Kama serikal ili ipate taifa lililoelimika inatakiwa ijitafakari sana kwny sekta nzima ya elimuZaidi ya 60% ya waalimu ni watoro kazini kwa mujibu wa naibu waziri TAMISEMI bwana Ndugange! Na amesisitiza tume ya utumishi wa waalimu TSC iwabaini na kuwashughulikia waalimu wote wanaobainika kuwa watoro kazini!
Ikumbukwe!
Pamoja na majukumu makubwa yanayofanywa na mwalimu hadi leo;
1. Mwalimu hana posho
2. Miaka saba sasa bila nyongeza ya mshahara
3. Kupanda kwa gharama za maisha ilihali mshahara uko pale pale na hana posho yoyote ya kumsaidia kupoza makali ya ugumu wa maisha!
4. Mwalimu wa Tanzania analipwa mshahara duni sana ukilinganisha na majukumu yake!
Je, suruhisho ni kuwadhihaki na kuwadharirisha waalimu hawa? Sababu ya unyonge wao?
Ni haki yao kutoroka, 356,000 Tsh kwa mwezi ataishi vipi? Watawala muwe na akili, mlaaniweZaidi ya 60% ya waalimu ni watoro kazini kwa mujibu wa naibu waziri TAMISEMI bwana Ndugange! Na amesisitiza tume ya utumishi wa waalimu TSC iwabaini na kuwashughulikia waalimu wote wanaobainika kuwa watoro kazini!
Ikumbukwe!
Pamoja na majukumu makubwa yanayofanywa na mwalimu hadi leo;
1. Mwalimu hana posho
2. Miaka saba sasa bila nyongeza ya mshahara
3. Kupanda kwa gharama za maisha ilihali mshahara uko pale pale na hana posho yoyote ya kumsaidia kupoza makali ya ugumu wa maisha!
4. Mwalimu wa Tanzania analipwa mshahara duni sana ukilinganisha na majukumu yake!
Je, suluhisho ni kuwadhihaki na kuwadharirisha waalimu hawa? Sababu ya unyonge wao?
Huo ni uongo na ingekuwa hivyo hizo % za ufaulu zinazo panda kila mwaka zinatoka wapi kama walimu 60% ni watoro!?Zaidi ya 60% ya waalimu ni watoro kazini kwa mujibu wa naibu waziri TAMISEMI bwana Ndugange! Na amesisitiza tume ya utumishi wa waalimu TSC iwabaini na kuwashughulikia waalimu wote wanaobainika kuwa watoro kazini!
Ikumbukwe!
Pamoja na majukumu makubwa yanayofanywa na mwalimu hadi leo;
1. Mwalimu hana posho
2. Miaka saba sasa bila nyongeza ya mshahara
3. Kupanda kwa gharama za maisha ilihali mshahara uko pale pale na hana posho yoyote ya kumsaidia kupoza makali ya ugumu wa maisha!
4. Mwalimu wa Tanzania analipwa mshahara duni sana ukilinganisha na majukumu yake!
Je, suluhisho ni kuwadhihaki na kuwadharirisha waalimu hawa? Sababu ya unyonge wao?
Zaidi ya 60% ya waalimu ni watoro kazini kwa mujibu wa naibu waziri TAMISEMI bwana Ndugange! Na amesisitiza tume ya utumishi wa waalimu TSC iwabaini na kuwashughulikia waalimu wote wanaobainika kuwa watoro kazini!
Ikumbukwe!
Pamoja na majukumu makubwa yanayofanywa na mwalimu hadi leo;
1. Mwalimu hana posho
2. Miaka saba sasa bila nyongeza ya mshahara
3. Kupanda kwa gharama za maisha ilihali mshahara uko pale pale na hana posho yoyote ya kumsaidia kupoza makali ya ugumu wa maisha!
4. Mwalimu wa Tanzania analipwa mshahara duni sana ukilinganisha na majukumu yake!
Je, suluhisho ni kuwadhihaki na kuwadharirisha waalimu hawa? Sababu ya unyonge wao?
........................🎵🎶hadi wizara ya elimu-uu🎵🎶
Kada ya Afya wana posho?Zaidi ya 60% ya waalimu ni watoro kazini kwa mujibu wa naibu waziri TAMISEMI bwana Ndugange! Na amesisitiza tume ya utumishi wa waalimu TSC iwabaini na kuwashughulikia waalimu wote wanaobainika kuwa watoro kazini!
Ikumbukwe!
Pamoja na majukumu makubwa yanayofanywa na mwalimu hadi leo;
1. Mwalimu hana posho
2. Miaka saba sasa bila nyongeza ya mshahara
3. Kupanda kwa gharama za maisha ilihali mshahara uko pale pale na hana posho yoyote ya kumsaidia kupoza makali ya ugumu wa maisha!
4. Mwalimu wa Tanzania analipwa mshahara duni sana ukilinganisha na majukumu yake!
Je, suluhisho ni kuwadhihaki na kuwadharirisha waalimu hawa? Sababu ya unyonge wao?
Eti "washughulikiwe"!!! Huyo Naibu Waziri bila shaka atakuwa hajitambui! Hivi unaweza kuwashughulikia kirahisi tu watu wanaoitwa "walimu"!!!Ni haki yao kutoroka, 356,000 Tsh kwa mwezi ataishi vipi? Watawala muwe na akili, mlaaniwe
Naomba kuwasilisha
Na ndiyo maana kenya watu wanapata elimu bora, huku kwetu mwl asipopambana ataua watoto njaa.Naomba kuwasilisha
wamejitakia wenyewe.wao ndo jeshi kubwa nchini lkn ndo wa kwanza kuishabikia serikali kwa mambo ya kisiasa.wanachagua viongozi wa ngazi zote ambao ni makada wa chama.TUCTA ni ya kwao lkn haiko kwa maslahi yao.kama wanashindwa kupambana na hali yao basi wacha wazalilishwe tu.Zaidi ya 60% ya waalimu ni watoro kazini kwa mujibu wa naibu waziri TAMISEMI bwana Ndugange! Na amesisitiza tume ya utumishi wa waalimu TSC iwabaini na kuwashughulikia waalimu wote wanaobainika kuwa watoro kazini!