Hii michezo inawaumiza wananchi , tena sanasana walio kuwa masikini , badala ya kutumia kidogo walichonacho kwa shughuli za maendelea au kuweka akiba , wanatumia katika hii michezo ambayo ina ulakini,
Ili hii michezo iwe inaleta tija, lazima kuwe kuna uwiano kati ya wanachoingiza na wanachorudisha kwa wananchi, bila hivyo itakuwa inaumiza wananchi pamoja na uchumi kwa ujumla.
maoni yenu wadau!!!
Ili hii michezo iwe inaleta tija, lazima kuwe kuna uwiano kati ya wanachoingiza na wanachorudisha kwa wananchi, bila hivyo itakuwa inaumiza wananchi pamoja na uchumi kwa ujumla.
maoni yenu wadau!!!