Mpitagwa JF-Expert Member Feb 10, 2012 2,339 1,119 Apr 19, 2012 #1 Serikali ya CCM na wabunge wake wamekimbia bunge jioni hii. Kuna mawaziri 3 na wabunge wasiozidi 10 wa CCM. Eti wanakikao cha kuwekana sawa.
Serikali ya CCM na wabunge wake wamekimbia bunge jioni hii. Kuna mawaziri 3 na wabunge wasiozidi 10 wa CCM. Eti wanakikao cha kuwekana sawa.
R resiro Member Apr 2, 2012 10 0 Apr 19, 2012 #2 Peopleeeeeeeeeeeeessss poweeeeer magogoniTunaingia kwa kishindo
Ernesto Che JF-Expert Member Jan 7, 2011 1,114 293 Apr 19, 2012 #3 Lakini wanalipwa kuhudhuria vikao vya bunge sio kufanya vikao vya chama. Huu ni upuuzi mwingine kupoteza rasilimali za taifa kwa kujali chama
Lakini wanalipwa kuhudhuria vikao vya bunge sio kufanya vikao vya chama. Huu ni upuuzi mwingine kupoteza rasilimali za taifa kwa kujali chama