Ndallo
JF-Expert Member
- Oct 1, 2010
- 7,619
- 4,298
Ndugu Wanajanvi husika na Kichwa cha habari hapo juu, ni kuwa baada ya TCRA kututangazia kuwa watazima simu zote ambazo ni bandia ifikapo saa sita usiku tarehe 16 kuamkia tarehe 17 June, nimeamini kuwa serikali ndio vinara wakubwa waliongiza simu feki na ushahidi nilionao ni simu zao zile za mezani HUAWEI ambazo walituuzia ambapo leo asubuhi ya kwangu imezima.