Serikali tunaomba mshushe mzigo wa kodi (P.A.Y.E) kwa wafanyakazi

Savimbi Jr

JF-Expert Member
Sep 23, 2011
6,819
9,171
Habari ma GT wa JF,

Serikali hii awamu ya tano ilituahidi kwamba itapunguza kodi (Paye) kwa wafanyakazi.Tunamuomba Mh Magufuli atekeleze Ahadi yake kwani sie wafanyakazi tunateseka sana na hii kodi,yaana haka kajimshahara unagawana nusu kwa nusu na serikali.

Pili tunamuomba katika Hiyo kupunguza abadili formula nzima na si kushusha Hizo aslimia moja moja ambazo hazina effect yeyote kwenye makato ya kodi.Magufuli atambue kwamba kushusha 1% ya paye ni sawa na kushusha sh 1000 hadi elfu 5 kwenye kodi ambapo ni nonsense.Wafanyakazi tunataka abadili formula nzima ambayo ndio italeta punguzo la kweli.

eg Mshahara above 720k awali ilikuwa 102k + 30%(kinachozidi 720k) katika formula mpya tunachotaka kibadilike ni hiki cha mwanzo fixed(102k) na kiwe 25k na 30% iende single digit kuja 9% hapo ndipo tunapohitaji.
 
Tusubiri tuone
 
Back
Top Bottom