Serikali lazima izuie Ongezeko La Watu!

Serikali lazima izuie Ongezeko La Watu!

Mimi nampongeza mtoa hoja kwaani tukiendelea na hoja ya kila mtoto huja na bahati yake Taifa halitafika popote na tutabaki kuwalaumu wanasiasa bure. Embu jiulize mtu masikini wa kawaida anakuwa na watoto watano je, ataweza kuwahudumia ipasavyo? Ukizingatia saivi kila huduma mwananchi anatakiwa kuchangia, iwe Elimu, Afya na nyingine nyingi. Kuna wengine wanatumia mfano wa china, Urusi na Marekani kuwa zina idadi kubwa ya watu lakini wako juu kimaendeleo lakini wanasahau kuwa nchi zote hizo zina wastani wa chini ya watoto 2 kwa kila mwanamke. Analia nchi yoyote yenye uchumi angalau wa kati kama itakuwa na wastan wa zaidi wa watoto watutu kwa kila mwanamke. Kwakweli tunahitaji kubadilika!
 
Muda umefika sasa kwa Serikali yetu izuie ongezeko la watu nchini mwetu, ihakikishe tusivuke milioni 45!
Ikiwezekana Wanawake wawezeshwe kwa kupewa vidonge vya kuzuia Mimba kwa wale wenye uwezo wanunue na kwa Wale wasio nao basi kuwe na utaratibu wa kuwapatia (vidonge) bure!

Hili pia linawezekana kwa kuweka kiwango cha Watoto ambao Mwanamke anaweza kuwa nao, mimi nashauri kila Mwanamke asivuke watoto wawili, na atayevukisha hapo basi Baba wa mtoto aadhibiwe kwa kulazimishwa kulipa kodi kubwa zaidi kuliko wengine na pia kutokupandishwa cheo kazini!

Nasema hivi kwa maana hali inatisha sana, sasa hivi nchini mwetu kila Mwanamke analeta Duniani wastani wa Matatizo (watoto) 5.2 hii ni idadi kubwa sana na hatuwezi kuendelea ni hii Hali...

Matokeao yake tunayaona kila mahali kuna mapungufu ya kila kitu nchini mwetu kuanzia Wagonjwa kulala chini mahospitalini, watu wengi kutokuwa na uwezo wa kupata Chakula cha kutosha achilia mbali bora, Kila siku tunazika watu tena wengi wao wamezaliwa miaka ya 1980, hii yote inaletwa na kuwa na mlundiko mkubwa wa Watu na Watu kuendelea kuzaa kama Sungura...

nonsense!
 
One couple ilikuw chna kaka ang ila huwez kulazmsh wa2 waszaliane. 2nazo raslmal nyng. Huyo kikwete ana watoto 60. Sembuse mm?
 
Muda umefika sasa kwa Serikali yetu izuie ongezeko la watu nchini mwetu, ihakikishe tusivuke milioni 45!
Ikiwezekana Wanawake wawezeshwe kwa kupewa vidonge vya kuzuia Mimba kwa wale wenye uwezo wanunue na kwa Wale wasio nao basi kuwe na utaratibu wa kuwapatia (vidonge) bure!

Hili pia linawezekana kwa kuweka kiwango cha Watoto ambao Mwanamke anaweza kuwa nao, mimi nashauri kila Mwanamke asivuke watoto wawili, na atayevukisha hapo basi Baba wa mtoto aadhibiwe kwa kulazimishwa kulipa kodi kubwa zaidi kuliko wengine na pia kutokupandishwa cheo kazini!

Nasema hivi kwa maana hali inatisha sana, sasa hivi nchini mwetu kila Mwanamke analeta Duniani wastani wa Matatizo (watoto) 5.2 hii ni idadi kubwa sana na hatuwezi kuendelea ni hii Hali...

Matokeao yake tunayaona kila mahali kuna mapungufu ya kila kitu nchini mwetu kuanzia Wagonjwa kulala chini mahospitalini, watu wengi kutokuwa na uwezo wa kupata Chakula cha kutosha achilia mbali bora, Kila siku tunazika watu tena wengi wao wamezaliwa miaka ya 1980, hii yote inaletwa na kuwa na mlundiko mkubwa wa Watu na Watu kuendelea kuzaa kama Sungura...

Usitake kubishana na NENO LA MUNGU. Enendeni mkazaane muujaze ulimwengu. Nimejitahidi kuzunguka ndani ya hii nchina mikoa yake yote lkn bdo kuna mapori makubwa sana ambayo tangu kuumbwa kwa ulimwengu hayajaguswa yatatufaa kwa kilimo.
 
Just a paradigm shift!Badala ya birth control ingefaa ifanyike death control walau kwa miaka 15! Kuna baadhi ya watu waliotufikisha hapa tulipo; wameteka nyara na kuua mikakati ya kuiendeleza hii nchi!Badala ya kupambana kuzuia fikra mpya kuzaliwa (make hujui wataleta mchango gani) ni bora kutafuta mbinu ya kuwaondoa Anti-humans na wote wanaokwamisha maendeleo ya nchi kwa kujilimbikizia mali badala ya kuwezesha miundombimu bora!
 
mbona mpango wa kutupunguza upo na umeshaanza kuwork vzr tu hebu angalia mtu mpaka amalize form 4 ajipange kimaisha kama weng sasa ilivyo mipango yetu mpaka 25 bado hana mtoto akisema afanye family planing miaka mitano mitano 35 ukijumlisha na vyakula vyetu vya artificial kupata watoto wawli ni bahati ndu usizubaile na hao wa zamani miaka ile vijana wa mwishoni miaka ya 80 mpaka leo hii weng wao hawana watoto tofaut na wazazi wao ambao weng wao walipata watoto wakiwa na miaka kumi na tano mpaka kumi na nane
 
Kuzaa ni hiari ya mtu/watu katika nchi hii. Serikali iliweka idadi ya watoto wanne kwa kila familia. Cha msingi lazima tukubaliane tunazaa ili nini? Pamoja na kwamba tunazaa ili kuendeleza kaya fulani lakini lazima tujue kwa hali tuliyonayo tuzae watoto ambao tuna uwezo wa kuwahudumia. Sifurahii watoto wanaposhindwa kupata chakula, mavazi na elimu kisa mzazi hajiwezi!

Mungu katupa akili na uwezo wa kuamua. Mkiamua kuzaa hovyo sawa wengine atawachukua kabla ya wakati. Mkiamua kuzaa kwa kufuata uwezo mlio nao sawa mtafaidi matunda ya duniani.
 
Muda umefika sasa kwa Serikali yetu izuie ongezeko la watu nchini mwetu, ihakikishe tusivuke milioni 45!
Ikiwezekana Wanawake wawezeshwe kwa kupewa vidonge vya kuzuia Mimba kwa wale wenye uwezo wanunue na kwa Wale wasio nao basi kuwe na utaratibu wa kuwapatia (vidonge) bure!

Hili pia linawezekana kwa kuweka kiwango cha Watoto ambao Mwanamke anaweza kuwa nao, mimi nashauri kila Mwanamke asivuke watoto wawili, na atayevukisha hapo basi Baba wa mtoto aadhibiwe kwa kulazimishwa kulipa kodi kubwa zaidi kuliko wengine na pia kutokupandishwa cheo kazini!

Nasema hivi kwa maana hali inatisha sana, sasa hivi nchini mwetu kila Mwanamke analeta Duniani wastani wa Matatizo (watoto) 5.2 hii ni idadi kubwa sana na hatuwezi kuendelea ni hii Hali...

Matokeao yake tunayaona kila mahali kuna mapungufu ya kila kitu nchini mwetu kuanzia Wagonjwa kulala chini mahospitalini, watu wengi kutokuwa na uwezo wa kupata Chakula cha kutosha achilia mbali bora, Kila siku tunazika watu tena wengi wao wamezaliwa miaka ya 1980, hii yote inaletwa na kuwa na mlundiko mkubwa wa Watu na Watu kuendelea kuzaa kama Sungura...

Hii pumba ya mwaka, wewe badala useme wapeleke huduma vijijini eti uzie mimba, nani kakwambia tumejaa na uku maeneo mengi tu yapo wazi ila hayana makazi huduma ipo mbali
 
naunga mkono hoja.hili tatizo la kuwa wengi ndo mana kila mwaka kuna miezi tunatolewa kafara ili tupungue lkn wapi.unakuta MTU Ana watoto 6 half anazaa tena.
 
Back
Top Bottom