unajua kuna kitu kinaitwa ulanguzi.....ndio vita iliyompelaka kaburini mzee sokoine....na ndio hichi kinachotokea leo ila ambapo nyinyi wananchi wanamsapoti mlanguzi wakati wazazi wetu walimsapoti mzee sokoine .inshort huu ndio uhujumu uchumiHivi kumbe kuna sheria inamlazimisha mtu kuuza bidhaa yake?
Rais Magufuli aache ubabe bhana biashara huria kwan lazma nitoe stock yangu yote? Aboreshe viwanda vya kuzalisha sukar iwe nyng sio kuingilia biashara za watu subir serikali italipa hili km mtataifisha hiyo sukar iwe km zile samak
sukari ya kwangu mnalazimisha nini?wakati nateseka kulima,kupanda na kuvuna mlikuwa kimya leo mnaikomalia sukari kilazima,huu ni ujinga.
kama mambo yakiendelea hivi itafikia kipindi watu walio na pesa nyingi kwenye account zitachukuliwa kilazima ili kusaidia wengine
Sasa hayo unamuuliza nani?? Hizo maalaka si ndo hizi zina wafanyakazi ambao wakifukuzwa watu mnakimbilia kusema wanaonewa?? Au huko kwenye hizo mamlaka unazosema wanafanya kazi makada wa vyama??Kama wafanyabiashara wananunua sukari ilioharibika na wanaruhusiwa kuingiza na mamlaka husika ya chakula na dawa ipo, ndo nn sasa!?
Sijui kama inachagua nani anayetakiwa kutenda makosa. Kama na wewe unatenda ukafikiri kwa vile unajifanya UKAWA hutapatwa, tulia ili ukaseme si wa kwako.Nyie endeleeni tu kuashabikia ubabe wa huyu jamaa...kuna siku yakiwageukia msije kulalama tu hap maana kiendacho juu hurudi chini. Yangu macho!
Ninahisi giza kuhusu democracy na utawala wa sheria huko tuendako. Huu mwendo haufai kushabikiwa asilani. Kweli tulihitaji kiongozi wa kufanya uamuzi lakini sio wa kututawala kimabavu hivi. Tusipomkemea sasa tusijekushangaa siku akitaka kubadilisha katiba ili awe kama Kagame.
Tatizo lilianza baada ya zuio la kuagiza sukari, na mpaka sasa serekali inasema imetoa kibali cha kuagiza, bado haijaingia nchini, kwa nn isingejiwekeza zaidi kwenye kuzalisha kwasababu soko ni kubwa? We huoni kama kuna tatizo hapo?Mwaka wa serikali unaanza July na kuisha June... Hivi unafikiri kuanzia hiyo July 2015 mpaka leo hakuna sukari iliyoagizwa kucover hiyo deficit ya Tani laki 3??? Msitake kuaminisha watu kuwa tatizo la sukari ni kubwa kiasi hicho wakati kabla ya kupiga ban tayari sukari ilishaagizwa nyingi tu.. Mbaya zaidi deficit ilikuwa ni laki 3 lakini walikuwa wanaleta sukari zaidi ya hizo tani laki 3.. Hatuwezi kuruhusu uchumi wa kisanii namna hiyo mkuu..
Habari mpasuko ni nini?
Ningependa kujua hata Kama huyo mfanyabiashara amenunua stock kubwa kiwandani kwann viwanda visizalishe tena, si tulisema nchi hii ni ya viwanda na kuzuia sukari kutoka nje mpaka vibali maalum,,, ndo mambo gani ya kuvamia maghala ya watu... Viwanda fanyeni kazi zenu
Sijaliona kosa la huyu mtu, labda ni mpaka bunge lipitishe sheria ya kulimit kiwango cha juu cha kununua sukariKweli nimeona TBC usiku huu, nk Mbagala Na Tabata.
Mkuu sukari sio mchicha kwamba leo leo mseme tuzalishe basi kesho iwe sokoni.. Soko wanaloexpect kuwa kubwa ni la kuanzia July 2016 mpaka June 2017 kwahiyo hizo measures zimeshaanza kufanywa sasahivi.. Nenda Kagera ukaone vijana wanavyopambana kulima miwa kwa wingi sasahivi. Ni kwasababu tayari wana hakika miwa yao itapata soko. Mkuu unakumbuka lile sakata la wakulima kutupiwa miwa yao pale Mtibwa?? Unafikiri kiwanda kingekuwa na uhakika kwamba sukari watakayozalisha kutoka kwenye miwa hiyo itaenda kuuzika sokoni wangeitupa??Tatizo lilianza baada ya zuio la kuagiza sukari, na mpaka sasa serekali inasema imetoa kibali cha kuagiza, bado haijaingia nchini, kwa nn isingejiwekeza zaidi kwenye kuzalisha kwasababu soko ni kubwa? We huoni kama kuna tatizo hapo?
Ivi unadhani BOT hawajui reserve ya dola hapa nchini? Unajua kuandika neno uchumi tu lakini hauujui practicallyMkimaliza Sukari kavamieni Banks nao wanaficha Dola ili iadimike na kuuzwa kwa bei ya juu!
Uchumi ni Kanuni sio Amri, Kazi ya kusimamia uchumi inahitaji akili sio sio nyepesi kama kuwasha na kuzima Mwenge!
Samahani, mimi si mfuasi wa vyama vya siasa, tunaongelea maslai ya wananchi na hatua serekali inazochukua kutatua matatizo yetu. Hata wakichukua sukari yote na kuigawa bado haitatosha, ile iliozuiliwa isiingie hakuna mbadala wake, kwa nn isipande bei!? Wewe mwenyewe umeona tangu bei elekezi imetangazwa nani kaifuata? Na kuna mtu yeyote amechuliwa hatua? Tutegemee upungufu mkubwa zaidi wa sukari..Sasa hayo unamuuliza nani?? Hizo maalaka si ndo hizi zina wafanyakazi ambao wakifukuzwa watu mnakimbilia kusema wanaonewa?? Au huko kwenye hizo mamlaka unazosema wanafanya kazi makada wa vyama??
dawa yenu ni kufufua RTCKuna ushahidi gani kama hiyo sukari ilikuwa imefichwa? ama kweli Nchi inaendeshwa kwa mizuka