Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,111
- 34,946
Waandishi wetu naona wanakosa weledi wa kazi zao. Mwandishi wa Mwananchi Media ndio kaandika hiyo Habari je yeye chanzo chake ni nini? Nani kasema hivyo? USAID, USA ama nani? Source ya taarifa ya kwamba marekani itakata hiyo misaada ni nini?
Mzee ww ujui yaliyo tokea nzazibar ???Waandishi wetu naona wanakosa weledi wa kazi zao. Mwandishi wa Mwananchi Media ndio kaandika hiyo Habari je yeye chanzo chake ni nini? Nani kasema hivyo? USAID, USA ama nani? Source ya taarifa ya kwamba marekani itakata hiyo misaada ni nini?
Kuna baadhi ya watu mnafurahisha sana.Hii habari haijakamilika.Lakini katika kujipanga huko kwa serikali bado hiyo ni divertion ya Resources kutoka mahali maana sidhani kama walijua hawataongezewa muda.Gharama bado anabeba mwananchi wa kawaida wakati hatukua tumejipanga.Maamuzi mabovu yanayosukumwa na uroho wa madaraka Mwananchi analipia gharama
Kuna baadhi ya watu mnafurahisha sana.
Wewe unadai habari haijakamilika halafu hapo hapo unaanza kutoa hukumu kwa kutumia habari ambayo haijakamilika.
Mkuu;Ndio maana hukumu yangu haijakamilika.
Wizara imejipanga kivipi?Mipango yao ikoje?Au ni siri?wizara imejipanga kuhakikisha kuna uhakika wa upatikanaji wa dawa nchini.
uandishi ni tatizo... USAID mkataba na Tanzania umefika mwisho na wemongea lakini bado wataendelea kutoa mchango.LA ZANZIBAR KUITAFUNA SERIKALI YA MAGUFULI KIDOGO KIDOGO KAMA ZIMWI LIKUJUALO. - MAREKANI KUSIMAMISHA MSAADA WA MADAWA KWA TANZANIA WA DOLA MILLIONI 375.
Serikali itakosa mchango wa dawa zenye jumla ya gharama ya dola za Marekani 375 milioni sawa na Sh787 bilioni, ambazo zimekuwa zikichangiwa na Shirika la Maendeleo la Kimataifa la Marekani (USAID).
USAID ilitoa mchango huo chini ya mradi wa kutunza na kugawanya dawa hasa za kupunguza makali ya virusi vya Ukimwi, kwa kipindi cha miaka 10 kote nchini.
Mradi huo ambao pia umeisaidia Serikali kujenga maghala ya kuhifadhia dawa umefikika mwisho, hivyo USAID akiwa kama mchangiaji mkuu wa dawa, inaiacha ikiwa na pengo.
Hata hivyo Katibu Mkuu Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsi, Wazee na Watoto, Dk Mpoki Ulisubisya amesema licha ya mradi huo kufikia ukomo na kuwa na msaada, wizara imejipanga kuhakikisha kuna uhakika wa upatikanaji wa dawa nchini.
Chanzo: Mwananchi
Hivi mradi KUFIKIA UKOMO maana yake ndiyo serikali KUWEKEWA VIKWAZO? au haya ndiyo mahaba niueLA ZANZIBAR KUITAFUNA SERIKALI YA MAGUFULI KIDOGO KIDOGO KAMA ZIMWI LIKUJUALO. - MAREKANI KUSIMAMISHA MSAADA WA MADAWA KWA TANZANIA WA DOLA MILLIONI 375.