Serikali kuzuia mijadala ya katiba

Tutauwana, we ngoja wafanye upuuzi wao, washazoea kung'oa with kucha, kuua maprofesa na watu wengine waliokinyume na serikali. Ccm tuachieni nchi yetu wauaji nyie.
 
kweli imbecile ni imbecile tu

ile sio katiba, bali ni rasimu ya katiba...

Pili kabla ya kura huwa ni lazima jamii ielimishwe inapigia kura kitu gani ndio maana kuna campaign, public education and the like

Jipambanue ukue otherwise utaishia kutumika cheaply

Issue ya haki ya wengine kusema siwezi kuiingilia, lakini sio kila kisemwacho ni sheria
 

Ndugu yangu unafikiri kwa kutumia kiungo gani,,,!! Wewe na JAJI, WARIOBA nani anaijua CCM vzr acheni uPUMBAVU haki yakuzuia watu kuongea mnaitoa wapi,,,,!
 
Upotoshaji uko wapi? Elimu ni kuelimishwa kile kilichomo kwenye katiba pendekezwa pamoja ni kile kilichoboreshwa,kilichotolewa. na vyote vilivyomo.Sasa we unachagua vya kuwafundisha?
 
Ikipata baraka za kura ya maoni ndio katiba yenyewe anyway does it matter, kwani kuna anaekataa kutoa elimu kuhusu hiyo rasimu ya katiba iliyopo. Tatizo ni longo longo za kutaka kurudisha hadithi za kutoa maoni na kuzungumzia maoni kishabiki na kwa upendeleo as if the whole thing is not legit or the process was undemocratic huo ni upotoshaji kabisa.
 

Kwa akili km hizi ndio maana NCH hii imekwama kwa 50yrs
 
Ndugu yangu unafikiri kwa kutumia kiungo gani,,,!! Wewe na JAJI, WARIOBA nani anaijua CCM vzr acheni uPUMBAVU haki yakuzuia watu kuongea mnaitoa wapi,,,,!
Kwani ni kuijua CCM au uhalali wa process nzima na rasimu yenyewe, Jaji warioba ana amini rasimu aliyoiandika yeye ndio ilitakiwa kuwa katiba sasa sijui bunge la katiba lilikuwa na shughuli gani.
 
Upotoshaji uko wapi? Elimu ni kuelimishwa kile kilichomo kwenye katiba pendekezwa pamoja ni kile kilichoboreshwa,kilichotolewa. na vyote vilivyomo.Sasa we unachagua vya kuwafundisha?
Kilichotolewa kimetolewa kisheria kwa jinsi sheria ilivyoipa mamlaka bunge la katiba sasa unawafundisha nini wananchi kama si uongo hao UKAWA waliombwa mpaka na watu wa mungu warudi wakakataa sasa tena leo rasimu imekuwa ya CCM.
 
Kumbe nawe wajua kuyakata mauno? Au hata humu Jf kuna bwanako?
Utawajua tu wasio rizki watu wanaongelea uhalali wa katiba au kusitishwa kwa mijadala ya katiba we unafikiria mauno na mabwana tena alfajiri; kaazi kweli kweli.
 
[Hawa mabwege CCM wamezuia kipindi cha tuzungumze magazeti RFA.
 
hivi unafahamu mchakato wa kura za maoni jinsi ulivyo? Au unajua kubwabwaja tu? Je kama kuna vurugu je njia ni kuzuia mijadala au kupambana na wafanya vurugu?
 
Wewe ndio unajua kila kitu; hivi kwanini tena rasimu aifai? Ooh yeah kwa sababu Mbowe kasema si ndio au?

Me cna uushabiki na political part yeyote,Likini unachotuaminisha hapa inaonesha wewe huelewi kitu ama unajitoa ufaham wako. We huelewi hata sheria za nchi nchi zinasemaje na maana ya dialogue huijui.
 
tukipigana mnasingizia watu wa magharibi kumbe ni ujinga wetu wenyewe
 
Tatizo la serikali hii ni kukwepa wajibu wake wa kikatiba! Hivi kama kuna wafanya vurugu kwenye midahalo na mikutano, dawa ni kuzuia mikutano hiyo ama kupambana na wafanya vurugu na kuwadhibiti? Je ikitokea rais ana mkutano na wazee wa dar kwa mfano, na kukawa na watu wachache wenye kutaka kufanya vurugu kwenye mkutano huo, je dawa ni kuimarisha ulinzi au kuzuia mkutano huo? Kwa kweli polis wa tanzania kuna mambo mengi wanatia aibu kabisa!
 
hivi unafahamu mchakato wa kura za maoni jinsi ulivyo? Au unajua kubwabwaja tu? Je kama kuna vurugu je njia ni kuzuia mijadala au kupambana na wafanya vurugu?
Chanzo cha vurugu itakuwa kama wananchi wataendelea kupotoshwa lakini kama watapewa elimu ya katiba inayopendekewa wapiga kura kwa utashi wao fujo azitotokea. Sumu za wengine ndio threat ya fujo.
 
Utawajua tu wasio rizki watu wanaongelea uhalali wa katiba au kusitishwa kwa mijadala ya katiba we unafikiria mauno na mabwana tena alfajiri; kaazi kweli kweli.

Unakata mauno tu ndiyo maana hata hujui unachokiongea. Unasema mijadala ya kuijadili Katiba katiba ilitakiwa kufungwa wakati huo huo Kinana na Nape kwenye mikutano yao wanawaambia Wananchi waipigie kura ya ndiyo.
 
Hiyo mijadala siyo kwa ajili ya kutoa maoni ni kwa ajili ya kuelimishwa ili wananchi wafanye informed decisions. Kamwe in life lazima uelimishwe kwanza ndio ufanye maamuzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…