Return Of Undertaker
JF-Expert Member
- Jun 12, 2012
- 4,572
- 26,868
Hapa kuna imani isiyo ya kweli ina chuki, visasi, majivuno, wivu......
Warudishe kwanza dhahabu zetu almasi watulipe fidia kwa kuendesha biashara ya utumwa, halafu tupige hesabu pesa ya MoU mrudishe na riba ya 50%.
Warudishe kwanza dhahabu zetu almasi watulipe fidia kwa kuendesha biashara ya utumwa, halafu tupige hesabu pesa ya MoU mrudishe na riba ya 50%.
Uwambie na waarabu watulipe hela za kufanya watumwa babu zetu, kuwahasi ili wasizae na waarabu, kuwatupa baharini baaba ya msimu wa kazi, pembe za ndovu zetu walizobadilisha na shanga, mara riba 60%
======Warudishe kwanza dhahabu zetu almasi watulipe fidia kwa kuendesha biashara ya utumwa, halafu tupige hesabu pesa ya MoU mrudishe na riba ya 50%.
Umenikumbusha na Watanzania wenzetu walioficha fedha Uswisi na kwingineko pia wanastahili wapandishwe mahakamani!Waambie kwanza wamissionari warudishe dhahabu na rasilimali zetu nyingine kwanza walizoiba kwa kutudanganyia dini na pia wapandishwe mahakamani kwa manyanyaso na mauaji ya babu zetu hapo nitaungana mkono na wewe.
Waliochukua dhahabu yenu si wamishenari, ni wakoloni. Anzia kwa Malkia Elizabeth ambaye nasikia alipewa bonge la almasi ambalo halijawahi kuonekana duniani. Wamishenari wengi niliowafahamu wameondoka Tanganyika/Tanzania wakiwa fukara kama walivyokuja. Kwa hiyo hii dhana kwamba wamishenari walikuja kuiba dhahabu ni dhana potofu. Walioiba dhahabu ni wakoloni. Nikiwa bado kwenye ukurasa huo huo, tuwaadhibu wale waliowachukua babu zetu utumwani na kuwakata makende wasijezaana Arabuni.
ha ha ha!He he hee! Lile jengo la ngome kongwe lililotumika kuhifadhia watumwa kabla ya kuwasafirisha?
Warudishe kwanza dhahabu zetu almasi watulipe fidia kwa kuendesha biashara ya utumwa, halafu tupige hesabu pesa ya MoU mrudishe na riba ya 50%.
Ndio maana kila asemacho mwingereza tunakubali hata kutetea ushoga tutakuwa tayari kwani hao ni 'rafiki zetu katika chama chetu' yaani friendi party. Agent wa ukoloni ni hao wamishenari, walitufanya tukubali wakoloni ni ndugu zetu,walijenga shule na hospitali kwa kutumia malighafi zetu, kwa hiyo hakuna kuwasamehe tunachukua vyote warudi kwao magharibi. nikiwa bado hapohapo wamishenari ndo wezi wa kwanza wa dhahabu zetu na kanisa katoliki linamiliki dhahabu kibao. WEZI WAKUBWA NYIE
Kabla ya kufanya hayo kwanza wakristu nao wapewe chuo kikuu bure
Warudishe kwanza dhahabu zetu almasi watulipe fidia kwa kuendesha biashara ya utumwa, halafu tupige hesabu pesa ya MoU mrudishe na riba ya 50%.
Kabla ya kufanya hayo kwanza wakristu nao wapewe chuo kikuu bure
Tangu dunia imeumbwa wamisionari wa kikristo kutoka ulaya walikuja na kujenga huduma mbali mbali za kijamii kwa kushirikiana na makanisa mbalimbali. Walijenga shule, hospitali makanisa, na kadhalika, walipoondoka waliwaachia madhehebu mbali mbali ya kikristo. Serikali ya awamu ya kwanza iliamua kuzitaifisha kwa manufaa ya umma, lakini wakristo hawakuacha mtindo wao wakujenga huduma za jamii! Waliendelea na mtindo ule ule walioacha wakoloni wa kikristo,
Serikali haikuweza kujenga huduma za jamii badala yake walianza kuomba ushirika na taasisi za kikristo baada ya wao kushindwa kujenga,
Malalamiko ya waislam kwamba serikali inawapa kanisa hela yanatoka wapi Wakati serikali yenyewe ndo inaenda kuomba ubia ktk taasisi za kikristo?
Serikali ianze mkakati wa kujenga huduma zake na zile za makanisa wajitoe ili hawa wanaolalamika waache.
Tukumbuke kuwa mkoloni wa kiarabu hakuwa na mpango wa kujenga huduma za jamii zaidi ya misikiti na madrasa!