kwahy hadi mmalize uchaguzi wati tunajua mmeshapita tayariTuacheni tuko bize na uchaguzi. Mnatuona serikali kama mat*ko yenu kila mtu anaweza shika.
Ckiukweli sijui kuna kitu gani chini ya kapeti. Serikali miradi mingi imesimama haifanyi kazi kama shida ni pesa tupitishe bakuli Tanzania nzima.
Sgr imesimama kuanzia tabora hafi uvinza tabora to isaka kimya
Uwanja wa mpira kimya hadi leo dodoma hakuna kitu wakati mlisema ujenzi unaanza mwezi wa 3 hakuna kifaa hata kimoja site.
UWANJA WA ARUSHA WATU HAWANA MIKATABA WALA OVER TIME HAZITHAMINIWI.
FUNDI ANALIPWA 12500 KIBARUA ANALIPWA 12500 NA HELA INATOLEWA MKONONI SERIKALI ONESHENI MAKALI YENU. SERIKALI MNAPOTEZA MAPATO MENGI.
CC. Lucas Mwashambwa chawa wa sa100!kiukweli sijui kuna kitu gani chini ya kapeti. Serikali miradi mingi imesimama haifanyi kazi kama shida ni pesa tupitishe bakuli Tanzania nzima.
Sgr imesimama kuanzia tabora hafi uvinza tabora to isaka kimya
Uwanja wa mpira kimya hadi leo dodoma hakuna kitu wakati mlisema ujenzi unaanza mwezi wa 3 hakuna kifaa hata kimoja site.
UWANJA WA ARUSHA WATU HAWANA MIKATABA WALA OVER TIME HAZITHAMINIWI.
FUNDI ANALIPWA 12500 KIBARUA ANALIPWA 12500 NA HELA INATOLEWA MKONONI SERIKALI ONESHENI MAKALI YENU. SERIKALI MNAPOTEZA MAPATO MENGI.
Hamna mradi wenye faida hapo kuanzia SGR mpaka kiwanja cha mpira. Tungejenga SGR kwena Zambia yaani tungeboresha TAZARA angalau mwamko wa mradi ungekuwepo. Miradi mingi ya kiongozi iliyopita ilikuwa haina maslahi mapana ya nchi. Ndio maana wanaokuja wanaiba na kuzubaa. Nchi kama nchi hatujawahi kupata serikali iliyoheshimu na kuendeleza kiradi ya kiongozi aliyepita.kiukweli sijui kuna kitu gani chini ya kapeti. Serikali miradi mingi imesimama haifanyi kazi kama shida ni pesa tupitishe bakuli Tanzania nzima.