Serikali tatu

Gambabovu

JF-Expert Member
May 17, 2014
296
30
Maoni haya ya wananchi yaweza boreshwa kwa kusema kuwa serikali tatu inaweza pita alimradi imepigiwa kura na theluthi mbili ya wananchi....na sio kuleta swala la serikali mbili ktk rasimu ambayo ni kinyume na matakwa ya wananchi.
 
Yaani unazungumzia wale wananchi 37,000?
 
Back
Top Bottom