Serikali na shule za kata | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Serikali na shule za kata

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by The hammer, Feb 19, 2012.

 1. The hammer

  The hammer JF-Expert Member

  #1
  Feb 19, 2012
  Joined: May 17, 2011
  Messages: 2,280
  Likes Received: 1,236
  Trophy Points: 280
  Serikali imejenga shule nyingi sana za sekondari kuanzia mwanzon mwa miaka ya 2000.Lengo la Serikali yetu lilikuwa zuri la kuwapatia elimu ya sec.vijana wetu.

  Ila kitu ambacho Serikali haijakiona ni kuwa itajenga utitiri wa wa shule zisizo na ubora hadi lini? Nafikiri ingekuwa vyema serikali isitshe ujenzi huu wa shule mpya then iegemee ktk kuziboresha zilizopo kwa maan ya kuzipanua zaidi,kuziwekea vifaa vya kujifunzia na kufundishia na walim wandaliwe wa kutosha ili watoto wasiishie kusema wamefika secondary bali jamii iwaone kweli wamefikia ELIMU HIYO,kwani shule ni nyingi lakini karibu robo yake form 1 na 2 inawachukua dakika 2 kundika sentens nzima.

  Ifikie mahali serikal isitishe zoezi hili ili iende kwny zoezi jingine ambalo litaboresha elimu ya sekondary otherwise hakuna tunalolifanya mana hata wenye vipaji vyao vya AKILI VINAPOTELEA KWENYE SHULE ZA KATA.....


  • [​IMG]
   
 2. CHUAKACHARA

  CHUAKACHARA JF-Expert Member

  #2
  Feb 19, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 12,206
  Likes Received: 3,822
  Trophy Points: 280
  Nani alikwambia kuwa lengo la wanasiasa lilikuwa kuwapa elimu watotot wa wakulima. Ilikuwa kuwaghiribu hawa ngumbaru wazee wetu wawape kura. Wamefanikiwa!!!
   
Loading...