Kwa hivyo akili ni kupotosha kuanzia sheria walizoshiriki kuzitunga UKAWA, utaratibu waliomua kuufuata na baadae kukimbia mchakato wa katiba kwa sababu za kimaslahi binafsi.
Mbona vitu viko wazi baada ya rasimu kutakuwa hakuna midahalo ya kuhusu katiba tena.
Imbecile mwenyewe katiba ikishatungwa na bunge wananchi tena wataamua kwa kuipigia kura. Wakati CCM wanainada kwa wananchi waikubali; kwa nini UKAWA wasiwashawishi kuikataa kwa kuwaeleza maslahi ya wananchi yamenyimwa wapi kikatiba.
Sasa wewe pimbi unaelazimisha agenda za lazima ndio unaona akili? Ni kwanini udhani wengine wanahaki ya kusema yale waliyo yaandika wao ndio sahihi? Vinginevyo funga domo lako maana uwezi kuchanganya na zako.
Huyo jamaa anasema jambo la ajabu sana.
Anatetea demokrasia kwa kuiminya demokrasia, wapi nawapi?
Utakuwa vipi na demokrasia kama hutaki uhuru wa watu kujieleza, kupata habari na elimu ya umma?
Hawa watu wanaotaka habari za kuzibana midomo wanaogopa nini? Wanaogopa kwamba watu wakipata elimu uongo utaonekana wazi?
Safari ya mabadiliko imeanzishwa na wale wanaochangia kurudisha nyuma maendeleo wameanza kushughulikiwa hayo ndio maazimio ya serikari. Awali ilikuwa ngumu kwa sababu hakuna ata kilicho kuwa kinaeleweka leo kupitia ubora wa sera na malengo watu wameanza kuwaona wahujumu wenyewe.Kwa hiyo ukienda peku na leo umevaa viatu kwa hiyo kilimo kwanza kimewasaidia hao wakulima?Kwa information tu niko kijijini saa hii na maisha ya mtu wa kawaida tu ni magumu,hicho kilimo kwanza labda kimemsaidia mtoto wa mjomba wa watawala wetu.Pole bado haujanibadili msimamo wangu wa utawala huu wa Prof wa kichina.
Nyenyele kwenye makalio matokeo ya gongo za bure.We Kilaza pale Ubungo plaza hapakuwa na mdahalo.Kilichofanyika ilikuwa ni kongamano!Kataweze upenyezewe vizuri.
Hata sijui naanzia wapi na mwelevu wewe. Maana vitu unavyo ni accuse navyo mimi ndio unavyokuja navyo wewe that is kuokota okota maneno ya mtaani na kuyaandikia huku ukijifanya mjuaji; kaazi kweli kweli.Mkuu, huyo jamaa hajitambui, he picks maneno vichochoroni na bila kuchuja (kwa sababu anazozijua yeye) anakuja kutapika humu, i can bet kwamba jamaa hana hata idea ya katiba ni nini, rasimu ni nini wala nini
Na hao ndio washabiki maandazi nambari wani wa siasa za bongo
Hata sijui naanzia wapi na mwelevu wewe. Maana vitu unavyo ni accuse navyo mimi ndio unavyokuja navyo wewe that is kuokota okota maneno ya mtaani na kuyaandikia huku ukijifanya mjuaji; kaazi kweli kweli.
Ni hivi hakuna mtu aliekataa kwa jinsi mambo yalipofikia wananchi kuto elimishwa kuhusu katiba iliyopendekezwa vinginevyo ni nini hasa mantiki ya watu kupiga kura kama hawajui wanapigia kura nini in the first place iwe ya kuikubali au kuikataa katiba mpya.
Issue hapa ni upotoshaji wa njia zilizo tumika kupatikana kwa katiba mpya na marekebisho yaliyofanywa hicho ndio kinachopingwa it is as if rasimu ya jaji warioba ndio ilitakiwa kuwa final draft kitu ambacho si kweli kisheria.
Ngoja nikurudishe nyuma bunge la Jamhuri ya muungano ndio lililo azimia na kupitisha sheria ya mabadiliko ya katiba na process nzima ya mchakato. Kuna mengi yaliyotokea kutoka kwa wana UKAWA (kabla ya kuwa official genge la wahuni) kuhusu sheria ya kupatikana kwa katiba na kila mara wakawa wanaenda ikulu wanakubali suluhu. That legitimize the whole process ya awamu ya kwanza.
Awamu ya pili ni majadiliano ya rasimu ya tume, kuna mambo baadhi ambayo wengine waliamini tume imependekeza kutokana na msukumo wa values and beliefs zao this became an Essentially_contested_concept given the facts and other view points.
CCM hawakukataa kazi ya tume walichofanya ni kusubiri mijadala ya bunge ianze watoe madukuduku yao and contest bunge ikiwa kama sehemu ya mijadala ikumbukwe advantage ilikuwa ya UKAWA wangeingia bungeni kutetea uhalali wa mapendekezo. Vile vile kwenye muundo wa serikari, isitoshe pia sehemu kubwa ya uongozi kiukweli wenyewe ni beliefs and values za tume pia kuliko uhalisia wa mambo.
Again hayo maswala yalikuwa yanahitaji mijadala ya kueleweka na justifications za kisiasa tunataka kutengeneza jamii ya namna gani kwenye uongozi, tunataka mkono wa sheria usimamie vipi uongozi ie ukomo, mali zao etc yote hayo yanahitaji uthibitisho kama ni mema kwa Tanzania. Lakini si kwa sababu mtu kaandika eti ndio lazima that is more that pathetic. Kwa hivyo for the most watu walio haribu mchakato wa katiba ni UKAWA si mwengine yeyote kwa kuwa CCM walikuwa wengi unaweza sema balance sahihi kidogo ilikosekana lakini who is to blame?
Tatu leo tunatarajia watu wakosoe sovereign powers zilizopo kwenye katiba na mengineo ya haki za kuongozwa kama taifa na moral thesis ya katiba inayopendekezwa. Ikosolowe in functions viongozi wa UKAWA lazima wajue na wao wana moral obligation ya kulinda amani kutowajaza watu upumbavu na mengineo ya uongo sina tatizo kama watu wanawaelimisha wananchi kama tunafahamu tunachopigia kura na nguvu tunazoipa serikari in the future hata kama itakuwa ya UKAWA na kujua faida zetu au hasara zetu zilizopo kwenye katiba kabla atujaikubali.
Lakini hizi habari za uchochezi na uongo sijui wananchi walisema hivi wamefuta, sijui mimi niliongea hivi wamefuta, sijui CCM imeandika katiba yake, imefuta maadili ya uongozi and nonsense za kuchochea watu azikubaliki na hiyo siyo democracy isipokuwa ni misimamo ya anarchists ambayo wanadhani lazima iwe hivyo kwenye jamii tena kwa kukimbia taratibu za sheria na demokrasia kama sheria ya mabadiliko ilivyotaka.
Huo ndio uhalisia wa mambo na sio kudhani wewe ndio huko sawa kisa una muono kama ni miono kwenye watu millioni 46 mbona ingekuwa kasheshe kila mtu akipewa kipaza sauti kuna watu wanaona mpaka kuuwa albino ni sawa is morally right ndio maana kuna serikari, sheria na taratibu za kufanya mambo unapokataa taratibu hizo za kidemokrasia na kuongopa lazima udhibitiwe itungwe tu hiyo sheria sie pacifist tumeshachoka.
It starts with 'tabula rasa' then causation au we unadhani malalamiko ya warioba misingi yake ni nini kama sio kazi aliyopewa na kilicho endelea sasa unakosoa vipi. Kaazi kweli kweli didn't i say unakatibia ka kudhani maoni yako are supposed to encompass the whole argument be it ni kasehemu tu cha cause.sasa umehamisha goals kutoka kwa warioba anaropoka to Ukawa?? vipi warioba alikua anawawakilisha ukawa jana??
dude, are you retarded?? stop shifting goal posts and beating arounf the bush... go to the first post i quoted you]
smart a$$es need memory too
Mkuu, sintopoteza muda tena na wewe, unabadilika-badilika tu... unahangaika na pointless history bila kujua kwamba the most equipped person to talk about katiba ni yule aliyepewa jukumu la kwanza kuandaa
Tunakaa na kulokota maoni ya wapuuzi kama akina komba, maji marefu na wale malaya waliokua waliuza mandazi kwenye BMK ... and then you want me to talk about the process
are you sure you are not on cracks??
done and dusted
you are in my ignore list
Kwanza wamechelewa kwa sababu sheria ya mabadiliko ya katiba ilitaka baada ya rasimu mijadala kuhusu katiba isiwepo tena hili kutoingiza ushawishi wa siasa; lakini mzee wetu Warioba sijui ana nini asikii yule babu yeye na wenzake wa UKAWA.
Hawa watu ni hatari kwa amani yetu si watu wakukubali demokrasia ichukue mkondo si wasubiri kura ya maoni tu.
Kwanza wamechelewa kwa sababu sheria ya mabadiliko ya katiba ilitaka baada ya rasimu mijadala kuhusu katiba isiwepo tena hili kutoingiza ushawishi wa siasa; lakini mzee wetu Warioba sijui ana nini asikii yule babu yeye na wenzake wa UKAWA.
Hawa watu ni hatari kwa amani yetu si watu wakukubali demokrasia ichukue mkondo si wasubiri kura ya maoni tu.
Jaji Warioba keshajiwekea reputation ukiangalia video ya jana hakuna kibaya alichokisema lakini kwa kuwa kwa kipindi kirefu amekuwa akipayuka hovyo hata mimi nilitegemea there he goes again kiasi ya mkute.
Phase ya sasa ya kuinadi inahusu maswala ya utekelekezaji na kama haki na misingi ya uendeshwaji wa serikari hiko sahihi mengine ni hisia ambazo hazina uhalisia au hazitekelezeki ndio sababu vilifutwa.
Kukosoa isiwe hadithi za rasimu ya warioba na alichopendekeza kukosoa kuangaliwe kwa misingi ya preambles, government sections, bill of rights and amending. Hizo ndio hoja za sasa sio jaji warioba alisema nini.
Serikali inajipanga kuzuia midahalo yote na hasa inayorushwa kwenye TV kwa kile wanachokiita "sababu za kiusalama"
Kama vile ambavyo mara nyingi vyama pinzani wamekuwa wakizuiwa kufanya mikutano kwasababu za "kiusalama" ndivyo hivyo midahalo hiyo itakavyozuiliwa.
Kwahiyo wanajamii tujiandae kupokea barua hiyo muda wowote ule itakayozuia midahalo "KWASABABU ZA KIUSALAMA"
Wageni wote karibuni Tanzania.
Ccm wanajitabiria kifo chaoSerikali inajipanga kuzuia midahalo yote na hasa inayorushwa kwenye TV kwa kile wanachokiita "sababu za kiusalama"
Kama vile ambavyo mara nyingi vyama pinzani wamekuwa wakizuiwa kufanya mikutano kwasababu za "kiusalama" ndivyo hivyo midahalo hiyo itakavyozuiliwa.
Kwahiyo wanajamii tujiandae kupokea barua hiyo muda wowote ule itakayozuia midahalo "KWASABABU ZA KIUSALAMA"
Wageni wote karibuni Tanzania.
Safari ya mabadiliko imeanzishwa na wale wanaochangia kurudisha nyuma maendeleo wameanza kushughulikiwa hayo ndio maazimio ya serikari. Awali ilikuwa ngumu kwa sababu hakuna ata kilicho kuwa kinaeleweka leo kupitia ubora wa sera na malengo watu wameanza kuwaona wahujumu wenyewe.
Usijali rome was nt built over night lakini watu wanafanya kazi usiku na mchana kuwaletea maendeleo watanzania.
Ccm wanajitabiria kifo chao
Habari za misitu na nyani zinahusu vipi tena hapa mkuu.
mbona vasco da gama bado anazurura wakati kuna ebola?Serikali inajipanga kuzuia midahalo yote na hasa inayorushwa kwenye TV kwa kile wanachokiita "sababu za kiusalama"
Kama vile ambavyo mara nyingi vyama pinzani wamekuwa wakizuiwa kufanya mikutano kwasababu za "kiusalama" ndivyo hivyo midahalo hiyo itakavyozuiliwa.
Kwahiyo wanajamii tujiandae kupokea barua hiyo muda wowote ule itakayozuia midahalo "KWASABABU ZA KIUSALAMA"
Wageni wote karibuni Tanzania.