Serikali tunaomba ufafanuzi wa suala hili

Serikali tunaomba ufafanuzi wa suala hili

Samia atosha tukutane2030

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2020
Posts
17,216
Reaction score
48,771
Habari!
Inafika wakati unajiuliza nchi hii ni Serikali kamili na Ina uongozi kamili?
Una fedha bank unataka upate huduma mahali kupitia simu unaweka codes mfano *150*03# au *150*66# unabonyeza ok unaambiwa utakatwa pesa kwenye Salio la kawaida.
Je, nikitaka kununua Salio (airtime) niweke salio tena ili ninunue Salio?
Je, kama niko porini inakuwaje?
Huu sio uwendawazimu?
Hili jambo lilianza miaka mingi ila kuna mitandao kama walituacha tuingie free tukakatwe tu na mabenki ila sasa naona karibu mitandao yote wembe ni uleule


Capture.PNG
 
Chaguo bora ni download app ya bank husika ili utumie bundle la internet kupata Huduma.
 
Back
Top Bottom