#COVID19 Serikali na siasa za Corona, yanayosemwa sio yanayofanyika

Memento

JF-Expert Member
Jun 13, 2021
4,423
9,962
Wote ni mashuhuda kwa jinsi serikali ilivyojipambanua kukabiliana na janga la corona, na hii imepelekea wengi kupongeza hatua ambazo serikali imepanga/ilipanga kuzichukua.

Serikali imeweka mkazo mkubwa sana ili kulinda watu wake dhidi ya corona na ndio maana matamko mengi yametolewa na wakuu wa mikoa ili kukabiliana na hili suala.

Mkuu wa Mkoa Dar alisema daladala ziwe level seat, watu wote wavae barakoa na mikusanyiko hairuhusiwi.

Ni ukweli usiopingika kuwa corona inaua na imeua ndugu zetu wengi na bado inaendelea kuua.

Hivyo hatua hizi za mkuu wa mkoa Amos Makalla zipo sahihi Sana, lakini kwa nini hazisimamii?

Tatizo lipo hapo, matamko ya kila namna katoa kuhusu corona na mikusanyiko, lakini amekuwa ndio wa kwanza kuvunja kule nacho yeye mwenyewe aliagiza.

Au corona imeisha? Kama ni hivyo basi watu waambiwe, na Kama corona bado ipo mbona mnashindwa kusimamia maagizo yenu?

Jana mkuu wa mkoa alikuwa kwenye mkusanyiko huko wa ndondo cup, huku uwanja ukifurika bila watu kuchukua tahadhari zozote.

Leo tena uwanja wa taifa umefurika, hakuna social distancing Wala barakoa. Lakini mkuu wa mkoa yupo kimya kama haoni vile

Kama Jambo ni gumu kulitekeleza, serikali msiwe mnatoa matamko.
Screenshot_20210829-164451_1.jpg
20210829_162147.jpg
20210829_162028.jpg
20210829_162211.jpg
 
Haya matamko ya corona ni kwa ajili ya kuwafurahisha wazungu ili watoe mkopo na misaada.

Angalia hata chanjo zimedoda watu hawachanji serikali imekuja na hoja kua covid inamaliza nguvu za kiume ila wapi.

Matamko ni usanii tu mkuu.
 
Mkuu vipi tena? lengo si lilikuwa kuungana tu na 'wenzetu' na kuitangazia dunia tu kwamba na sisi tunae uviko ili twende sawa.
Inawezekana
Maana wanachosema sio wanachofanya
 
Haya matamko ya corona ni kwa ajili ya kuwafurahisha wazungu ili watoe mkopo na misaada.

Angalia hata chanjo zimedoda watu hawachanji serikali imekuja na hoja kua covid inamaliza nguvu za kiume ila wapi.

Matamko ni usanii tu mkuu.
Serikali kwenye hili imetia aibu, ni Bora wangekaa tu kimya
 
Huko taifa ni vurugu tu
Wabongo washazoea mbanano
Msangamano kukanyagana

Ova
 
Wote ni mashuhuda kwa jinsi serikali ilivyojipambanua kukabiliana na janga la corona, na hii imepelekea wengi kupongeza hatua ambazo serikali imepanga/ilipanga kuzichukua.

Serikali imeweka mkazo mkubwa sana ili kulinda watu wake dhidi ya corona na ndio maana matamko mengi yametolewa na wakuu wa mikoa ili kukabiliana na hili suala.

Mkuu wa mkoa dar alisema daladala ziwe level seat, watu wote wavae barakoa na mikusanyiko hairuhusiwi.

Ni ukweli usiopingika kuwa corona inaua na imeua ndugu zetu wengi na bado inaendelea kuua.

Hivyo hatua hizi za mkuu wa mkoa Amos Makalla zipo sahihi Sana, lakini kwa nini hazisimamii?

Tatizo lipo hapo, matamko ya kila namna katoa kuhusu corona na mikusanyiko, lakini amekuwa ndio wa kwanza kuvunja kule nacho yeye mwenyewe aliagiza.
Au corona imeisha? Kama ni hivyo basi watu waambiwe, na Kama corona bado ipo mbona mnashindwa kusimamia maagizo yenu?

Jana mkuu wa mkoa alikuwa kwenye mkusanyiko huko wa ndondo cup, huku uwanja ukifurika bila watu kuchukua tahadhari zozote.

Leo tena uwanja wa taifa umefurika, hakuna social distancing Wala barakoa. Lakini mkuu wa mkoa yupo kimya kama haoni vile

Kama Jambo ni gumu kulitekeleza, serikali msiwe mnatoa matamko.
View attachment 1914861View attachment 1914862View attachment 1914864View attachment 1914867

1630249251745.png
 
Kuna watu niliwaambia hili suala la corona serikali haipo sawa na watashindwa
Walikurupuka sana wakaleta somjo nying sana, mara mitungi ya ges haitosh mara wodi zmejaa wagonjwa sasa kiko wapi hakuna update yoyote ya uviko
 
Viongozi wetu wengewe wanavaa barakoa wakikutana na wageni wa kimataifa, wakiwa wanakutana na sisi wala wako tu kama kawaida ngoja sasa usikie sijui nani nani wa benki ya dunia hadi barakoa inapigwa pasi na inakua sare na nguo walizovaa
Kazi ipo
 
Wote ni mashuhuda kwa jinsi serikali ilivyojipambanua kukabiliana na janga la corona, na hii imepelekea wengi kupongeza hatua ambazo serikali imepanga/ilipanga kuzichukua.

Serikali imeweka mkazo mkubwa sana ili kulinda watu wake dhidi ya corona na ndio maana matamko mengi yametolewa na wakuu wa mikoa ili kukabiliana na hili suala.

Mkuu wa mkoa dar alisema daladala ziwe level seat, watu wote wavae barakoa na mikusanyiko hairuhusiwi.

Ni ukweli usiopingika kuwa corona inaua na imeua ndugu zetu wengi na bado inaendelea kuua.

Hivyo hatua hizi za mkuu wa mkoa Amos Makalla zipo sahihi Sana, lakini kwa nini hazisimamii?

Tatizo lipo hapo, matamko ya kila namna katoa kuhusu corona na mikusanyiko, lakini amekuwa ndio wa kwanza kuvunja kule nacho yeye mwenyewe aliagiza.
Au corona imeisha? Kama ni hivyo basi watu waambiwe, na Kama corona bado ipo mbona mnashindwa kusimamia maagizo yenu?

Jana mkuu wa mkoa alikuwa kwenye mkusanyiko huko wa ndondo cup, huku uwanja ukifurika bila watu kuchukua tahadhari zozote.

Leo tena uwanja wa taifa umefurika, hakuna social distancing Wala barakoa. Lakini mkuu wa mkoa yupo kimya kama haoni vile

Kama Jambo ni gumu kulitekeleza, serikali msiwe mnatoa matamko.
View attachment 1914861View attachment 1914862View attachment 1914864View attachment 1914867
Hiyo COVID-19 imekuwa fimbo ya kuwachapia wale tusiopendwa na CCM.Ukiwa CCM au kiongozi wa Taasisi yoyote inayohusiana na serikali ama inayounga juhudi za serikali ruksa kukusanyika,kushangilia vinywa na pia zikiwa wazi hata msongamano uwe mkubwa lakini akina Mh.Mbatia hata kikao cha ukumbini hawana kibali.
Ninawahimiza Watanzania wenzangu tuchukue tahadhari zote zinazoelekezwa na wataalam wa afya dhidi ya COVID-19, it's real na inaua.CCM na serikali kwa Umoja wenu hakikisheni mnatenda Haki bin Haki katika kutekeleza majukumu yenu ya kiuongozi na msiwe wabinafsi.CORONA isiwe siasa maana Watanzania ndiyo wanaofariki.
 
Wote ni mashuhuda kwa jinsi serikali ilivyojipambanua kukabiliana na janga la corona, na hii imepelekea wengi kupongeza hatua ambazo serikali imepanga/ilipanga kuzichukua.

Serikali imeweka mkazo mkubwa sana ili kulinda watu wake dhidi ya corona na ndio maana matamko mengi yametolewa na wakuu wa mikoa ili kukabiliana na hili suala.

Mkuu wa mkoa dar alisema daladala ziwe level seat, watu wote wavae barakoa na mikusanyiko hairuhusiwi.

Ni ukweli usiopingika kuwa corona inaua na imeua ndugu zetu wengi na bado inaendelea kuua.

Hivyo hatua hizi za mkuu wa mkoa Amos Makalla zipo sahihi Sana, lakini kwa nini hazisimamii?

Tatizo lipo hapo, matamko ya kila namna katoa kuhusu corona na mikusanyiko, lakini amekuwa ndio wa kwanza kuvunja kule nacho yeye mwenyewe aliagiza.
Au corona imeisha? Kama ni hivyo basi watu waambiwe, na Kama corona bado ipo mbona mnashindwa kusimamia maagizo yenu?

Jana mkuu wa mkoa alikuwa kwenye mkusanyiko huko wa ndondo cup, huku uwanja ukifurika bila watu kuchukua tahadhari zozote.

Leo tena uwanja wa taifa umefurika, hakuna social distancing Wala barakoa. Lakini mkuu wa mkoa yupo kimya kama haoni vile

Kama Jambo ni gumu kulitekeleza, serikali msiwe mnatoa matamko.
View attachment 1914861View attachment 1914862View attachment 1914864View attachment 1914867
Hiyo COVID-19 imekuwa fimbo ya kuwachapia wale tusiopendwa na CCM.Ukiwa CCM au kiongozi wa Taasisi yoyote inayohusiana na serikali ama inayounga juhudi za serikali ruksa kukusanyika,kushangilia vinywa na pua zikiwa wazi hata msongamano uwe mkubwa kiasi gani lakini akina Mh.Mbatia hata kikao cha ukumbini hawana kibali.

Back
Top Bottom