Modestproposal
Senior Member
- Jan 6, 2022
- 127
- 230
Ni karibia mwezi sasa tangu Serikali ilipotoa majina ya waajiriwa wapya kwenye kada za afya na elimu.cha kushangaza ni kama hakukukuwa na maandalizi ya kuwapokea huko halmashauri.
Kwa ujumla hakuna pesa ya kujikimu utajijua mwenyewe unaishije huko kituoni kwako,.mbaya zaidi mishahara nayo wengi wao hawajapata.yani furaha imegeuka kuwa majuto.
Wanaohusuka kumbukeni watu hawa ni watu wazima kwa sasa kwani wamesota mtaani kwa miaka mingi,wanazo familia na wameacha vibarua walivyokuwa wakivifanya kwa hiyo hawana means nyingine ya kupata kipato.
Hata kama ajira ni ngumu,emu msiwatese watu jamani