Serikali kuwatimua wapiga debe Ubungo tutegemee nini?

Wewe ni mjinga na mpuuzi haswa, hivi mpiga debe ni tofauti na wewe au raia mwingine yeyote labda mkulima..? Na je kupiga debe ni kazi au kuzurula kwa kukosa kazi?
Habari,
Ni kawaida kuwakuta wapiga debe ndani ya kituo cha mabasi ya mikoani ubungo,ambao huanzia kituo cha river side mpka ndani ya kituo cha ubungo.

Kazi yao kubwa ilikuwa ni kuwapeleka abiria kwenye mabasi husika na hata kuwasaidia kubeba mizigo ili kupata riski ya chochote kutoka kwa abiria hao

Lakini kwa sasa hali ni tofauti kwani uongozi wa kituo pamoja na askari wametumika kuwatimua kutokufanya shughuli hiyo

Je, Serikali imewawekea njia mbadala ya kujiingizia kipato au kipi tukitarajie kutoka kwa hawa watu zaidi ya 800 baada ya kukoseshwa kazi yao ambayo ilikuwa inawasaidia kuingiza chochote kitu?
 
Akubebee mzigo, asikubebee mzigo jua kabisa wewe hapo ndie unayemlipa kupitia nauli yako. Mfano nauli ya dar mwanza ni elfu35 hadi 40. Ukijipeleka mwenyewe ofisini na ukaomba kupunguziwa nauli, watakupunguzia hadi elfu mbili nzimaa, lakin ukipelekwa na hawa wapiga debe kaa ukijua kabisa hutapunguziwa nauli maana uliyotakiwa kupunguziwa tayari kalipwa huyo alokupeleka.

We pesa unaipata kwa jasho na damu halafu unakuja kumpa mtu aliekaa tu kituoni eti kisa kakusindikiza ofisi za basi!!!!!

Jaribu siku moja ujipeleke mwenyewe ofisin halafu waambie jamanieee hapa ofsin kwenu nimejileta mwenyewe bila mpiga debe, nawaomben mnipunguzie bei kidogo, hakika utapunguziwa
 
Habari,
Ni kawaida kuwakuta wapiga debe ndani ya kituo cha mabasi ya mikoani ubungo,ambao huanzia kituo cha river side mpka ndani ya kituo cha ubungo.

Kazi yao kubwa ilikuwa ni kuwapeleka abiria kwenye mabasi husika na hata kuwasaidia kubeba mizigo ili kupata riski ya chochote kutoka kwa abiria hao

Lakini kwa sasa hali ni tofauti kwani uongozi wa kituo pamoja na askari wametumika kuwatimua kutokufanya shughuli hiyo

Je, Serikali imewawekea njia mbadala ya kujiingizia kipato au kipi tukitarajie kutoka kwa hawa watu zaidi ya 800 baada ya kukoseshwa kazi yao ambayo ilikuwa inawasaidia kuingiza chochote kitu?
Waache wakachomoe betrii za matenka.
 
  • Thanks
Reactions: A3M

Wale jamaa ni wasumbufu sana. Me wakifukuzwa hata sitaona shida...
 
Wewe ulikuwa unaona sawa wale watu wawepo? Unahisi ni sawa kabisa kuwa na watu 800 kituo kimoja tu cha ubungo kupiga debe tu?

Wewe mkuu ulikuwa ni mpiga debe pale? Najua jibu ni hapana, sasa tuambie serekali ilikupa njia mbadala ya kutafuta ridhiki au ulitafuta mwenyewe?

Tuacheni mambo mengine kuishi kwa mazoea mkuu. Infact serekali imechelewa sana kuwatoa hadi leo. Na inabidi iwatoe wote na hata kwenye vituo vingine hata vya daladala na hata wamachinga mabarabarani
Umeongea point tupu ila umenichekesha [emoji23][emoji23]
 
Washenzi waliwahi nikatia tiketi ya basi ambalo halisafiri. Wakasababisha nipande basi bovuuuuuu
Wanafanyaga sana ushenzi huu.Wale wapiga debe wapo pale kuwatafutia abiria bus mabovu yasiyotakiwa na abiria wanaoyajua vizuri.Wale ni matapeli tu
 
Wewe ulikuwa unaona sawa wale watu wawepo? Unahisi ni sawa kabisa kuwa na watu 800 kituo kimoja tu cha ubungo kupiga debe tu?

Wewe mkuu ulikuwa ni mpiga debe pale? Najua jibu ni hapana, sasa tuambie serekali ilikupa njia mbadala ya kutafuta ridhiki au ulitafuta mwenyewe?

Tuacheni mambo mengine kuishi kwa mazoea mkuu. Infact serekali imechelewa sana kuwatoa hadi leo. Na inabidi iwatoe wote na hata kwenye vituo vingine hata vya daladala na hata wamachinga mabarabarani
Riziki au vipi zile kero zeo sio..
 
Wale ni washnz tu acha watimuliwe tu
Kwani unashindwa kujiongeza pale bila mpiga debe

Ova
 
Sasa kama Serikali imetimua wenye vyeti feki itakuwa wapiga debe wanaokueleza gari unalofahamu kwenda kulipanda? wakitimuliwa wakiwa majambazi watauliwa na maisha yataenda,wengine tumechoshwa nao upo na kibegi huna nauli safari migomigo utasikia baba tanga,kirimanjaro,arusha na kibegi washanipora
 
Hao wanaodai pesa baada ya kukupeleka ndio usumbufu sasa.Mimi huwa najua ofisi za basi ambazo napanda lakini kwa kuwa wanasema wanapewa commission nawakubalia tuongozane.Ijapokuwa ni kweli kama hujui basi gani ukapande wanaweza kukupeleka kwenye basi la ajabu ajabu.
 
Hao ni wapiga kura wetu muhimu kwa ajili ya mitano mingine.

Wakwende wapi?

Au nasema uongo ndugu zangu?
 
Back
Top Bottom