Serikali na vyombo vyake vya usalama walipe fidia

Hili halina mjadala. Polisi wanajikimu kupitia kodi zetu na kazi yao ni kuhakikisha usalama wetu. Kawaida ikitokea ajali askari wanatakiwa kuwahi kufika eneo la tukio na kufuata taratibu za kiusalama. Kama ajali imetokea, watu wamechomoa betri ya gari, watu wanakunywa mafuta askari haonekani kwenye barabara kuu, serikali iwajibike. Mungu aepushie mbali inawezekana kuna mtu alikua hana hata mpango na mafuta na amelipukiwa na moto. TUNAKUAJE NA ASKARI WACHACHE KWENYE NCHI AMBAYO MASLAHI YA ASKARI NI KIDOGO? TUNAKUAJE NA ASKARI WASIOFIKA MAHALA HUSIKA KWA KUKOSA USAFIRI KWENYE NCHI AMBAYO TUNAJENGA SGR? Mimi ni mwana-CCM na damu hii ni ya uzembe wa serikali inayojitanabaisha kwa utendaji. Ajali imetokea sawa, ila ajali imetokea halafu baada ya dk10+ ndo imeua watu kwenye barabara kuu, lipeni tu fidia hapo aisee. Tena fidia ya maana.
Ila ingekuwa kwenye mkutano wa chadema hizo dakika kumi ni nyingi wangeshafika na kusambaratisha watu ila kwa kulinda raia wasidhurike ambalo ndio jukumu la kazi zao hawatokei
 
kazi ya polisi ni nini wewe mwenye upeo mkubwa? Ikitokea ajali polisi inatakiwa wafanye nini? Acha bangi dogo
Nakufundisha wew usio tambua majukumu yako kabla vyombo vya usalama havija fika unatakiwa kufanya Nini eneo la tukio wale wamekwenda wenyewe polis haikuwatuma hata mara moja wao walitakiwa waache kama lilivyo wao wakawah kuchota mafuta waliagizwa na polis???? Na Alie enda kuchomoa betr aliagizwa na polisi???? Kwa upeo wa akili yako hata mkeo kugongwa na jirani yako ni haki yako.
 
tunailaumu kuchelewa kufika kwenye tukio
Elimu siku zote inatolewa. Unapoona gari ya mafuta imepata ajali kaambali nayo, na hili pia ni jukumu la police kutoa elimu kwa raia wake lakini tumekuwa wagumu wa kuelewa sijui ni kwa sababu ya hali ngumu au vp? Kumbuka ajali ya mbeya!....bado hatujajifunza? Kwann ufanye kitu ambacho ni hatari halafu bado unategemea police akuwahi kukuokoa? Usalama siku zote unaanzia kwako an then ndio unafuata kwa police. Kuna watu hapo walikuwa wakirecord tukio zima mpaka watu wanavyoungua(inasikitisha sana) je hao walishindwa kutoa msaada walikua wanasubiria police waje?
Tuelewe tu wabongo tuna tabu sana hasa kwenye kuepukana na matukio kama haya mwisho wa siku tunailaumu serikali. We unamwona mtu anagalagala huku anaungua moto unachukua video halafu baadae unalalamika police kuchelewa eneo la tukio? Hii ni hatari sana....
 
Msamvu ni Mjini kabisa pale polisi hawakupata Taarifa juu ya hii ajali ya gari na watu kuiba mafuta???? Why hawakwenda kuzuia ualifu huu??? Ingekuwa morogoro kijijini tungesema kweli wamechelewa kufika lakini hapa inaonesha tukio lilikuwa la muda mrefu mpaka moto unawaka
 
Elimu siku zote inatolewa. Unapoona gari ya mafuta imepata ajali kaambali nayo, na hili pia ni jukumu la police kutoa elimu kwa raia wake lakini tumekuwa wagumu wa kuelewa sijui ni kwa sababu ya hali ngumu au vp? Kumbuka ajali ya mbeya!....bado hatujajifunza? Kwann ufanye kitu ambacho ni hatari halafu bado unategemea police akuwahi kukuokoa? Usalama siku zote unaanzia kwako an then ndio unafuata kwa police. Kuna watu hapo walikuwa wakirecord tukio zima mpaka watu wanavyoungua(inasikitisha sana) je hao walishindwa kutoa msaada walikua wanasubiria police waje?
Tuelewe tu wabongo tuna tabu sana hasa kwenye kuepukana na matukio kama haya mwisho wa siku tunailaumu serikali. We unamwona mtu anagalagala huku anaungua moto unachukua video halafu baadae unalalamika police kuchelewa eneo la tukio? Hii ni hatari sana....
Why polisi hawakwenda kuzuia Ualifu wa kuiba mafuta?????
 
Usalama wako kwanza ni muhimu,nina imani watu wapo humu wa afya na usalama.Lakini haihitaji kwenda shule kujua usalama ninini.Ajali imetokea,keep distance as far as your legs can take you,hasa kwa mafuta.Hii sio mara ya kwanza kutokea na kuelimishaa pamoja na kukatazwa kusogelea lori la mafuta.Ilitokea singida maybe you were in Germany with Adolf Hitler or in Italy with Benito Mussolini.It happened and people died.We learnt from that.Kwa nini ijirudie.Ni bora askari wetu hawakuenda kufukuzana na hawa wasiosikia,tungewapoteza au idadi ingekuewa kubwa zaidi!Wale wakina mama wanachota ya kazi gani?Nimewahi kushuhudia pale Karume gari la mafuta limetokea huku upande wa kigogo round about,limepaki kusubiri mataa ya ruhusu hamad vijana wawili wakaenda na mifuko ya nylon wakafungua koki wakawa wanataka kuchota mafuta.Lucky enough hayakuwemo?Can you imagine karume palivyo jioni,mtu apite na sigara karibu na yule anayechota.Kuna wauza mahindi pale wana majiko ya mkaa,Dereva alikuwa amepaki anasubiri mataa yamruhusu he had nothing to do.Do you think wale vijana hata kwa maafa haya ya leo wataacha?Sisi hatujali uslama wetu.Wakikamatwa wakipelekwa mahakamani utasema wameonewa!
True watu hawasikii nimeshangazwa na wale wanawake waliokuwa nao wanachota mafuta na sidhani kama hata angepata dumu yangeweza kumlipa hata 20 ila ni tamaa na roho iliyochanganyikana na unyama ndani yake mwenzako kapata ajari badala umuokoe unaenda kuchota mafuta
 
Na walipofika wakaanza chunga moto na smg badala yakutoa msaada
 
Why polisi hawakwenda kuzuia Ualifu wa kuiba mafuta?????
😀 😀 mna maswali ya ajabu kweli.
Why na wao wakaibe mafuta kwenye gari iliyopata ajali na walishaambiwa ni hatari?
 
Mbona taarifa za vikao vya Ndani za vyama pinzani wanazipata mapema na kutinga na Mabunduki???? Suala la kuzuia ualifu haliitaji kujiuliza why mhalifu analifanyaa...
 
Kwa Mawazo Yangu Naamini Hakuna Gari Linalosafirisha Mafuta Iwe Dizel, Petrol Au Gesi... Lazima Nyuma Au Ubavuni Utakuta Maandishi Haya.....
"""Danger """"Hatari..
Ila bado Mbongo Anaenda kushuudia Hatari.
 
Mbona taarifa za vikao vya Ndani za vyama pinzani wanazipata mapema na kutinga na Mabunduki???? Suala la kuzuia ualifu haliitaji kujiuliza why mhalifu analifanyaa...
Naona tupo kwenye different track! Akili yako ikishakaa kwenye usiasa hata ueleweshwe vp huwezi kuelewa. Bakieni kwenye siasa zenu. Ndg zetu wameshakufa! R.I.P
 
Eeeh sio wawe waadilifu kwenye kutimiza masuala ya kisiasa tu na kujidai wanalinda maslahi ya wananchi akati hapa Ni mjini kabisa wameshindwa kwenda kutimiza wajibu wao shame shame..
 
mbona kila lawama mnawarushia polisi bana,majanga mengine hayaepukiki,yaani wewe tanker lidondoke,uende kuiba betri na mafuta uungue uanze kuwalaumu polisi.Mi nawahurumia walioungua wakiwa hawana hatia lakini kama kunamlitu limeungua wakati linaenda iba mafuta,nasema liungue mpaka majivu,wanakera sana,imagine siku moja mtu kwenye ajali anamsachi marehemu mifukoni,JKT walimrukia
 
Na hii Tania ya magari kuweka mafuta shell wakati abiria wako ndani ikome kabisa. Inawezekana mbona mifuko ya plastic tumeacha?
 
Hili halina mjadala. Polisi wanajikimu kupitia kodi zetu na kazi yao ni kuhakikisha usalama wetu. Kawaida ikitokea ajali askari wanatakiwa kuwahi kufika eneo la tukio na kufuata taratibu za kiusalama. Kama ajali imetokea, watu wamechomoa betri ya gari, watu wanakunywa mafuta askari haonekani kwenye barabara kuu, serikali iwajibike. Mungu aepushie mbali inawezekana kuna mtu alikua hana hata mpango na mafuta na amelipukiwa na moto. TUNAKUAJE NA ASKARI WACHACHE KWENYE NCHI AMBAYO MASLAHI YA ASKARI NI KIDOGO? TUNAKUAJE NA ASKARI WASIOFIKA MAHALA HUSIKA KWA KUKOSA USAFIRI KWENYE NCHI AMBAYO TUNAJENGA SGR? Mimi ni mwana-CCM na damu hii ni ya uzembe wa serikali inayojitanabaisha kwa utendaji. Ajali imetokea sawa, ila ajali imetokea halafu baada ya dk10+ ndo imeua watu kwenye barabara kuu, lipeni tu fidia hapo aisee. Tena fidia ya maana.

Kwani hao wananchi hawakujua wanachofanya ni kuvunja sheria? Kuna mambo nashindwa kuelewa kabisa. Mbona hatupendi kuwa responsible kwa yale tunayofanya pamoja na matokeo yake?
Hao waliohusika walikosea sana kuchukua mali wasiyoimiliki
 
wewe si hua unaona polisi wnachora chora baada ya ajali? Walikua wapi wakati wa hii ajali kuchora chora? Achilia mbali kulinda watu wasiibe, ilitakiwa wawepo kuangalia chanzo cha ajali na taratibu za kiusalama. Tukio lile si la chini ya dk 30 mpaka pamelipuka huo muda wote walikua wapi? Hapo kuna uzembe wa makusudi na kuna watu wamedhurika kwa uzembe huu, kuna ambao hata muda na mafuta hawakua nao lakini ni barabara kuu basi wameumia. Achana na wizi, tuzungumzie wajibu wa polisi wakati wa ajali
 
Hili halina mjadala. Polisi wanajikimu kupitia kodi zetu na kazi yao ni kuhakikisha usalama wetu. Kawaida ikitokea ajali askari wanatakiwa kuwahi kufika eneo la tukio na kufuata taratibu za kiusalama. Kama ajali imetokea, watu wamechomoa betri ya gari, watu wanakunywa mafuta askari haonekani kwenye barabara kuu, serikali iwajibike. Mungu aepushie mbali inawezekana kuna mtu alikua hana hata mpango na mafuta na amelipukiwa na moto. TUNAKUAJE NA ASKARI WACHACHE KWENYE NCHI AMBAYO MASLAHI YA ASKARI NI KIDOGO? TUNAKUAJE NA ASKARI WASIOFIKA MAHALA HUSIKA KWA KUKOSA USAFIRI KWENYE NCHI AMBAYO TUNAJENGA SGR? Mimi ni mwana-CCM na damu hii ni ya uzembe wa serikali inayojitanabaisha kwa utendaji. Ajali imetokea sawa, ila ajali imetokea halafu baada ya dk10+ ndo imeua watu kwenye barabara kuu, lipeni tu fidia hapo aisee. Tena fidia ya maana.
Polisi wakimbilie hapo wakati si tukio la ccm.
 
wewe si hua unaona polisi wnachora chora baada ya ajali? Walikua wapi wakati wa hii ajali kuchora chora? Achilia mbali kulinda watu wasiibe, ilitakiwa wawepo kuangalia chanzo cha ajali na taratibu za kiusalama. Tukio lile si la chini ya dk 30 mpaka pamelipuka huo muda wote walikua wapi? Hapo kuna uzembe wa makusudi na kuna watu wamedhurika kwa uzembe huu, kuna ambao hata muda na mafuta hawakua nao lakini ni barabara kuu basi wameumia. Achana na wizi, tuzungumzie wajibu wa polisi wakati wa ajali

Polisi wanafanya kazi zao kwa mujibu wa taratibu na sheria. Gari imeanguka karibu na bodaboda. Wakaona ndio sehemu ya kuponea. Polisi hawakuwa mbali na hapo maana stendi iko karibu tu. Ila kama wajinga wajinga wametangulia wakaandaa mlipuko,polisi waende ili wakaungue? Honestly watanzania wenzangu wengi tuna tabia ya ujuaji. Na inatugharimu kweli.
 
Back
Top Bottom