Serikali na vyombo vyake vya usalama walipe fidia

Serikali na vyombo vyake vya usalama walipe fidia

This is stupidity of the highest order!Walioteketea na moto familia zao zishitakiwe kwa kusababisha mauaji kwa kuwa na watoto wajinga wasiosikia ya wazazi wao pamoja na Serikali.
Sikujua kama mjadala huu una maana na kwenye red hapo naona hoja ya msingi. Lakini tukubaliane kuwa pamoja na wazazi, mwenye jukumu la kuondoa ujinga ni serikali.
Nasikitika kwamba ujinga mwanzoni ilikuwa ni kipaumbele cha 'vita' yetu lakini sasa hivi umegeuzwa mtaji na wale wale walioufanya adui! Hatuwezi kuepuka aibu hii maana kila gari linalosafirisha mafuta lina maandishi makubwa kwa kiswahili na kiingereza (DANGER) na sababu ya elimu yetu ya kukariri na kupatia vyeti huenda waanga hawakuwahi kuyatafakari!
Ni tukio baya sana na linachafua taswira ya nchi maana dunia iliingalia Tz kipindi hiki kupitia mkutano wa SADDC
 
We mjinga sana. Yaani hao walioenda kuiba mafuta hawajui kama mafuta ni hatari, hawajui kama sheria za nchi mtu hatakiwi kuiba. Waafrika matatizo yao ndio hayo, ukiwaambia jwa ndomo hawaelewi mpaka uwafuatilie kama watoto wadogo
SAWA, wajibu wa polisi inapotokea ajali ni upi? Polisi wanakwepaje uwajibikaji kama hawakuwajibika sawasawa baada ya ajali kutokea?
 
NI KWELI MKUU, HAO POLICE INGEKUA NI MIKUTANO YA CHADEMA WANGEFANYA KAZI YA KUTAWANYA WATU WITHIN FIVE MINUTES, ILA KWENYE MOTO HATUWAONI MSONYOOOO ...SERIKALI ILIPE FIDIA KWELI!!!
 
Let me agree to disagree!Hongera kwa kunizdi akili na kudai fidia!Najua unachotaka uzi uwe na wachangiaji wengi.I stop here!
haya baada ya kufika hapa leme school you, ukikubali kutofautina maana yake either of us can be right we just don't know who yet, so Mimi nawewe tunatofautiana. Na binadamu wengine wapo hivi hivi, wapo ambao wana matatizo na matatizo yao yakasababisha madhara kwa wengine, sasa inapotokea mahali kuna wakuwajibika, ni lazima awajibike ili kuepusha binadamu wanaotofautiana kuleteana madhara. I am not even sure how jamiiforums works, views&replies are the least of my worries. Just here to express my opinions freely.
 
NI KWELI MKUU, HAO POLICE INGEKUA NI MIKUTANO YA CHADEMA WANGEFANYA KAZI YA KUTAWANYA WATU WITHIN FIVE MINUTES, ILA KWENYE MOTO HATUWAONI MSONYOOOO ...SERIKALI ILIPE FIDIA KWELI!!!
Mkutano unaweza ukajulikana hata mwezi mmoja kabla but ajali ni kitu kingine kabisaaaa....muwe na muda wa kutafakari kabla ya kuzungumza, we jitu linaenda mpaka na kichupa cha mo energy eti kuchota mafuta halafu moto unatokea unaanza kuilaumu serikali.
Nna wasiwasi kuna siku hata mwanao atagoma kwenda shule utailaumu serikali...........
 
Umeandika hoja nzuri sana tatizo kueleweka ni kazi, na tusubiri ajali mbaya zaidi baada ya miradi mikubwa kukamilika labda hiyo misiba watashtuka.
 
Hili halina mjadala. Polisi wanajikimu kupitia kodi zetu na kazi yao ni kuhakikisha usalama wetu. Kawaida ikitokea ajali askari wanatakiwa kuwahi kufika eneo la tukio na kufuata taratibu za kiusalama. Kama ajali imetokea, watu wamechomoa betri ya gari, watu wanakunywa mafuta askari haonekani kwenye barabara kuu, serikali iwajibike. Mungu aepushie mbali inawezekana kuna mtu alikua hana hata mpango na mafuta na amelipukiwa na moto. TUNAKUAJE NA ASKARI WACHACHE KWENYE NCHI AMBAYO MASLAHI YA ASKARI NI KIDOGO? TUNAKUAJE NA ASKARI WASIOFIKA MAHALA HUSIKA KWA KUKOSA USAFIRI KWENYE NCHI AMBAYO TUNAJENGA SGR? Mimi ni mwana-CCM na damu hii ni ya uzembe wa serikali inayojitanabaisha kwa utendaji. Ajali imetokea sawa, ila ajali imetokea halafu baada ya dk10+ ndo imeua watu kwenye barabara kuu, lipeni tu fidia hapo aisee. Tena fidia ya maana.
Ungekuwa mkutano wa upinzani au maandamano polisi wangepatikana wa kutosha. Hakuna namna wawajibike kwakweli.
 
Hapa nawatetea polisi

Tena bora hawakwenda na wenyewe wangekufa kwa ujinga wa wachache
 
Hahaha kwamba ni wasted sperm Kuna wengine Walikuwa ni wapita njia tu mkuu
This is stupidity of the highest order!Walioteketea na moto familia zao zishitakiwe kwa kusababisha mauaji kwa kuwa na watoto wajinga wasiosikia ya wazazi wao pamoja na Serikali.
 
Rubbish Thread of the year.....
Mlitumwa mkachote yale mafuta?
 
Mkutano unaweza ukajulikana hata mwezi mmoja kabla but ajali ni kitu kingine kabisaaaa....muwe na muda wa kutafakari kabla ya kuzungumza, we jitu linaenda mpaka na kichupa cha mo energy eti kuchota mafuta halafu moto unatokea unaanza kuilaumu serikali.
Nna wasiwasi kuna siku hata mwanao atagoma kwenda shule utailaumu serikali...........

Acha kutetea upuuzi,Police wanatakiwa wawe ready for anything...any time..ina maana kukitokea uvamizi au vita tutawasubiri kwanza wajipodoe ndio wajitokeze kwenye tukio?
 
Screenshot_20190810-171339.jpg

Kwahali hii bado tunailaumu serikali?
 
Back
Top Bottom