Kijakazi
Platinum Member
- Jun 26, 2007
- 9,353
- 15,075
Muda umefika sasa kwa Serikali yetu izuie ongezeko la watu nchini mwetu, ihakikishe tusivuke milioni 45!
Ikiwezekana Wanawake wawezeshwe kwa kupewa vidonge vya kuzuia Mimba kwa wale wenye uwezo wanunue na kwa Wale wasio nao basi kuwe na utaratibu wa kuwapatia (vidonge) bure!
Hili pia linawezekana kwa kuweka kiwango cha Watoto ambao Mwanamke anaweza kuwa nao, mimi nashauri kila Mwanamke asivuke watoto wawili, na atayevukisha hapo basi Baba wa mtoto aadhibiwe kwa kulazimishwa kulipa kodi kubwa zaidi kuliko wengine na pia kutokupandishwa cheo kazini!
Nasema hivi kwa maana hali inatisha sana, sasa hivi nchini mwetu kila Mwanamke analeta Duniani wastani wa Matatizo (watoto) 5.2 hii ni idadi kubwa sana na hatuwezi kuendelea ni hii Hali...
Matokeao yake tunayaona kila mahali kuna mapungufu ya kila kitu nchini mwetu kuanzia Wagonjwa kulala chini mahospitalini, watu wengi kutokuwa na uwezo wa kupata Chakula cha kutosha achilia mbali bora, Kila siku tunazika watu tena wengi wao wamezaliwa miaka ya 1980, hii yote inaletwa na kuwa na mlundiko mkubwa wa Watu na Watu kuendelea kuzaa kama Sungura...