Sir John Deere
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 14,246
- 27,506
Umeusoma walaka lakini? Wakanushe vipengere Ivo walivo discuss sio habar za dini
CCM ni mataahira fulani hivi, hawajui hata wanataka nini?Naishauri Serikali yangu isihangaike na hako kakikundi ka wanaojiita TEC hili suala tuangeachiwa CCM tunajua fitina za kushughulika na hawa watu sisi ndio chama Dume tuliyopigania nankudumisha uhuru wa nchi hii kwa miaka zaidi ya 60. Maendeleo mnayoyaona hayakuja kwa bahati mbaya ni mipango madhubuti ya Chama Cha Mapinduzi. Hili suala tuachiwe sisi naona kama serikali itajipa majukumu mepesi wakati mambo ya kufanya ni mengi.
CCM Oyeee.
Kuna mtu alikuuliza kama una undugu na Sir Elton John nashangaa haujajibu mpaka leo.Naishauri Serikali yangu isihangaike na hako kakikundi ka wanaojiita TEC hili suala tuangeachiwa CCM tunajua fitina za kushughulika na hawa watu sisi ndio chama Dume tuliyopigania nankudumisha uhuru wa nchi hii kwa miaka zaidi ya 60. Maendeleo mnayoyaona hayakuja kwa bahati mbaya ni mipango madhubuti ya Chama Cha Mapinduzi. Hili suala tuachiwe sisi naona kama serikali itajipa majukumu mepesi wakati mambo ya kufanya ni mengi.
CCM Oyeee.
CCM ni mataahira fulani hivi, hawajui hata wanataka nini?Naishauri Serikali yangu isihangaike na hako kakikundi ka wanaojiita TEC hili suala tuangeachiwa CCM tunajua fitina za kushughulika na hawa watu sisi ndio chama Dume tuliyopigania nankudumisha uhuru wa nchi hii kwa miaka zaidi ya 60. Maendeleo mnayoyaona hayakuja kwa bahati mbaya ni mipango madhubuti ya Chama Cha Mapinduzi. Hili suala tuachiwe sisi naona kama serikali itajipa majukumu mepesi wakati mambo ya kufanya ni mengi.
CCM Oyeee.
CCM tunajua kucheza na fitina .hayo mambo madogo sanaHahahaha! Chongolo kasitisha kuitetea DP Tulia anasema na yeye ni mwanasheria na kasoma sana dhidi ya wale wengine Sasa naloona hapa ni kama Kuna mikataba miwili yenye vipengele tofauti. Yaani mkataba uliopitishwa bungeni sio ule unaodadavuliwa na akina Shivji, madeleka, Lisu, Nshala, Mwambukusi na wengineo ikiwamo Tec
Sent from my Nokia C10 using JamiiForums mobile app
Naishauri Serikali yangu isihangaike na hako kakikundi ka wanaojiita TEC hili suala tuangeachiwa CCM tunajua fitina za kushughulika na hawa watu sisi ndio chama Dume tuliyopigania na kudumisha uhuru wa nchi hii kwa miaka zaidi ya 60. Maendeleo mnayoyaona hayakuja kwa bahati mbaya ni mipango madhubuti ya Chama Cha Mapinduzi. Hili suala tuachiwe sisi naona kama serikali itajipa majukumu mepesi wakati mambo ya kufanya ni mengi.
CCM Oyeee.
Unaongea kwa uhuru hapa na kujimwambafai kwa sababu ya CCM subiri uone sasa.CCM ni mataahira fulani hivi, hawajui hata wanataka nini?
Mahakama imesema IGA ni mkataba na Una mapungufu yanayorekebishikaWewe ulisoma hukumu ya mahakama??
Manake hivyo vipengele vyote vimejibiwa na mahakama
Tutaona hiyo nguvu yao.Katoliki ni taasisi ya Dunia usiilinganishe na bakwata [emoji1][emoji91]
Hapo kwenye wekundu ndo ulipochemkia..!!Naishauri Serikali yangu isihangaike na hako kakikundi ka wanaojiita TEC hili suala tuangeachiwa CCM tunajua fitina za kushughulika na hawa watu sisi ndio chama Dume tuliyopigania na kudumisha uhuru wa nchi hii kwa miaka zaidi ya 60. Maendeleo mnayoyaona hayakuja kwa bahati mbaya ni mipango madhubuti ya Chama Cha Mapinduzi. Hili suala tuachiwe sisi naona kama serikali itajipa majukumu mepesi wakati mambo ya kufanya ni mengi.
CCM Oyeee.
Subiri utaonaMtapingana na waliokaa darasani miaka 28
Yes vinarekebishika kwenye HGA...Mahakama imesema IGA ni mkataba na Una mapungufu yanayorekebishika