Serikali: Tutaajiri askari wapya 3,103

Serikali: Tutaajiri askari wapya 3,103

Wanajihakikishia ulinzi wa kusalia madarakani, kwenye sekta muhimu za maendeleo ya nchi kuna upungufu mkubwa wa watumishi hasa baada ya zoezi la kupunguza wafanyakazi kupita kipindi cha magu, leo hii kipaumbele kimekuwa ni kuajiri askari zaidi......hii nchi ina maajabu sana.
Duh! Yaani kuna watu humu ht hamweleweki mnatakaje haswa!!!
For more than 5yrs ya Mwendazake hakuwahi kuajiri askari.
Kaa na askari wenyewe usikie wanavyolalamikia uchache wao mpk ht zile off imekuwa shida kuzipata, we bado huoni haja ya kuongeza askari!
 
Askari waliopo wanatosha kabisa kuilinda ccm ajirini kada zingine ambazo ni muhimu zaidi
 
Tulia usiwe na kiherehere muda wa kukamilisha maboma walimu wataajiriwa tu

USSR
ah, huyo ni mmoja ya wale wasioamini kinachoendelea.....wamefadhaika, wamepigwa na bumbuazi!
 
Sio walimu tena na wauguzi huko kwenye maboma wanayojenga kwa hela za tozo? Hee ama kweli ukistaajabu ya musa utayaona ya Mama, nadhani ni kupaniki kutokana na jinsi mwamba Hamza alivyowanyoosha , yaani mtu kajifunzia ugaidi kwenye video kawakalisha 4 je angeenda kozi si angeua batallion nzima. HATARI SANA
Hivi we akili yako umeihifadhi ktk kiungo gani cha mwili wako. Kwanza unashabikia mauaji, angeuliwa ndugu yako ungemwita huyo Hamza mwamba? Pili kwa akili yako uliyoihifadhi pasipojulikana unafikiri mchakato wa kupata kibali cha ajira unachukua muda gani? km umechoka amani nenda Afghanistan ufurahie zaidi mauaji maana yako kila siku. Popoma kweli
 
Sio walimu tena na wauguzi huko kwenye maboma wanayojenga kwa hela za tozo? Hee ama kweli ukistaajabu ya musa utayaona ya Mama, nadhani ni kupaniki kutokana na jinsi mwamba Hamza alivyowanyoosha , yaani mtu kajifunzia ugaidi kwenye video kawakalisha 4 je angeenda kozi si angeua batallion nzima. HATARI SANA
Kumbe inawezekana kutrain jeshi kwenye u tube wakizidi kutuonea tutakutana mwambani
 
Back
Top Bottom