Serikali na mishahara ya Septemba 2011

Hakunaga 4nce

Member
Jun 10, 2011
36
5
Yeyote mwenye Taarifa tayar imeachiwa au bado?
Jana nimeona kuna jamaa kasema kuwa mpk sasa wafanyakaz hawajapata mishahara coz serikal inataka kukata 2,000 kwa kila m1 kwa ajil ya sherehe ya miaka 50. Ndo nauliza vp wameshaachia hyo mishahara au bd.
Mpaka sasa watumishi wa sekta nyingi za serikali hawajalipwa mishahara yao, kitu ambacho si kawaida. Tumezoea kulipwa kati ya tarehe 22 - 25 ya kila mwezi lakini sasa tunaingia siku ya mwisho kabisa ya mwezi na hakuna hata dalili, napenda kujua wadau, AU NDO PESA ZETU ZIMEENDA IGUNGA? maana nasikia CCM wametumia karibu 10bl kwa ajili ya ukaguzi.

Naomba majibu kwa atakaye kuwa nayo. Asante
Hadi dakika hii hakuna mtumishi wa serikali kuu(central government) au serikali za mitaa(local government) ambaye ameshalipwa mshahara wake wa mwezi september nchi nzima,hii ni kinyume cha sera ya serikali kuwa watumishi wote wa umma wanatakiwa kuwa wameshalipwa mishahara yao kabla ya tarehe 25 ya kila mwezi.

Wadadisi wa mambo wanasema pesa ya mishahara itakuwa imekopeshwa ama kupewa ccm ili zitumike katika kampeni za huko Igunga.
Kuna miezi 3 ya nyuma huko serikali ilikopa pesa kwa ajili ya kulipa watumishi wake(source: Zitto Kabwe na Mkulo alishindwa kukanusha) hasa waalimu,manesi na madaktari,
sasa huenda kupelekwa Igunga kwa mishahara hiyo ikawa ni uzushi na ukweli ukawa serikali haina pesa na haijapata nchi,kampuni au mtu wa kukopa.

Hii ni aibu na kukosa uwajibikaji wa rais wetu.
 
Jana nimeona kuna jamaa kasema kuwa mpk sasa wafanyakaz hawajapata mishahara coz serikal inataka kukata 2elf kwa kila m1 kwa ajil ya sherehe ya miaka 50. Ndo nauliza vp wameshaachia hyo mishahara au bd.
 
nasikia hazina wanairekebisha kwa mujibu wa wahasibu wa halmashauri
 
mishahara imepelekwa igunga kwenye kampeni chafu za kuhonga maulamaa... halafu rostam kagoma kuwakopesha hela za kulipa mishahara
 
Mpaka sasa watumishi wa sekta nyingi za serikali hawajalipwa mishahara yao, kitu ambacho si kawaida. Tumezoea kulipwa kati ya tarehe 22 - 25 ya kila mwezi lakini sasa tunaingia siku ya mwisho kabisa ya mwezi na hakuna hata dalili, napenda kujua wadau, AU NDO PESA ZETU ZIMEENDA IGUNGA? maana nasikia CCM wametumia karibu 10bl kwa ajili ya ukaguzi. Naomba majibu kwa atakaye kuwa nayo. Asante
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom