Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 11,255
- 23,010
Kabisa haya mahujumu uchumi , mafisadi yawe yanauliwa tu maana nayo yanaua maskini na kufisadi pesa zao za kodi.Ninafikiri hii ni shida ya nchi nyingi za Afrika na siyo nchi yetu tu. Ninawaza tu hata kama chama kingine kitaingia madarakani yatakuwa yaleyale. Kunatakiwa kufanyike maamuzi magumu ili kuokoa pesa za umma kama walivyofanya china kwamba ukiiba unakula shaba. Kwa jinsi hii ya kubembeleza hatufiki mbali bali ni wachache tu watakaoendelea kufaidi.
Kabisa haya mahujumu uchumi , mafisadi yawe yanauliwa tu maana nayo yanaua maskini na kufisadi pesa zao za kod8Ninafikiri hii ni shida ya nchi nyingi za Afrika na siyo nchi yetu tu. Ninawaza tu hata kama chama kingine kitaingia madarakani yatakuwa yaleyale. Kunatakiwa kufanyike maamuzi magumu ili kuokoa pesa za umma kama walivyofanya china kwamba ukiiba unakula shaba. Kwa jinsi hii ya kubembeleza hatufiki mbali bali ni wachache tu watakaoendelea kufaidi.
Duh ...!.Ni ya kinyonyaji ya kishetani. Inayoiba mali za umma kunufaisha watu wachache. Yeye mwenyewe kiongozi mwenyewe hana hili wala lile anapuyanga tu huku na kule.
kama zumbukuku ulimwengu upo huku. Watu wanachota tu fedha za maskini. Wenye mabakuli haya, wenye vijiko haya, wenye mabeseni haya, wenye masinia haya.
Chama Cha Mambuzi. Kila MBUZI ALE KWA UREFU WA KAMBA YAKE.