MUNGU alikupa akili za nini?wewe unashindwa hata na mnyama?huwezi ukajua kuwa hiki kitu ni hatari mpaka waje polisi kukwambia au kukusimamia kama ng'ombe? nani ambaye hajui kuwa petrol inauwa?hatukatai kuwa polisi nijukumu lao kuhakikisha usalama wetu,lakini kuna mambo ambayo wewe mwenyewe unatakiwa ujiongeze na uchukue hatua bila kusubiri polisi,nisawa na uko nyumbani kwako unaona nyumba yako inaanza kuungua moto alafu wewe hufanyi jitihada zozote za kuuzima eti unasubiri zimamoto waje kuuzima.well this is shallow and random, jifunze majukumu ya askari kabla ya kudhalilisha fikra zako. Polisi wanajikimu kupitia kodi za wananchi kwa kazi ya usalama wa hao wananchi. Sehemu ambayo polisi anawajibika kuwepo halafu hayupo, kutokuwepo kwake kukasababisha kifo cha mpita njia, kodi ya mpita njia imeliwa bure mpaka kifo chake. Wewe unakubali kulipia huduma hewa? Tukwambie ulipe sh 100 halafu usipate kile unacholipia, utakubali? Polisi haibembelezwi kulinda watu, ni jukumu lao la kimkataba na serikali ya watu. Au unafikiri polisi wanajikimu kwa hela za msaada ya wahisani? Kodi zetu zile hasa VAT ambayo kila mtanzania analipa. Ni wajibu wao kutulinda, eneo lile walipaswa kuwepo.
Mpuuzi. Kuna kitu kinaitwa "personal responsibility". That's where the buck stops.Hili halina mjadala. Polisi wanajikimu kupitia kodi zetu na kazi yao ni kuhakikisha usalama wetu. Kawaida ikitokea ajali askari wanatakiwa kuwahi kufika eneo la tukio na kufuata taratibu za kiusalama. Kama ajali imetokea, watu wamechomoa betri ya gari, watu wanakunywa mafuta askari haonekani kwenye barabara kuu, serikali iwajibike. Mungu aepushie mbali inawezekana kuna mtu alikua hana hata mpango na mafuta na amelipukiwa na moto. TUNAKUAJE NA ASKARI WACHACHE KWENYE NCHI AMBAYO MASLAHI YA ASKARI NI KIDOGO? TUNAKUAJE NA ASKARI WASIOFIKA MAHALA HUSIKA KWA KUKOSA USAFIRI KWENYE NCHI AMBAYO TUNAJENGA SGR? Mimi ni mwana-CCM na damu hii ni ya uzembe wa serikali inayojitanabaisha kwa utendaji. Ajali imetokea sawa, ila ajali imetokea halafu baada ya dk10+ ndo imeua watu kwenye barabara kuu, lipeni tu fidia hapo aisee. Tena fidia ya maana.
Hii kweli thread ya mwana ccm, stupidity never endsHili halina mjadala. Polisi wanajikimu kupitia kodi zetu na kazi yao ni kuhakikisha usalama wetu. Kawaida ikitokea ajali askari wanatakiwa kuwahi kufika eneo la tukio na kufuata taratibu za kiusalama. Kama ajali imetokea, watu wamechomoa betri ya gari, watu wanakunywa mafuta askari haonekani kwenye barabara kuu, serikali iwajibike. Mungu aepushie mbali inawezekana kuna mtu alikua hana hata mpango na mafuta na amelipukiwa na moto. TUNAKUAJE NA ASKARI WACHACHE KWENYE NCHI AMBAYO MASLAHI YA ASKARI NI KIDOGO? TUNAKUAJE NA ASKARI WASIOFIKA MAHALA HUSIKA KWA KUKOSA USAFIRI KWENYE NCHI AMBAYO TUNAJENGA SGR? Mimi ni mwana-CCM na damu hii ni ya uzembe wa serikali inayojitanabaisha kwa utendaji. Ajali imetokea sawa, ila ajali imetokea halafu baada ya dk10+ ndo imeua watu kwenye barabara kuu, lipeni tu fidia hapo aisee. Tena fidia ya maana.
unaruka sana, thread yangu haizungumzii polisi kuzuia watu kuiba mafuta bali kufika eneo la ajali ya barabarani kama wajibu wao.MUNGU alikupa akili za nini?wewe unashindwa hata na mnyama?huwezi ukajua kuwa hiki kitu ni hatari mpaka waje polisi kukwambia au kukusimamia kama ng'ombe? nani ambaye hajui kuwa petrol inauwa?hatukatai kuwa polisi nijukumu lao kuhakikisha usalama wetu,lakini kuna mambo ambayo wewe mwenyewe unatakiwa ujiongeze na uchukue hatua bila kusubiri polisi,nisawa na uko nyumbani kwako unaona nyumba yako inaanza kuungua moto alafu wewe hufanyi jitihada zozote za kuuzima eti unasubiri zimamoto waje kuuzima.
Picha za video zipo.Wanaochota mafuta wanaonekana wazi.Polisi iwakamate iwashitaki kwa makosa yafuatayo la kwanza la wizi wa mafuta la pili.kosa la mauaji kea kuwasha Moto ulioua watu na la kusababisha uharibifu wa Mali kwa kuteketeza Lori na Mali zingine.Wakidakwa na kufunguliwa mashtaka tabia ya kupora gari zinazopata ajali zitapunguaThis is stupidity of the highest order!Walioteketea na moto familia zao zishitakiwe kwa kusababisha mauaji kwa kuwa na watoto wajinga wasiosikia ya wazazi wao pamoja na Serikali.
Hata Mimi ningekuwa Polisi na ninauwezo wa kuzuia ningeacha wezi wauungue tu,labda nikijiridhisha anayeungua alikuwapita njia tu, ila kwa mwizi kwa nini nimuokoe harafu kesho anisumbue tena kwa kwenda kuiba vya watu,?bora hawakwenda kabisaWhy polisi hawakwenda kuzuia Ualifu wa kuiba mafuta?????
Huyo anang'ang'ania vikao vya chadema kwa sababu katibu wa chadema ni miongoni mwa wezi wa mafuta aliyejikaanga kwa petrolNaona tupo kwenye different track! Akili yako ikishakaa kwenye usiasa hata ueleweshwe vp huwezi kuelewa. Bakieni kwenye siasa zenu. Ndg zetu wameshakufa! R.I.P