PostGE2025 Serikali mkiendelea kujifanya hamuoni kauli za wazi za uchochezi wa kidini za SHEIKH RUSAGANYA, msije kulaumu baadaye yakiharibika

PostGE2025 Serikali mkiendelea kujifanya hamuoni kauli za wazi za uchochezi wa kidini za SHEIKH RUSAGANYA, msije kulaumu baadaye yakiharibika

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

chararaa

JF-Expert Member
Joined
Mar 26, 2025
Posts
1,861
Reaction score
2,881
Huyo bwana anaye jiita sheikh rusaganya mara nyingi amaekuwa na kauli za wazi za kichochezi wa kidini na ni zawazi kabisa ambazo isinge kuwa busara na hekima za wakristo basi huenda pangeanza kutokea mgogoro wa kidini nchini

Huyu mjinga kwanza hana kumbukumbu nzuri za matukio ya nyuma ni mtu anaye ongea akionesha kabisha kwa uwazi ana hitaji mgogoro na wakristo huenda akichunguzwa anakikundi chake anacho taka akijaribu

Malalamiko ya raia ni dhidi ya serikali na wala si uislam na malalamiko hayo yanatakiwa yajibwe na serikali , sasa huyu mjinga anajibu yeye kwani ni msemaji wa serikali?Na kwanini ajibu kimlengo wa kubagaz dini nyingine kwani hao wa dini nyingine wanapo toa hoja zao huwa wana lenga uislam au serikali?,huyu mjinga akataliwe kabisa huenda anatumwa au kuna lengo lipo linatafutiwa chanzo tu mana hawa watu si watu wema kabisa

Na niwashukuru sawa waumini wa kiislam walio kuwa wanamsikiliza kwanza hawakuenesha wazi kama wanakubaliana na ule ujinga alio kuwa anauongea pale

Ni dhahiri kama wakristo nao wangekuwa wanaongea udini moja kwa moja kama afanyavyo yeye hakika amani ingetoweka, busara na hekima za wakristo kuendelea kumpuuza ndizo zinazo fifisha mgogoro huo ingawa anaonekana kabisa anatafuta visa na wakristo

Serikali msimpuize mtu huyo tena uchochezi anao ufanya ni mbaya kuliko hata huo wa kisiasa mnao hangaika nao kula siku msijifanye hamumuoni halafu baadae upande wa pili nao wakianza kujibu kama anavyo jibu yeye muanze kujifanya ndio mnashtuka hawa watu sio wakuwachekea hata kama mnadhani anafanya utetezi kwa serikali ,hakuna utetezi wa kutafuta chokochoko za kidini kama afanyavyo yeye. Huyu aitwe na vyombo vya usalama aonywe na aambiwe wazi kabisa.
 
Yule Shekh majini alikuwa vocal sana na huyu karma/kadar itapita nae.
 
Rusaganya! Mbona hilo jina sio la kitanganyika? Kabila gani huyu na anatoka mkoa gani? Kama ni kigoma basi atakuwa Mrundi tu! Embu picha yake
 
Wala hajaanza leo wala jana. Na ana matusi hatari. Ni full jazba na kupandisha majini tayari hata kujiripua ikibidi. Linganisha na akina Gwajima waliokuwa wanawasilisha hoja zao kwa mantiki bila udini wala matusi. Leo ni wakimbizi. Huyu waziwazi kabisa lakini yupo tu. Angekuwa Mgalatia angekuwa keshatekwa au kushambuliwa huyu!
 
Back
Top Bottom