beth

JF-Expert Member
Aug 19, 2012
3,877
6,326
Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa amesema waliopata Chanjo dhidi ya Ugonjwa wa COVID19 tangu zoezi hilo kuanza kote Nchini hadi sasa ni zaidi ya 325,000

Amesema, "Chanjo ni hiari, lakini Wataalamu wanatuambia usipopata Chanjo ukapata Ugonjwa, utapata madhara makubwa ndani ya mwili wako"

Amesema Serikali inaendelea kuhimiza watu hususan walio katika makundi hatari wakiwemo wenye Magonjwa sugu na wanaofanya kazi kwenye maeneo ya yanayowakutanisha na watu wengi kupata Chanjo
 
endeleeni kuwahimiza
 
Taaratiibu itafika watapata wote
 
Back
Top Bottom