Serikali na mishahara ya Septemba 2011

Hakunaga 4nce

Member
Joined
Jun 10, 2011
Posts
36
Reaction score
5
Yeyote mwenye Taarifa tayar imeachiwa au bado?
Jana nimeona kuna jamaa kasema kuwa mpk sasa wafanyakaz hawajapata mishahara coz serikal inataka kukata 2,000 kwa kila m1 kwa ajil ya sherehe ya miaka 50. Ndo nauliza vp wameshaachia hyo mishahara au bd.
 
Yeyote mwenye Taarifa tayar imeachiwa au bd?

Kwani ilikuwa imeshikiliwa? Unazungumzia mishahari ipi -- wa kwangu umeingia kwenye akaunti yangu tangu tar. 25.
 
Jana nimeona kuna jamaa kasema kuwa mpk sasa wafanyakaz hawajapata mishahara coz serikal inataka kukata 2elf kwa kila m1 kwa ajil ya sherehe ya miaka 50. Ndo nauliza vp wameshaachia hyo mishahara au bd.
 
Usiishi kwa kutegemea mshahara kijana tafuta vyanzo vya mapeneee
 
Au wanatafuta wapi pa kwenda kukopa ndo watulipe?
 
nasikia hazina wanairekebisha kwa mujibu wa wahasibu wa halmashauri
 
mishahara imepelekwa igunga kwenye kampeni chafu za kuhonga maulamaa... halafu rostam kagoma kuwakopesha hela za kulipa mishahara
 
Mpaka sasa watumishi wa sekta nyingi za serikali hawajalipwa mishahara yao, kitu ambacho si kawaida. Tumezoea kulipwa kati ya tarehe 22 - 25 ya kila mwezi lakini sasa tunaingia siku ya mwisho kabisa ya mwezi na hakuna hata dalili, napenda kujua wadau, AU NDO PESA ZETU ZIMEENDA IGUNGA? maana nasikia CCM wametumia karibu 10bl kwa ajili ya ukaguzi. Naomba majibu kwa atakaye kuwa nayo. Asante
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…