Serikali naomba mfungie biashara za Betting, mimi nitafilisika jamani

5997

JF-Expert Member
Jan 19, 2019
514
1,204
Mpaka mda huu namaliza kuandika nimetoka kuweka mkeka wa elfu ishirini na mbili.

Tangu nimeanza kucheza hii michezo nimeishakula elfu kumi na tatu tu lakini mimi nimeishacheza zaidi ya laki mbili na themanini,

Jamani vijana tunaangamia maisha yenyewe ndo haya ya kudunduliza.

Nimejitahidi kuacha betting ila nashindwa

Ee serikali ingilia kati

Ngoja nijiandae kucheza jackpot
 
Wewe unalalamika kuliwa laki 2 tu.mimi nlishapulizwa hadi laki 9.lkn sikukata tamaa.nkaendelea nayo nikawala hadi.milion na laki7,japo nlikua nikila kwa awamu,na baada ya hapo nikaachana nayo leo mwezi unaenda wa nne sasa sijabet
 
Hahaha pole mkuu usiache kubet ila kupunguza viwango vya pesa unavyowekea kubet bet kwa kiasi Fanya sehemu ya kujiburudisha usipokuwa makini utaiumiza familia yako na maisha yako kiujumla rafiki yngu kauza kila kitu ndani kbki na godoro hdi huruma
 
Mpaka mda huu namaliza kuandika nimetoka kuweka mkeka wa elfu ishirini na mbili
Tangu nimeanza kucheza hii michezo nimeishakula elfu kumi na tatu tu lakini mimi nimeishacheza zaidi ya laki mbilo na themanini, Jamani vijana tunaangamia maisha yenyewe ndo haya ya kudunduliza, Nimejitahidi kuacha betting ila nashindwa Ee serikali ingilia kati
Hahahahaha! Hizi picha zinawadanganya sana! Kumbuka kwamba kuna uwezekano mkubwa zaidi kwa wewe kupigwa radi kuliko kushinda kwenye hiyo betting. Betting ni addictive kama dawa za kulevya. Asikuambie mtu eti uji-control. Dawa za kulevya kuna kuji-control? Unahitaji msaada wa daktari wa akili.

1570087839614.png
 
View attachment 1222391
Toka2012 nabeti kiwango chang hakizidi 5000 na wala citaji pesa kubwa wengi wanaoliwa ni wale wanaotaka kuppata pesa mingi ndyo apoo kimbembee kinaanza
 
Hahahahaha! Hizi picha zinawadanganya sana! Kumbuka kwamba kuna uwezekano mkubwa zaidi kwa wewe kupigwa radi kuliko kushinda kwenye hiyo betting. Betting ni addictive kama dawa za kulevya. Asikuambie mtu eti uji-control. Dawa za kulevya kuna kuji-control? Unahitaji msaada wa daktari wa akili.

View attachment 1222391
 
mkuu nakushauli achaa kubet unajua ni zaidi ya ngada
Mpaka mda huu namaliza kuandika nimetoka kuweka mkeka wa elfu ishirini na mbili.

Tangu nimeanza kucheza hii michezo nimeishakula elfu kumi na tatu tu lakini mimi nimeishacheza zaidi ya laki mbili na themanini,

Jamani vijana tunaangamia maisha yenyewe ndo haya ya kudunduliza.

Nimejitahidi kuacha betting ila nashindwa

Ee serikali ingilia kati

Ngoja nijiandae kucheza jackpot
 
Mpaka mda huu namaliza kuandika nimetoka kuweka mkeka wa elfu ishirini na mbili.

Tangu nimeanza kucheza hii michezo nimeishakula elfu kumi na tatu tu lakini mimi nimeishacheza zaidi ya laki mbili na themanini,

Jamani vijana tunaangamia maisha yenyewe ndo haya ya kudunduliza.

Nimejitahidi kuacha betting ila nashindwa

Ee serikali ingilia kati

Ngoja nijiandae kucheza jackpot

Cheza gem chache weka ela nyingi hapo utakula na sio unaweka gem 20 unaweka elf 1000
 
Kubet sio biko, tatu mzuka, wala jackpot narudia tena kubeti sio bahati nasibu , kubet ni kupatia matokeo na kupatia matokeo mbali na kuwa na uhakika wa man city kumfunga everton pia kuna neno mpira unadunda...betting ina pesa nyingi ila sio kwa hizo ligi kubwa fuatilia ligi za LATVIA, FINLAND, SINGAPORE, VENEZUELA, MLS, LEBANON NA ISRAEL kama hukiweza utapata pesa ila kwenye EPL, LA LIGA ,E.T.C MTAPIGWA MCHAKAE.....mimi ni mtaalamu wa LIVE BETTING kwa kweli kuliwa ni mara moja kwa miez mi3.....sina haja ya milioni mimi ni elfu 70 tu au 50 kwa siku inanitosha
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom