Gunia moja kubwa la kilo 100 naweza kupata kwa sh ngapi?Huku vijijini tumevuna mahindi
Mahindi yapo mengi mno.
Wakulima hatuna wanunuzi wa mazao haya ya mahindi, Sasa tunavuna na msimu wa kupanda unaanza tunapanda tukiwa na mahindi mengi ndani
Tunawekeza pesa, nguvu na muda kulima ila tukivuna tunakosa bei na hata wateja wa bei ndogo hatuwaoni.
Tutaishije sisi wakulima.
Au tuje Kariakoo tuwe mawinga
Huku kwetu ndio ya mahindi ukipata mteja wa bei ya juu ni sh 5000
Ila kawaida kuuza ndio elfu 3000
Serikali tunaomba muwashawishi wateja waje kutupa japo bei nzuri kidogo
Au Fanya mpango serikali iyanunue na kuwapa wanafunzi shule wanashinda njaa
Mahindi ni mengi
Kama Kuna mteja yupo serious njoo PM Nina Tani kadhaa
Nipo Ngara njoo tufanye biashara
Lete geita au kahama bei ndoo lita 20 15kHuku vijijini tumevuna mahindi
Mahindi yapo mengi mno.
Wakulima hatuna wanunuzi wa mazao haya ya mahindi, Sasa tunavuna na msimu wa kupanda unaanza tunapanda tukiwa na mahindi mengi ndani
Tunawekeza pesa, nguvu na muda kulima ila tukivuna tunakosa bei na hata wateja wa bei ndogo hatuwaoni.
Tutaishije sisi wakulima.
Au tuje Kariakoo tuwe mawinga
Huku kwetu ndio ya mahindi ukipata mteja wa bei ya juu ni sh 5000
Ila kawaida kuuza ndio elfu 3000
Serikali tunaomba muwashawishi wateja waje kutupa japo bei nzuri kidogo
Au Fanya mpango serikali iyanunue na kuwapa wanafunzi shule wanashinda njaa
Mahindi ni mengi
Kama Kuna mteja yupo serious njoo PM Nina Tani kadhaa
Nipo Ngara njoo tufanye biashara
Huku vijijini tumevuna mahindi

Yani elfu 70 tu gunia? Basi nayanunua kama magunia laki hivi kwa hiyo bei.Gunia la kilo 100 sio kubwa
Hilo nakuuzia elfu70 tu
25kgUna kiasi Gani?
tunza kwenye mifuko ya KINGA NJAANaomba unielekeze jinsi ya kutunza maharage ndani bila kuingia wadudu.
Ndo ikojetunza kwenye mifuko ya KINGA NJAA
Ndio nakula, lakini kwa ulaji wangu haya yanaweza kupiga hata miezi 6-9 ndio maana nataka kuyaweka jinsi ambayo wadudu hawatoingia.Duuuh hayo si uyale tu
Sasa unatunzaje ndio 1 ya maharage