Serikali: Ukitaka kukaa mita 200, uwe na kibali

Je, tunapaswa kuomba na kibali cha kukusanyika(kujipanga) kwa ajili ya kupiga kura!!!??
 

Sheria ya tume/polisi/ya kwako?
Jana mlikuwa mnakamata watu kule Makao mapya Arusha ukifika kituoni polisi wanataka kadi ya kupiga kura kama mdhamana jumatatu wanakwambia uje uchukue kitambulisho chako.
Sasa Dada Hamida hiyo ni sheria ya wapi?
 
Mimi ninayependa kwenda kuangalia mechi za mchangani, ninawasiwasi kuna siku tutakamatwa kwa kukusanyika kuangalia mechi bila kibali

Wale wa uwanja wa taifa kuangalia mpira itabidi wawe wanachukua vibali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…