Ilienda wapi?
Dogo ulilewa tukakuacha,kabla ya gogoro la urusi/Ukraine ilionekana fika Kuwa watakaposusia nishati ya Urusi mbadala wake ni nishati toka Qatar
Nishati kuisafirisha Kwa njia ya bomba ni gharama nafuu.Ili ifike iendako isiwe na mzunguko mrefu ni lazima ipitie Syria,wakaomba kupitisha bomba Syria wakawabania,ukumbuke Urusi alishawaotea na yeye ndo aloweka pingamizi Hilo ili washike adabu.
Waloomba waliponyimwa wakaona mambo yasiwe mengi,manake wameomba weee mpaka mate yamekauka mdomoni,wakaona suluhu ni kushika bunduki TU Assad atoke,ndipo urusi akaingia mzimamzima.
lIlikuwa ni Senema zetu TU Kuwa US/Israel ndo wamempindua Assad.