Hayo yamesemwa bungeni na waziri wa viwanda na biashara Mh Charles Mwijage wakati akijibu swali aliloulizwa, ni kwanini serikali isiwalipe fidia wananchi waliozimiwa simu zao na mamlaka ya mawasiliano TCRA kwani tayari walishalipa Kodi.
Majibu ya waziri yalikuwa; Serikali haitawalipa fidia wananchi hao kwani kwa kuzima simu hizo imewaepusha na madhara ambayo yangejitokeza kwa wao kuendelea kuzitumia.
Mh waziri ameongeza kuwa, serikali ina mpango wa kujenga kiwanda cha simu za bei rahisi ili kuwasaidia wananchi wanaopenda kumiliki simu za bei rahisi kuzipata hapahapa nchini.
My take: Hii itakuwa hatua kubwa sana kwani soko la simu hapa nchini liko juu, kikubwa juhudi hizi ziwekwe kwenye vitendo tuu na siyo kuishia kwenye maneno tuu.